Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Yaah!!
Ni kweli mkuu.
Mimi kuna demu nilitokea kumpenda kwa jinsi alivyokuwa anahangaika kwaajili yangu.
Dogo kwao maisha magumu but kila siku lazima anitafute. Hilo ndilo lililonifanya nimpende na Mimi ndio nikaanza kutake my role as man
Ahaaaaa kumbe na ww unahonga afu unajifanya, unaniangusha mkuu
 
Kwahiyo kumhudumia mpenzi wako umelogwa? Una uhakika kwamba hauna pesa hivyo unataka kuhalalisha kutompa huduma mpenzi wako?
Umaskini unatupeleka kubaya

Hivi unajua watoto wa masikini wakipata ndio wanaoongoza kwa kuhonga?
Pengine hulijui hilo.

Hivi unajua watoto wa masikini wakifika chuo na kupata vijipesa mshenzi ndio huhonga?
Pengine hilo nalo hulijui.

Unajua kwa nini Wachaga na wanapesa na makabila yanayoendana nalo?
Pengine hulijui hilo.

Hivi unajua mikoa inayoongoza kwa Umasikini wanaume zao ndio vinara wa kuhonga? Wakifika mjini wanajisahau Mara baada ya kupata vihela mshenzi na kusahau kujenga hata nyumbani.

Hivi unahonga kwa uchumi gani wa nchi yetu??

Kama unaakili umenielewa.
 
mawazo finyu haya,na hawa ndo wale anampa demu msaada huku akiwa na wazo la kulipizia.
Kama mnaelewana na mtoto wa watu kwnn usimsaidie hata kidogo?
Me nampa ya saloon,ya ped,mafuta n.k.
Na juzi nimetoka kumpa kafungu
Wewe ndio wale nyumbani kwenu hata kochi hakuna. Umeme mnauonea kwa jirani. Umejokalisha mjini na kudanganywa na watoto wa wenzako wanaojenga kwao.

Kwa mawazo haya nahisi unatoka mkoa fulani wenye umasikini wa kutupa.
Kuhudumia mwanamke ambaye hujamuoa ni dalili ya kulogwa au ukosefu wa maarifa ya kiuchumi
 
Ukute we ndo mhongaji mkubwa. Kuna kila dalili yalikukuta leo umeamua kutoa povu jf. Inategemeana na mtu... kuhonga kuna mengi kati. Mwanaume halisi akimtaka mwanamke kwa mbinu zote lazima ampate. Anaangalia shobo za mwanamke zipo wapi?

Ila ujumbe uusome tuu na uuelewe.

Zamani wazazi wakipata mtoto wa kiume wanashangilia kwa kupata jembe la familia lakini sasa hizi wazazi wengi wakipata mtoto dume wanajililia tuu kwa sababu ya tabia za vijana wa siku hizi kufanya misukule na watoto wa kike.

Watoto wakike sasa hivi ni dili kuliko wanaume wenye tabia Kama yako ya kutojielewa
 
Mkuu kinachofanyika hapo ni kama ile system ya "barter trade" yaani ubadilishanaji wa bidhaa au huduma. Wengi wetu tunapenda huduma so ni lazima kuigharamia japo kidogo maana kama "wanaume wa dar" wasemavyo cha bure mjini ni salamu tu.
Binafsi siungi mkono hoja kwakuwa hata mzee wetu aliwahi sema "ukitaka kula lazima nawewe uliwe, lakini sina maana hiyo"

Unaposema gharama kidogo unamaanisha nini mkuu?
Fafanua
 
Mwanaume ukiona unatumia pesa kwa mwanamke ili umpate au aendelee kukupenda you're totally finished
Mkuu kuna watu hawaelewi humu ndani.
Yaani mwanaume umeshindwa kutumia ushawishi wote na kuvuta hisia za mwanamke mpaka umpe kwanza pesa?
 
Kama huna nia ya kumuoa unaenda kumtongoza wanini? Na pia sisi wanaume tuna tamaa sana mwanamke anakupanulia mapaja yake na staili unampa za ajabu anavumilia wengine mpaka tigo wanatoa ili akulizishe wewe mwanaume lakini bado hautoshi unaenda kumtongoza mwingine kwa ulaghai wa kumuoa kumbe lengo lako papuchi tu na kusepa zako, wanawake tabia ya kuomba pesa tumewafundisha sisi wanaume zamani walikuaga hawana hiyo tabia ya kuomba pesa na mwanaume alikua anadeti na mwanamke mpaka wanaoana lakini kwa tabia ya sasa sisi wanaume kujiita PLAYBOY wengine FATAKI wanawake wameona hapa tutakua tunatumika tu kama ndala za chooni na kuachwa bora tuwe tunalipana kabisa kama mwanaume wa kuoa atajulikana mbele ya safari lakn pesa kwanza maana hawatuamini tumekua waongo kupita maelezo

Tabia ya mwanamke kuomba pesa kabla ya ndoa ni dalili ya kutokukupenda mkuu. Mwanamke mwenye aibu na adabu ya kike hawezi kupokea pesa ya mwanaume kabla ya kuingia ndoani.

Sijui hili halifundishwi siku hizi au vipi.
Mwanamke kumtegemea mwanaume kiuchumi ni dalili ya uvivu wa mwanamke huyo.

Ndio maana baadhi ya makabila wanawake zao ukiwaoa utaishia kufa masikini na kuchapiwa tuu.

Mwenye kusikia asikie
 
Katika mambo yanayoweza kukufanya ukaonekana mjinga mbele ya mwanamke anayejielew basi ni kuhonga.. Kwanza anakuchukulia kuwa ni mwanaume usiyejiamini pili anakuona kuwa ni mwanamme usiyekuwa na malengo na maisha yako, Ila inategemea na wanawake unaokutana nao kama unakutana na wanawake wa aina ya Mwajuma Ndala Ndefu.. Kutwá wako kibalazani tegemea kupewa majukumu ya mzazi
Kweli mkuu!

Watu hawalielewi hilo?

Unaanzaje kumpa mwanamke 500,000/= wakati huna hata shamba wala kiwanja.

Hivi mwanamke huyo unadhani anakuchukuliaje? Au wewe mwenyewe ukikaa utajichukuliaje zaidi ya kujiona zombie.

Wapo vijana wa chuo kazi yao ilikuwa kuhonga tuu vijihela vyenyewe vya kuandamana. Wanamaliza shule hana hata kishamba, kitanda wala sufuria.
Hivi sio kulogwa huku au laana kabisa
 
Hivi unajua watoto wa masikini wakipata ndio wanaoongoza kwa kuhonga?
Pengine hulijui hilo.

Hivi unajua watoto wa masikini wakifika chuo na kupata vijipesa mshenzi ndio huhonga?
Pengine hilo nalo hulijui.

Unajua kwa nini Wachaga na wanapesa na makabila yanayoendana nalo?
Pengine hulijui hilo.

Hivi unajua mikoa inayoongoza kwa Umasikini wanaume zao ndio vinara wa kuhonga? Wakifika mjini wanajisahau Mara baada ya kupata vihela mshenzi na kusahau kujenga hata nyumbani.

Hivi unahonga kwa uchumi gani wa nchi yetu??

Kama unaakili umenielewa.
Hiki ulichoandika ni mawazo yako huna hata supporting doc kisha unakimbilia kusema 'kama una akili umenielewa' hoja yako haiwezi kueleweka kwa kukimbilia kuongea maneno kama hayo.
 
NINA UHAKIKA WANAUME WOTE HUMU MMESHAWAHI KUHONGA NA MNAENDELEA KUHONGA, HAPA MNAJISHAUA TU,, WANAUME WENGI KAMA SIO WOTE UTAWASIKIA MM SIHONGI LKN KIUKWELI NI WAHONGAJI WAZURI SANA,

Ni kweli mkuu.
Mimi niliacha kuhonga baada ya mpenzi wangu mmoja kuniambia mbona unanipa hela umelogwa?
Akaniuliza;
Unakiwanja?
Nikajibu hapana.
Unashamba?
Hapana.
Akaendelea kusema;
Tumia akili. Wewe ni mwanaume.

