Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Inbox nikutongndio wapi huko mkuu?
[emoji8]
ckuji[emoji125] [emoji125] [emoji125]Inbox nikutong
Mi mwenyewe wamtuJina la mtu hilo
Mkuu, This simply shows how inferior you are towards life challenges. Inaonekana wazi PESA inakupiga chenga sasa unataka kuhamisha hasira zako kwa Hawa Warembo.Habarini za pasaka!!
Hakuna jambo baya Kama mwanaume kutokujitambua. Kuwa mwanaume ni heshima kubwa hakuna asiyejua. Si Wanyama si ndugu zetu wanawake hilo wanalijua.
Sasa wapo wanaume ambao sijui mafunzo hawakupata au vipi. Na hii ni sababu ya malezi na makuzi.
Mwanaume halisi hapaswi kuhonga mwanamke yoyote ambaye hajamuoa. Ipo Tabia kwa baadhi ya wanaume nadhani wasiojiamini ambao kutoa pesa kwao kwa wanawake ni jambo rahisi Sana. Kwa taarifa tuu ni kwamba unadhalilisha hulka ya kiume. Sio jukumu lako kumtunza mwanamke asiye mke wako.
Na ni dhambi kubwa kumhudumia mwanamke ambaye hujamuoa. Kiimani huitwa kutapanya mali kwa uasherati. Kiuchumi huo ni ubadhirifu. Kitababia huko ni kutokujiamini na ulofa. Jukumu la kumtunza mwanamke kabla ya ndoa ni la wazazi wake au yeye mwenyewe. Hiyo ndio tabia ya kihere here mwishoe unapiga mayoe ukija kuachwa.
Hivi wazazi wako wamekusomesha hadi umefika chuo na kupata kazi. Badala ya kulipa fadhila kwa Mama na Baba wewe unajitia penda penda. Hiyo ni dalili ya kulogwa. Kama ni nguo si umnunulie mama yako na Baba yako. Hivi mama yako kipindi akivaa magunia ili usome ulidhani hakutaka kujiremba. Mnunulie Mama yako mafuta na vipodozi apendeze uone Kama hutabarikiwa.
Wewe kazi kutapanya Mali Kwa mademu kama chizi. Kiukweli wanaume wenzangu wenye tabia hii huwaga mnatuangusha. Hata wanawake wanawadharau kwakweli. Binti unampa hela siku akienda kwenu kumcheki mama yako kajichokea. Kama unatabia hii wewe ni chizi na umelogwa.
Usimuhudumie mwanamke Kama hujamuoa. Kama unataka kumhudumia Kama mkeo si umuweke ndani. Unajifanya unajua kuhudumia. Wakati ukioa kuhudumia huko kwakushinda. Huu ni unafiki ambayo si tabia ya kiume.
Mwanamke akitaka pesa mwambie sina. Kama hakuelewi mwambie kila la kheri.
Sio lazima ung'ang'anie Kama hakuna wanawake wengi. Lipa kwanza fadhila kwa waliokufikisha hapo na sio kutapanya Mali mwishoe unajifia na maradhi Kama sio umasikini.
Wapo wale wajirembao Kama mademu.
Hivi mwanaume mzima unaanzaje kujiremba kwanza hata kufikiria unaanzaje.
Yaani mwanaume mzima nywele unatia dawa, make up Kama unaenda harusini.
Kuonyesha matako hadharani Kama unataka kuliwa tigo. Hivi unataka kushindana na wanawake utaweza.
Kwa taarifa yako wanawake hutawaweza wao hicho ndicho kilichowaleta duniani.
Na hata hao wanawake hivi ulidhani wanataka kuwa wanawake?
Embu wenye tabia hizi muache Mara moja. Mnatuangusha wanaume.
Kwa leo niseme basi. Nimeona tukumbushane wanaume wenzangu
Kaka mbona unatoa povu hvyo ,mshkaj kazngmzia kumhudumia mwanamke na kuwasahau waliokufanya ukafka hapo ulipo yaan aidha n baba ,mama,Dada,kaka,shangaz na wengne lakn much n kuwasahau wazaz wako waliokuzaa na kukulea kukusomesha au kutokukusomesha mpaka ukafka hapo ulipo yaan mfano toka uajiriwe hata kanga tu au suruali kuwanunulia wazaz wako hujawah licha ya kuwa ulitakiwa hata uwe umewafanyia kitu kikubwa kama kuwajengea nyumba nzuri,kuwanunulia hata nusu ekari ya shamba nk lkn ww umewekeza kumsomesha demu wako tu ,akisema hv unampa pesa nk ,,xo nmesema nchangie kdg tu manake naona jamaa yupo sawa zingatia asilimia kubwa ya mademu wa sasa in my side naona kama madevilsMkuu, This simply shows how inferior you are towards life challenges. Inaonekana wazi PESA inakupiga chenga sasa unataka kuhamisha hasira zako kwa Hawa Warembo.
Mkuu, Tafuta kwanza Ufalme wa Mbinguni hayo mengine utazidishiwa. Jifunze kuzishinda Tama zako kwanza na sio kuwaelekeza ama kuwafundisha watu Mambo ambayo Wewe mwenyewe huwezi kuyafanya.
Ukiona huwezi kuishi na Mwanamke, Oa Mwanaume lakini sio unilaumu ama kunitukana mimi kisa namuhudumia Demu wangu na sijamuoa.
I stand to be corrected.
Pole sana... Haya ni madhara ya kutoa kitu/pesa huku ukitegemea na wewe kulipwa fadhila... Ukitoa toa kwa moyo mmoja... Ukitoa toa bila kukumbuka kama ulitoa... Kama unacho wape, kama huna kausha... Alafu ukiwa nazo mbona mawazo haya unakuwa huna... Hata huyo mwanamke atakayekuja kuwa mkeo huwezi kumpata na kumtunza hadi kufikia ndoa kama hazijakutoa kwanza...
Hii inaitwa kugawana faida, mtaji ukiendelea kubaki pale pale...
Cc: mahondaw
[emoji4] [emoji4] Kama kuna kitu wataka kusema mahondaw wangu... Sema tu, usihofia kwa sababu nishakanyaga mahala.. Nawe ukingia timba kabisa... Tuache vumbi tu...Tehteh nilihisi hujakanyaga hapa nikawa napitaje nikinyatanyata kimya kimya kama sio mimi vile Smart911 usinisikie lol kumbe zamaaaaaani ushatia timu
Anyway wenye nazo hawanaga mawazo hafifu kama hao wanaojidefend hapo .
Niambie my InnaMy Gui[emoji108]
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] yani unaakili sana rafiki yangu nimekupenda na bureeee[emoji182]Kufanya tendo la ndoa kabla ya kuoa kwenu mnaona ni sawa wakati mliambiwa kabisaa msivunje hiyo Amri ya 6, ila kuwapa hivo vicenti vyenu hao mnaofanya nao tendo la ndoa kabla ya ndoa ndo mnaona boooonge la dhambi mnalalamikaaa. Acheni zinaa uone kama kuna mwanamke atakufuata kuombo hizo pesa zako. Subilini mkiwa kwenye ndoa ndo mfanye.
Mwambieee huyohutaki kumuhudumia halafu utataka kumuona amependeza???
au uko tayar kuongozana nae akiwa rafu??
Waambie hao ubinafsi to ndiyo unawasumbua pia kutokuwa NazoPole sana... Haya ni madhara ya kutoa kitu/pesa huku ukitegemea na wewe kulipwa fadhila... Ukitoa toa kwa moyo mmoja... Ukitoa toa bila kukumbuka kama ulitoa... Kama unacho wape, kama huna kausha... Alafu ukiwa nazo mbona mawazo haya unakuwa huna... Hata huyo mwanamke atakayekuja kuwa mkeo huwezi kumpata na kumtunza hadi kufikia ndoa kama hazijakutoa kwanza...
Hii inaitwa kugawana faida, mtaji ukiendelea kubaki pale pale...
Cc: mahondaw
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji7] za chembe lazima ukaeeeeeee!!!!!!![emoji115] [emoji115] [emoji115]Kwahiyo kumhudumia mpenzi wako umelogwa? Una uhakika kwamba hauna pesa hivyo unataka kuhalalisha kutompa huduma mpenzi wako?
Umaskini unatupeleka kubaya