Unaoga mara ngapi kwa siku?

Unaoga mara ngapi kwa siku?

Naoga basi tu ila sipendi kuoga kabisa.

Nkipata mara 1 tu inanitosha.

Ila Naoga kweli. Nikiingia bafuni utanisahau
 
Unapoamka unaoga, baada ya mishughuliko ya siku jioni unaoga! Kuna zaidi ya hapo? Jibu ni mara mbili kwa siku, labda uwe na matatizo.
 
Hili swali ili takiwa uulize kwa wiki sio siku
 
Kuoga ni ushahidi ulikua mchafu, kuoga kwingi ni uthibitisho wa uchafu mwingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom