Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Haya maneno uliyoandika mara nyingi yanatoka kwa mwanaume wa ovyo sana asiyejitambua ni kwanini yeye ni mwanaume... Haya ni maneno ya mwanaume anaetumia pesa kuficha madhaifu yake kwa mwanamke, haya ni maneno kutoka kwa mwanaume bwege ambae bila kuwa na hela mfukoni anaogopa hata kisimamisha katoto ka form three njiani kwa sababu hana ngao yake anayoitegemea(hela).

Na kwa jinsi ulivyoandika tu inaonyesha Mara nyingi wewe unakutana na wanawake wa ovyo yaani wavivu na warafi na wameshakuathiri kiasi kwamba unaamini kuhongwa hongwa pesa ni asili yao kitu ambacho sio cha kweli hata kidogo... Na kingine wanawake sio wabinafsi bali hao madungaembe uliokutana nao ndio wabinafsi, wewe utakuwa una date na wale mademu ambao hata ukimrushia laki tatu anakuuliza "babe mbona umesahau kunirushia na ya kutolea?"....sasa kama umekutana na wanawake wa dizaini hiyo usijenge fikra kwamba hizo tabia za ajabu ajabu ni asili yao. Najua golddiggers wameipenda sana hii comment yako lakini kwa wanawake wenye akili umewatukana sana.

Kama ni kuhonga wewe endelea kuhonga lakini kutokuhonga kwa wanaume wengine haimaniishi kwamba eti ni sababu ya ugumu wa maisha hizo ni fikra za kipuuzi kabisa kuwahi kuziona humu.
Ukiua utaelewa na utajua kuwa wewe wa hovyo sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui nitie neno?! Ila ngoja kwa leo nipite kimya kimya
 
Ni kweli, tabia kama hii siipendi mno, bora aende tu ila sio kuhudumia kitu sio Mali Yangu.
 
Ila kweli wanaume wenzangu ukifanya maamuzi kwa kufuata nyege utafeli vizur tu
Mtoa uzi yupo sawa asilimia fulani. Angalia watu wanaolia humu weng ndiyo wale wanaohudumia hawajaoa. Muhudumie kwa asilimia fulan
wekeza sasa kwa mtu siyo mkeo. Utalia
 
Back
Top Bottom