Unaoga mara ngapi kwa siku?

Screenshot_2021-05-27-21-31-37-441_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi NPO advnc nyanda za juu kusini kuoga ni mpk nicheze mpira kwa wiki x3 au 4
Nlovyokuwa jkt Arusha uko kama ckosei miez yote mi3 kuoga full body cjh mara2 tu

All in all kuoga sana bhn yaan unajifungiaje mwnyw sehemu na kuanza kujishikashika kama mchawi
 
Umenichekesha sana.
Ila uko sahihi. Wakati nasoma primary tulikuwa na ticha kumbe alikuwa na mental health issues. Akatuambia ukitaka uwe na ngozi nzuri sana, usipate chunusi oga 3x a day. Na tulikuwa na lunch break ya kama 1.5 hrs. Nilianza kuoga lunch time, mpaka leo nikipata chance naoga mchana. Yaani kuoga inanipa raha fulani hivi hata haielezeki aisee.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Wewe Ni ke?
 
Kuna viumbe hapa tz nimekutanao. . Aisee wako sijui dunia ya wapi 😱 wiki inapita hawaogi
 
Harafu kuna kabila moja itakua sio poa nikalitaja, makabila mengine sijui. Aighhh Wananuka vikwapa mzee, inaoga alakini bado inanuka vikwapa mzeee. I don know ni maradhi ama!
 
Harafu kuna kabila moja itakua sio poa nikalitaja, makabila mengine sijui. Aighhh Wananuka vikwapa mzee, inaoga alakini bado inanuka vikwapa mzeee. I don know ni maradhi ama!
amsha amsha nyingi ziko kwapani wewe vepe!! wanaacha maksudi hao najua unasema warangi
 
Back
Top Bottom