Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

NINA UHAKIKA WANAUME WOTE HUMU MMESHAWAHI KUHONGA NA MNAENDELEA KUHONGA, HAPA MNAJISHAUA TU,, WANAUME WENGI KAMA SIO WOTE UTAWASIKIA MM SIHONGI LKN KIUKWELI NI WAHONGAJI WAZURI SANA,
Mkuu umenichekesha sana yan kuna jamaa tulisoma nae alikuwa anajisifia sana yeye msafi haongi mwixho wa siku anakuja kuhonga smart na notes anamuandikia gal
 
Mapenzi ni package ambayo inavitu vingi sana, hata mm nikiwa early 20's nilikuwa na fikra kama hizi lkn ni kutokana na ugumu wa maisha tu ndio mwaume unakuwa na mawazo haya!!!
Mnachotakiwa kujua nikuwa mwanamke hatakama anahela nyingi kiasi gani lkn atajitaji kuhongwa, na hii nature kwao!!
Mwanamke ni mbinafsi in nature kwahiyo swala kuchukua hela zako hakiepukiki, na kama unataka kuishi na mwamamke vzr usijishughulishe na hela zake, hata kwenye familia hesabu hela zake sio zako wala za familia ikitokea anajitambua atakusaidia otherwise kama hajitambui ukitaka hela zake mtagombana kila siku
Well said mkuu nimeona umature na experience kwenye hii comment yako
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Unajua kaka mwanamke ambaye ni wife material anaone kana tu cha kwanza mchamungu, msikivu, respect but pia an akujali 24/7 na kukuthamini, Mfano anaweza akawa stdent, raia tu wa kawaida ambaye kwao au yy wana hali ya kawaida tu lakini unakuta ww unajua kwamba hana chanzo chochote cha kupata income lakini daily lazma akutafute na kukujulia hali ni wachache xana katika ulimwengu huu wa .com ,, nmesema nizungumzie side hii ya mwanake ambaye hana kaz na ni wfe material lakn nje na hapo ni hamna kitu alafu wanawake wackuhizi ukitaka kujua as ni wf material or not kwenye PESA tu unampimia mkuu,,,,
naona umeamua kuni touch, kiukwel mimi nikipata mwanamke nikagundua ananpenda tena kwa dhati pia anasifa zote zakuitwa wife material alafu ukaangalia kwao ndo ivyo aisee i don't care kama nitaachana nae hapo baadae au la, i have to take responsibility for sure.
 
Nahisi wewe 25 hujafikaaa kwahiyo bado unalelewa, pia huna kazi ya kuweza kupata kipato cha kubalance matumizi yako kwa ujumla,,,, tatu utakuwa na mwanamke amekupiga kibuti sababu pesa huna,,,, nne wanaume wasampuli yako ni ushambaa tu hamna kingineee......huko nikujifariji kishambaaaa wangapi wamehonga bhanaaa acheni utoto kwanza wewe umepelekwa shule kusoma au kutafuta wanawake ,
, yupi wife material yupi mpenda pesaaa,,,,,,,,,,, nakama wewe huongi ni lifestyle yako usiwaite wenzio wamelogwaa kwasabab wewe huongiiiii......tena jf wahongajiii wamejaa teleeee,,,,,,,,, nyie ndiyo mnaochapiwa mademu zenu kila Siku hiki kizazi cha digital wewe mwanamke unaye mtaka wewe walikuwa enzi za ukolono,,, na kwasasa km wapo lakni 100 kwa 2 na ilikumpata lzm ufanye kazi ya ziada,,,,, kuonga si lazima ila huduma kwa mpnz muhimu mfyyuuuuu wanaume style yko ndiyo nawataka ni pm tuanze maisha nikuoneshe jinsi dunia inavypzunguka[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Wauza nyapu on fleek Jovitha
 
Mimi hua na tabia ya kumsifia mpenzi wangu sasa Nina mda tunawasiliana tu sitoi hela zaidi ya vocha juzi nikasema ngoja nikamtembelee nikamkuta amependeza kuanzia nywele mpaka miguuni na hana kazi yeyote yaani sikumsifia hiyo siku nikajua hapa kuna mjanja ananisaidia nilicho kifanya ni kujifanya nina haraka ya kuondoka maana niliona aibu na nahisi hata yey alipendeza kwa makusudi kuonesha wapo wanao jali sasa kutunza chombo chako ni lazima
Kama anakupenda unaoa halafu ndo unahudumia.Sasa we tumia pesa nyingi kuhudumia halafu siku akikubwaga ndo utarudi hapa kulalamika
 
Unapokuwa na hawa viumbe usipokuwa na roho ngumu jua wewe ndio utakuwa chanzo kikuu cha mapato yake.
 
Ukisema hvyo inamaana kwa dunia ya sasa kila mwanaume anatapanya mali. Kwasababu kila mwanamke unaempata lazima kuna kigezo ambacho hukiweka kipaumbele sana kabla ya kukukubalia na hicho kipengele ni kwamba...je, utaweza kunijali..!?(kuhudumia)
Haijalishi ana wazazi au la!
Vinginevyo utaishia kula kwa macho tu.
NB: ili tusitapanye mali wawe wanatukubali kwa hali zozote wanazozikuta kwa anaemtongoza.
Then unatakiwa ujue kuwa MWANAMKE NI PAMBO sasa bila kulijali nani atakaekutunzia hilo pambo lako wakat wewe mwenyewe ndio linalokuvutia.
Ao viumbe awaliziki amna cha pambo wala chanin ata akipata umeneja benk ya dunia .chukua neno la boma la utete yangdeee usiposhtuka watakuchuna adi usepe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah huu uzi umeuleta siku muafaka kabisa nawalah shemej yenu namchenjia gia angani nadhan atahisi nimerogwa simpi hata mia yashoping nguo zackukuu nakama ataniacha potelea pote
Mtu ambae anakua naww kisa unamuudumia apo ni wazi kua unamnunua No love amna tofaut na anaeenda dangulo sanasana unajipotezea muda wako na akili yako yote utaiweka kwake ,kipimo muweke kwny mzani angalia ratio kama ipo
 
hhahahhahahhahahhaahha etii mwanaume akiwa na wasichana wengi ni sifa which sifa uzinzi tu huo unapozungumzia suala la kuhonga zungumzia pia na suala la kuacha zinaa maana vinaendana umeshawai kujiuliza ni kwa nini unahonga au mnahonga??
Ukichunguza kwa makin kuhonga ni kulazimisha penz ila true love aliendeshwi na kuonga niliambiwaga zaman now nimeprove
 
Wanawake malimbukeni wanaotokea kwenye familia maskini na wavivu wa kufikiri ndio wengi wanalilia kuhudumiwa kama kigezo cha mapenzi.

I can't hesitate to call them sluts behind a love shed maana wengi ndio hawanaga msimamo hata ukimpa pesa akitokea mtu aliokuzidi hela atatanuliwa mapaja tu. Malaya type!

Niko na mpenzi tunasaidiana in each now and then home wako njema so maisha anayajua hajakulia kishida shida. Demu hawazi kunipa 100k+ nikikwama. Nikipiga mishe zangu namrudishia wala hamna mizinga ya kijinga jinga ya salon au vocha. Yupo fully independent na mapenzi ananipa bila choyo wala kipimo.

Kumnunulia vi zawadi na kumgharamia nafanyaga kwa mapenzi tu ila sifanyishwi wajibu kama midemu njaa njaa inavyojiona inastahili sana kupewa hela. Mtakunywa sana sparletta bar *****!!! Asikwambie mtu kuwa na demu anaejiweza na anayejua maisha its every mans dream.
 
Watakao amka ni wachache maana hili ni tatizo sugu tangu enzi ... Na ikitokea wanaume wameamka basi wanawake sasa watajitutumua Kama wanaume ( wataongeza speed ya kuhonga... The world comes vise vaser
Wanaume Wa Dar tu bado awajaamka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom