Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Ukute we ndo mhongaji mkubwa. Kuna kila dalili yalikukuta leo umeamua kutoa povu jf. Inategemeana na mtu... kuhonga kuna mengi kati. Mwanaume halisi akimtaka mwanamke kwa mbinu zote lazima ampate. Anaangalia shobo za mwanamke zipo wapi?
 
Mkuu kinachofanyika hapo ni kama ile system ya "barter trade" yaani ubadilishanaji wa bidhaa au huduma. Wengi wetu tunapenda huduma so ni lazima kuigharamia japo kidogo maana kama "wanaume wa dar" wasemavyo cha bure mjini ni salamu tu.
Binafsi siungi mkono hoja kwakuwa hata mzee wetu aliwahi sema "ukitaka kula lazima nawewe uliwe, lakini sina maana hiyo"
 
mawazo finyu haya,na hawa ndo wale anampa demu msaada huku akiwa na wazo la kulipizia.
Kama mnaelewana na mtoto wa watu kwnn usimsaidie hata kidogo?
Me nampa ya saloon,ya ped,mafuta n.k.
Na juzi nimetoka kumpa kafungu

Newtons first law of motion, ulisoma physics?
 
Kama huna nia ya kumuoa unaenda kumtongoza wanini? Na pia sisi wanaume tuna tamaa sana mwanamke anakupanulia mapaja yake na staili unampa za ajabu anavumilia wengine mpaka tigo wanatoa ili akulizishe wewe mwanaume lakini bado hautoshi unaenda kumtongoza mwingine kwa ulaghai wa kumuoa kumbe lengo lako papuchi tu na kusepa zako, wanawake tabia ya kuomba pesa tumewafundisha sisi wanaume zamani walikuaga hawana hiyo tabia ya kuomba pesa na mwanaume alikua anadeti na mwanamke mpaka wanaoana lakini kwa tabia ya sasa sisi wanaume kujiita PLAYBOY wengine FATAKI wanawake wameona hapa tutakua tunatumika tu kama ndala za chooni na kuachwa bora tuwe tunalipana kabisa kama mwanaume wa kuoa atajulikana mbele ya safari lakn pesa kwanza maana hawatuamini tumekua waongo kupita maelezo
 
Katika mambo yanayoweza kukufanya ukaonekana mjinga mbele ya mwanamke anayejielew basi ni kuhonga.. Kwanza anakuchukulia kuwa ni mwanaume usiyejiamini pili anakuona kuwa ni mwanamme usiyekuwa na malengo na maisha yako, Ila inategemea na wanawake unaokutana nao kama unakutana na wanawake wa aina ya Mwajuma Ndala Ndefu.. Kutwá wako kibalazani tegemea kupewa majukumu ya mzazi
 
Habarini za pasaka!!

Hakuna jambo baya Kama mwanaume kutokujitambua. Kuwa mwanaume ni heshima kubwa hakuna asiyejua. Si Wanyama si ndugu zetu wanawake hilo wanalijua.

Sasa wapo wanaume ambao sijui mafunzo hawakupata au vipi. Na hii ni sababu ya malezi na makuzi.

Mwanaume halisi hapaswi kuhonga mwanamke yoyote ambaye hajamuoa. Ipo Tabia kwa baadhi ya wanaume nadhani wasiojiamini ambao kutoa pesa kwao kwa wanawake ni jambo rahisi Sana. Kwa taarifa tuu ni kwamba unadhalilisha hulka ya kiume. Sio jukumu lako kumtunza mwanamke asiye mke wako. Na ni dhambi kubwa kumhudumia mwanamke ambaye hujamuoa. Kiimani huitwa kutapanya mali kwa uasherati. Kiuchumi huo ni ubadhirifu. Kitababia huko ni kutokujiamini na ulofa. Jukumu la kumtunza mwanamke kabla ya ndoa ni la wazazi wake au yeye mwenyewe. Hiyo ndio tabia ya kihere here mwishoe unapiga mayoe ukija kuachwa.

Hivi wazazi wako wamekusomesha hadi umefika chuo na kupata kazi. Badala ya kulipa fadhila kwa Mama na Baba wewe unajitia penda penda. Hiyo ni dalili ya kulogwa. Kama ni nguo si umnunulie mama yako na Baba yako. Hivi mama yako kipindi akivaa magunia ili usome ulidhani hakutaka kujiremba. Mnunulie Mama yako mafuta na vipodozi apendeze uone Kama hutabarikiwa.

Wewe kazi kutapanya Mali Kwa mademu kama chizi. Kiukweli wanaume wenzangu wenye tabia hii huwaga mnatuangusha. Hata wanawake wanawadharau kwakweli. Binti unampa hela siku akienda kwenu kumcheki mama yako kajichokea. Kama unatabia hii wewe ni chizi na umelogwa.
Usimuhudumie mwanamke Kama hujamuoa. Kama unataka kumhudumia Kama mkeo si umuweke ndani.

Unajifanya unajua kuhudumia. Wakati ukioa kuhudumia huko kwakushinda. Huu ni unafiki ambayo si tabia ya kiume.

Mwanamke akitaka pesa mwambie sina. Kama hakuelewi mwambie kila la kheri.
Sio lazima ung'ang'anie Kama hakuna wanawake wengi. Lipa kwanza fadhila kwa waliokufikisha hapo na sio kutapanya Mali mwishoe unajifia na maradhi Kama sio umasikini.

Wapo wale wajirembao Kama mademu.
Hivi mwanaume mzima unaanzaje kujiremba kwanza hata kufikiria unaanzaje.
Yaani mwanaume mzima nywele unatia dawa, make up Kama unaenda harusini.
Kuonyesha matako hadharani Kama unataka kuliwa tigo. Hivi unataka kushindana na wanawake utaweza. Kwa taarifa yako wanawake hutawaweza wao hicho ndicho kilichowaleta duniani.
Na hata hao wanawake hivi ulidhani wanataka kuwa wanawake?
Embu wenye tabia hizi muache Mara moja. Mnatuangusha wanaume.

Kwa leo niseme basi. Nimeona tukumbushane wanaume wenzangu
Binafsi
mwanamke nikielewana nae nitamhudumia kila kitu
[emoji121]
WAKATI POVU LA SABUNI YA MAGADI LIKITIRIRISHWA NA WALENGWA DHIDI YA MTOA MADA,

BABA YENU NA_SUBSCRIBE HUU UZI MUBASHARA KAMA IFUATAVYO.

[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Kwani bila wanaume kuwapa hela hamuwezi kupendeza??
Akili za ukilema hizi, kwamba akiwepo mwanaume basi we unaacha kabisa kutafuta hela na kugeuka special group
nani kakuambia ukimuhudumia msichana wako utafanya awe special group??

ww ndo una mawazo ya ukilema
 
Back
Top Bottom