Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,330
Kweli aseee hizi in zama za ukweli na uwazi sikuhizi tumekua vitega uchumi bila kujijua nikuacha Mara 1
kama hamtaki kutoa pesa kwa nini mnataka papuchi basi? na mimi ntakupa papuchi siku ukinioa, hapo tutaenda sawa.Yaaa ni kwl kabisa mkuu ni vyema tukajisahihisha nmeipenda hi "mwanamke akitaka pesa mwambie sina , kama ha kuelewa mwambie kwaheri . Minadhan mungu ndye mpangaj kakupangia utamuoa nan xo be u na usilazimishe mambo mwombe mungu atakuonyesha wapi n sahihi pia ,,,,,,,,
Sasa kama na mama ulimpa kafungu basi si mbayamawazo finyu haya,na hawa ndo wale anampa demu msaada huku akiwa na wazo la kulipizia.
Kama mnaelewana na mtoto wa watu kwnn usimsaidie hata kidogo?
Me nampa ya saloon,ya ped,mafuta n.k.
Na juzi nimetoka kumpa kafungu
Mkuu mama na baba ni lazima niwape fungu tena wakwanza.Sasa kama na mama ulimpa kafungu basi si mbaya
Meseji yako imenibadilisha asubuhi asubuhi mkuu..AKSANTE sana ndugu.hapa natafuta kitufe cha Block number.ubarikiwe sanaHabarini za pasaka!!
Hakuna jambo baya Kama mwanaume kutokujitambua. Kuwa mwanaume ni heshima kubwa hakuna asiyejua. Si Wanyama si ndugu zetu wanawake hilo wanalijua.
Sasa wapo wanaume ambao sijui mafunzo hawakupata au vipi. Na hii ni sababu ya malezi na makuzi.
Mwanaume halisi hapaswi kuhonga mwanamke yoyote ambaye hajamuoa. Ipo Tabia kwa baadhi ya wanaume nadhani wasiojiamini ambao kutoa pesa kwao kwa wanawake ni jambo rahisi Sana. Kwa taarifa tuu ni kwamba unadhalilisha hulka ya kiume. Sio jukumu lako kumtunza mwanamke asiye mke wako. Na ni dhambi kubwa kumhudumia mwanamke ambaye hujamuoa. Kiimani huitwa kutapanya mali kwa uasherati. Kiuchumi huo ni ubadhirifu. Kitababia huko ni kutokujiamini na ulofa. Jukumu la kumtunza mwanamke kabla ya ndoa ni la wazazi wake au yeye mwenyewe. Hiyo ndio tabia ya kihere here mwishoe unapiga mayoe ukija kuachwa.
Hivi wazazi wako wamekusomesha hadi umefika chuo na kupata kazi. Badala ya kulipa fadhila kwa Mama na Baba wewe unajitia penda penda. Hiyo ni dalili ya kulogwa. Kama ni nguo si umnunulie mama yako na Baba yako. Hivi mama yako kipindi akivaa magunia ili usome ulidhani hakutaka kujiremba. Mnunulie Mama yako mafuta na vipodozi apendeze uone Kama hutabarikiwa.
Wewe kazi kutapanya Mali Kwa mademu kama chizi. Kiukweli wanaume wenzangu wenye tabia hii huwaga mnatuangusha. Hata wanawake wanawadharau kwakweli. Binti unampa hela siku akienda kwenu kumcheki mama yako kajichokea. Kama unatabia hii wewe ni chizi na umelogwa.
Usimuhudumie mwanamke Kama hujamuoa. Kama unataka kumhudumia Kama mkeo si umuweke ndani.
Unajifanya unajua kuhudumia. Wakati ukioa kuhudumia huko kwakushinda. Huu ni unafiki ambayo si tabia ya kiume.
Mwanamke akitaka pesa mwambie sina. Kama hakuelewi mwambie kila la kheri.
Sio lazima ung'ang'anie Kama hakuna wanawake wengi. Lipa kwanza fadhila kwa waliokufikisha hapo na sio kutapanya Mali mwishoe unajifia na maradhi Kama sio umasikini.
Wapo wale wajirembao Kama mademu.
Hivi mwanaume mzima unaanzaje kujiremba kwanza hata kufikiria unaanzaje.
Yaani mwanaume mzima nywele unatia dawa, make up Kama unaenda harusini.
Kuonyesha matako hadharani Kama unataka kuliwa tigo. Hivi unataka kushindana na wanawake utaweza. Kwa taarifa yako wanawake hutawaweza wao hicho ndicho kilichowaleta duniani.
Na hata hao wanawake hivi ulidhani wanataka kuwa wanawake?
Embu wenye tabia hizi muache Mara moja. Mnatuangusha wanaume.
Kwa leo niseme basi. Nimeona tukumbushane wanaume wenzangu
Usitake kuaminisha watu kuwa kila mwanaume mwenye Mawazo haya kuwa yanasabishwa na ugumu wa maisha nakataa, kuhonga ni kulingana na wanawake unaokutana nao Pía ni kielelezo kuw unakuw mwanaume usiyejiamini na kujitambua, ila simanishi kuw akiwa na shida usimsaidie ila namanisha mwanamume kugeuzwa kitega uchumi cha mwanamkeMapenzi ni package ambayo inavitu vingi sana, hata mm nikiwa early 20's nilikuwa na fikra kama hizi lkn ni kutokana na ugumu wa maisha tu ndio mwaume unakuwa na mawazo haya!!!
Mnachotakiwa kujua nikuwa mwanamke hatakama anahela nyingi kiasi gani lkn atajitaji kuhongwa, na hii nature kwao!!
Mwanamke ni mbinafsi in nature kwahiyo swala kuchukua hela zako hakiepukiki, na kama unataka kuishi na mwamamke vzr usijishughulishe na hela zake, hata kwenye familia hesabu hela zake sio zako wala za familia ikitokea anajitambua atakusaidia otherwise kama hajitambui ukitaka hela zake mtagombana kila siku
Mkuu sina maana ya kuwa kitega uchumi, maana yangu ni hii: ukiwa na mwanamke sehemu kwa walivyo wengi kama mnapata huduma anajua unalipa mwanaume, pia ni lazima ukubali kuwa wanawake wengi siku hizi ni hawana mapenzi ya kweli hususani wakiwa below 25-30, wengi wanapenda mambo makubwa ambayo yako nje ya uwezo wao kwahiyo njia rahisi kwao nikuchukua pesa kutoka kwa mwanaume!!Usitake kuaminisha watu kuwa kila mwanaume mwenye Mawazo haya kuwa yanasabishwa na ugumu wa maisha nakataa, kuhonga ni kulingana na wanawake unaokutana nao Pía ni kielelezo kuw unakuw mwanaume usiyejiamini na kujitambua, ila simanishi kuw akiwa na shida usimsaidie ila namanisha mwanamume kugeuzwa kitega uchumi cha mwanamke
[emoji121]NINA UHAKIKA WANAUME WOTE HUMU MMESHAWAHI KUHONGA NA MNAENDELEA KUHONGA, HAPA MNAJISHAUA TU,, WANAUME WENGI KAMA SIO WOTE UTAWASIKIA MM SIHONGI LKN KIUKWELI NI WAHONGAJI WAZURI SANA,
Hapo nimekuelewa.. Kweli wengi wa umr huo, wengi wao wanapenda mambo makubw kuliko uwezo wao tena hawa wenye maisha ya kawaida ndo shida zaidiMkuu sina maana ya kuwa kitega uchumi, maana yangu ni hii: ukiwa na mwanamke sehemu kwa walivyo wengi kama mnapata huduma anajua unalipa mwanaume, pia ni lazima ukubali kuwa wanawake wengi siku hizi ni hawana mapenzi ya kweli hususani wakiwa below 25-30, wengi wanapenda mambo makubwa ambayo yako nje ya uwezo wao kwahiyo njia rahisi kwao nikuchukua pesa kutoka kwa mwanaume!!
Ukimpata mwenye uelewa mnaishi vzr tu, hawa wenye 30+ wameshafanya yao wamechoka wanaangalia future itakuwaje
Huo ndio ukweli mkuu, kwahiyo kama unampenda na unamhitaji ndio inabidi kuwa mvumilivu!!Hapo nimekuelewa.. Kweli wengi wa umr huo, wengi wao wanapenda mambo makubw kuliko uwezo wao tena hawa wenye maisha ya kawaida ndo shida zaidi
Hapo naunga mkono hoja, lakini pamoja na hilo kuna wanawake wamezidi ubinafs. Ukiwa nae anataka kila kitu kiwe juu yako ilihari hujamuoa,Huo ndio ukweli mkuu, kwahiyo kama unampenda na unamhitaji ndio inabidi kuwa mvumilivu!!
Lakini pia hawa wa 30+ sio kuwa hawapendi lkn wanaogopa kutupoteza na umri wao umeenda kwa wakati huo!!
Point ya msingi kwa uzoefu wangu wanawake wengi ni wabinafsi, wanaume tulitambue hilo
Kabisaa, wanakuwa kama kupe vile halfu mbaya zaidi hata ukisema huna hakuelewi!!Hapo naunga mkono hoja, lakini pamoja na hilo kuna wanawake wamezidi ubinafs. Ukiwa nae anataka kila kitu kiwe juu yako ilihari hujamuoa,
Hata wasipomuelew ujumbe umefika mahari pakeMakahaba a.k.a mademu wa humu JF wengi wao hawatakuelewa Michaelray22
Aje chugaaa?hutaki kumuhudumia halafu utataka kumuona amependeza???
au uko tayar kuongozana nae akiwa rafu??
Nmeelewa sana mkuuu... Shukrani sana ...maana always nlkuwa na huu msimamo nilihisi napotea kumbe niko RightHabarini za pasaka!!
Hakuna jambo baya Kama mwanaume kutokujitambua. Kuwa mwanaume ni heshima kubwa hakuna asiyejua. Si Wanyama si ndugu zetu wanawake hilo wanalijua.
Sasa wapo wanaume ambao sijui mafunzo hawakupata au vipi. Na hii ni sababu ya malezi na makuzi.
Mwanaume halisi hapaswi kuhonga mwanamke yoyote ambaye hajamuoa. Ipo Tabia kwa baadhi ya wanaume nadhani wasiojiamini ambao kutoa pesa kwao kwa wanawake ni jambo rahisi Sana. Kwa taarifa tuu ni kwamba unadhalilisha hulka ya kiume. Sio jukumu lako kumtunza mwanamke asiye mke wako.
Na ni dhambi kubwa kumhudumia mwanamke ambaye hujamuoa. Kiimani huitwa kutapanya mali kwa uasherati. Kiuchumi huo ni ubadhirifu. Kitababia huko ni kutokujiamini na ulofa. Jukumu la kumtunza mwanamke kabla ya ndoa ni la wazazi wake au yeye mwenyewe. Hiyo ndio tabia ya kihere here mwishoe unapiga mayoe ukija kuachwa.
Hivi wazazi wako wamekusomesha hadi umefika chuo na kupata kazi. Badala ya kulipa fadhila kwa Mama na Baba wewe unajitia penda penda. Hiyo ni dalili ya kulogwa. Kama ni nguo si umnunulie mama yako na Baba yako. Hivi mama yako kipindi akivaa magunia ili usome ulidhani hakutaka kujiremba. Mnunulie Mama yako mafuta na vipodozi apendeze uone Kama hutabarikiwa.
Wewe kazi kutapanya Mali Kwa mademu kama chizi. Kiukweli wanaume wenzangu wenye tabia hii huwaga mnatuangusha. Hata wanawake wanawadharau kwakweli. Binti unampa hela siku akienda kwenu kumcheki mama yako kajichokea. Kama unatabia hii wewe ni chizi na umelogwa.
Usimuhudumie mwanamke Kama hujamuoa. Kama unataka kumhudumia Kama mkeo si umuweke ndani. Unajifanya unajua kuhudumia. Wakati ukioa kuhudumia huko kwakushinda. Huu ni unafiki ambayo si tabia ya kiume.
Mwanamke akitaka pesa mwambie sina. Kama hakuelewi mwambie kila la kheri.
Sio lazima ung'ang'anie Kama hakuna wanawake wengi. Lipa kwanza fadhila kwa waliokufikisha hapo na sio kutapanya Mali mwishoe unajifia na maradhi Kama sio umasikini.
Wapo wale wajirembao Kama mademu.
Hivi mwanaume mzima unaanzaje kujiremba kwanza hata kufikiria unaanzaje.
Yaani mwanaume mzima nywele unatia dawa, make up Kama unaenda harusini.
Kuonyesha matako hadharani Kama unataka kuliwa tigo. