dumejm
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,180
- 861
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona wanachuo mnafarijiana
.lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona wanachuo mnafarijiana
.lol
Kama huna nia ya kumuoa unaenda kumtongoza wanini? Na pia sisi wanaume tuna tamaa sana mwanamke anakupanulia mapaja yake na staili unampa za ajabu anavumilia wengine mpaka tigo wanatoa ili akulizishe wewe mwanaume lakini bado hautoshi unaenda kumtongoza mwingine kwa ulaghai wa kumuoa kumbe lengo lako papuchi tu na kusepa zako, wanawake tabia ya kuomba pesa tumewafundisha sisi wanaume zamani walikuaga hawana hiyo tabia ya kuomba pesa na mwanaume alikua anadeti na mwanamke mpaka wanaoana lakini kwa tabia ya sasa sisi wanaume kujiita PLAYBOY wengine FATAKI wanawake wameona hapa tutakua tunatumika tu kama ndala za chooni na kuachwa bora tuwe tunalipana kabisa kama mwanaume wa kuoa atajulikana mbele ya safari lakn pesa kwanza maana hawatuamini tumekua waongo kupita maelezo
Sawa upo sahh, ila ilo linafanyika kwasababu ya ubinaadam tu... Bnafs naona c mpk awepo kwny ndoa ndo umsaidie, kwangu io ngum kdg... Pale akiwa n uhitaj ambao utakidh uwezo wangu, n kwakua ni bnaadam mwenzangu, bs ntamsaidia tu mkuu.. Au co?Habarini za pasaka!!
Hakuna jambo baya Kama mwanaume kutokujitambua. Kuwa mwanaume ni heshima kubwa hakuna asiyejua. Si Wanyama si ndugu zetu wanawake hilo wanalijua.
Sasa wapo wanaume ambao sijui mafunzo hawakupata au vipi. Na hii ni sababu ya malezi na makuzi.
Mwanaume halisi hapaswi kuhonga mwanamke yoyote ambaye hajamuoa. Ipo Tabia kwa baadhi ya wanaume nadhani wasiojiamini ambao kutoa pesa kwao kwa wanawake ni jambo rahisi Sana. Kwa taarifa tuu ni kwamba unadhalilisha hulka ya kiume. Sio jukumu lako kumtunza mwanamke asiye mke wako.
Na ni dhambi kubwa kumhudumia mwanamke ambaye hujamuoa. Kiimani huitwa kutapanya mali kwa uasherati. Kiuchumi huo ni ubadhirifu. Kitababia huko ni kutokujiamini na ulofa. Jukumu la kumtunza mwanamke kabla ya ndoa ni la wazazi wake au yeye mwenyewe. Hiyo ndio tabia ya kihere here mwishoe unapiga mayoe ukija kuachwa.
Hivi wazazi wako wamekusomesha hadi umefika chuo na kupata kazi. Badala ya kulipa fadhila kwa Mama na Baba wewe unajitia penda penda. Hiyo ni dalili ya kulogwa. Kama ni nguo si umnunulie mama yako na Baba yako. Hivi mama yako kipindi akivaa magunia ili usome ulidhani hakutaka kujiremba. Mnunulie Mama yako mafuta na vipodozi apendeze uone Kama hutabarikiwa.
Wewe kazi kutapanya Mali Kwa mademu kama chizi. Kiukweli wanaume wenzangu wenye tabia hii huwaga mnatuangusha. Hata wanawake wanawadharau kwakweli. Binti unampa hela siku akienda kwenu kumcheki mama yako kajichokea. Kama unatabia hii wewe ni chizi na umelogwa.
Usimuhudumie mwanamke Kama hujamuoa. Kama unataka kumhudumia Kama mkeo si umuweke ndani. Unajifanya unajua kuhudumia. Wakati ukioa kuhudumia huko kwakushinda. Huu ni unafiki ambayo si tabia ya kiume.
Mwanamke akitaka pesa mwambie sina. Kama hakuelewi mwambie kila la kheri.
Sio lazima ung'ang'anie Kama hakuna wanawake wengi. Lipa kwanza fadhila kwa waliokufikisha hapo na sio kutapanya Mali mwishoe unajifia na maradhi Kama sio umasikini.
Wapo wale wajirembao Kama mademu.
Hivi mwanaume mzima unaanzaje kujiremba kwanza hata kufikiria unaanzaje.
Yaani mwanaume mzima nywele unatia dawa, make up Kama unaenda harusini.
Kuonyesha matako hadharani Kama unataka kuliwa tigo. Hivi unataka kushindana na wanawake utaweza.
Kwa taarifa yako wanawake hutawaweza wao hicho ndicho kilichowaleta duniani.
Na hata hao wanawake hivi ulidhani wanataka kuwa wanawake?
Embu wenye tabia hizi muache Mara moja. Mnatuangusha wanaume.
Kwa leo niseme basi. Nimeona tukumbushane wanaume wenzangu
wanawake mnakera sanaInasikitisha sana wanaume kila siku kulalamikia vitu hivyo hivyo.
Umenifurahisha sana umenikumbusha maisha ya chuo kikuu. Kila muhula unabidilisha msichana wa kukaa nae,. Haa haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] yale maisha burudani sanaNaona wanachuo mnafarijiana
.lol
Kazi kukaushana sikuhizi.... Mwenye nacho atoe asiye nacho aachwe.... [HASHTAG]#mizani[/HASHTAG] kwa uasawa.....Wakikuja uniite....[emoji23] [emoji23]
Kwani lazima mtufuate si mbaki wenyewe kama mnaweza kujiridhisha.wanawake mnakera sana
Tatizo moja ule uongo wa kumfuata na kumwambia nitakuoa ikiwa mwenzio anataka kuolewa kumbe ww ni papuchi tu bora kumuweka wazi kabisa kwa Dada kwako nataka mapenzi tu na kuumpa mwanamke pesa sio umehonga tunasaidiana tu hata ww atakusaidia siku umekwamakwan tukigegeda raha tunapata sisi 2, hata wanawake nao c wanaipata? kuna ulazma kutoa pesa kwan.. yajutu
Hahahaaa! Hawana ubavu huo waache tu wabwabwaje.wa hivyo umuumbe mwenyewe
Yn hao wachangiaji wa mwanzo lugha zao tu unajua hawa ni wanachuo..au la ni sekondari...mtu anatumia X badala ya S..halafu mwanaume aliyekomaa hawezi ongelea issue za hela ki namna hiiUmenifurahisha sana umenikumbusha maisha ya chuo kikuu. Kila muhula unabidilisha msichana wa kukaa nae,. Haa haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] haha [emoji23] yale maisha burudani sana
wanajipa moyo tu unataka mwanamke apendeze ata mia hutaki kumpaHahahaaa! Hawana ubavu huo waache tu wabwabwaje.