Kuanzia hapo kutoa hela niliacha.
 
Unajua kaka mwanamke ambaye ni wife material anaone kana tu cha kwanza mchamungu, msikivu, respect but pia an akujali 24/7 na kukuthamini, Mfano anaweza akawa stdent, raia tu wa kawaida ambaye kwao au yy wana hali ya kawaida tu lakini unakuta ww unajua kwamba hana chanzo chochote cha kupata income lakini daily lazma akutafute na kukujulia hali ni wachache xana katika ulimwengu huu wa .com ,, nmesema nizungumzie side hii ya mwanake ambaye hana kaz na ni wfe material lakn nje na hapo ni hamna kitu alafu wanawake wackuhizi ukitaka kujua as ni wf material or not kwenye PESA tu unampimia mkuu,,,,
"Wife material"! Ndiyo kitu gani?
Kuna wife material kabla haujamuweka mwanamke huyo ndani?
Hilo neno la kizembe huwafanya wanaume wengi waangukie pua kwenye suala zima la mapenzi.
Mwanamke anaishi kwao, ukienda kumuona, usoni kwake anavaa tabasamu pana la hubha na hakuombi chochote, tayari unam-rank "wife material".
Ebanaee nisizame sana, yawezekana tunaongea na "kihongi',maana hili neno wife material limetokanatokanaje kwa mwanamke asiye mke wako?
 
Mapenzi ni package ambayo inavitu vingi sana, hata mm nikiwa early 20's nilikuwa na fikra kama hizi lkn ni kutokana na ugumu wa maisha tu ndio mwaume unakuwa na mawazo haya!!!
Mnachotakiwa kujua nikuwa mwanamke hatakama anahela nyingi kiasi gani lkn atajitaji kuhongwa, na hii nature kwao!!
Mwanamke ni mbinafsi in nature kwahiyo swala kuchukua hela zako hakiepukiki, na kama unataka kuishi na mwamamke vzr usijishughulishe na hela zake, hata kwenye familia hesabu hela zake sio zako wala za familia ikitokea anajitambua atakusaidia otherwise kama hajitambui ukitaka hela zake mtagombana kila siku
Sijakataa mkuu.

Ila awe mke wako mkuu.
Vinginevyo wewe ni zombie na hujiamini.

Wanawake hawatakiwa kutuendesha bali sisi ndio tuwaendeshe.
Ni hatari Sana Kama hujanielewa
 
Kama kweli uliyoyaandika ndo unayatekeleza bac uko vizur lkn km nmfumo wa kutafuta like u takuwa wa kolomije
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hiyo ndio life yangu mkuu.
Mwanamke atakayeolewa na mimi ndiye atakayepewa huduma.
 
Mkuu mama na baba ni lazima niwape fungu tena wakwanza.
Ila ktk jambo la mahusiano kumsaidia binti vitu vidigo vidogo ni kawaida.
Sio kumsaidia mkuu sema kumhonga ndio inaeleweka. Unamsaidia yeye hana ndugu?
Unamsaidia wewe ni nani?
Ulimuoa lini?
Unamsaidia kwa kanuni gani?

Kama hujamuoa aiseee naogopa hata kukuita hili jina.
Ila kila mtu anamaisha yake mkuu. Hongera
 
Usitake kuaminisha watu kuwa kila mwanaume mwenye Mawazo haya kuwa yanasabishwa na ugumu wa maisha nakataa, kuhonga ni kulingana na wanawake unaokutana nao Pía ni kielelezo kuw unakuw mwanaume usiyejiamini na kujitambua, ila simanishi kuw akiwa na shida usimsaidie ila namanisha mwanamume kugeuzwa kitega uchumi cha mwanamke
Wenyewe tabia hizi wengi hutoka familia masikini Sana mkuu.
Usimshangae.

Wengi tunawaona huku.
 
Back
Top Bottom