Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Kwani bila wanaume kuwapa hela hamuwezi kupendeza??
Akili za ukilema hizi, kwamba akiwepo mwanaume basi we unaacha kabisa kutafuta hela na kugeuka special group
Waambie wajishugulishe wasiwe special grupu mana Magu Kasema mwez wa 7 ukikukuta Dar ujakata nauli ya kuludi kisumba wee mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanawake malimbukeni wanaotokea kwenye familia maskini na wavivu wa kufikiri ndio wengi wanalilia kuhudumiwa kama kigezo cha mapenzi.

I can't hesitate to call them sluts behind a love shed maana wengi ndio hawanaga msimamo hata ukimpa pesa akitokea mtu aliokuzidi hela atatanuliwa mapaja tu. Malaya type!

Niko na mpenzi tunasaidiana in each now and then home wako njema so maisha anayajua hajakulia kishida shida. Demu hawazi kunipa 100k+ nikikwama. Nikipiga mishe zangu namrudishia wala hamna mizinga ya kijinga jinga ya salon au vocha. Yupo fully independent na mapenzi ananipa bila choyo wala kipimo.

Kumnunulia vi zawadi na kumgharamia nafanyaga kwa mapenzi tu ila sifanyishwi wajibu kama midemu njaa njaa inavyojiona inastahili sana kupewa hela. Mtakunywa sana sparletta bar *****!!! Asikwambie mtu kuwa na demu anaejiweza na anayejua maisha its every mans dream.
Namna iyo mzee
 
Katika mambo yanayoweza kukufanya ukaonekana mjinga mbele ya mwanamke anayejielew basi ni kuhonga.. Kwanza anakuchukulia kuwa ni mwanaume usiyejiamini pili anakuona kuwa ni mwanamme usiyekuwa na malengo na maisha yako, Ila inategemea na wanawake unaokutana nao kama unakutana na wanawake wa aina ya Mwajuma Ndala Ndefu.. Kutwá wako kibalazani tegemea kupewa majukumu ya mzazi
Mwajuma ndala defuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mm zaman nilikua Nakaza sana kuhonga ilikua mwiko na sikumic chochote,ila asaiv mm mwenyewe bila hata ya kuombwa chochote naenda au napita sehm namnunulia kitu chochote ila pesa km pesa sijawah kumpa na hajawah kuniomba, M ninachoona inafka mda km kweli mmeeelewana na hasa ukizingatia hana hio tabia hata akiwa na shida bas ww jiongeze acha ulofa. period
 
Uzi wako ni mzuri sana.Hata hivyo,Kuwazuia wanaume kuhonga wadada ni sawa na kumpigia Mbuzi gitaa
 
Kufanya tendo la ndoa kabla ya kuoa kwenu mnaona ni sawa wakati mliambiwa kabisaa msivunje hiyo Amri ya 6, ila kuwapa hivo vicenti vyenu hao mnaofanya nao tendo la ndoa kabla ya ndoa ndo mnaona boooonge la dhambi mnalalamikaaa. Acheni zinaa uone kama kuna mwanamke atakufuata kuombo hizo pesa zako. Subilini mkiwa kwenye ndoa ndo mfanye.
sijui nani umemaliza, vema kabisa!
 
Back
Top Bottom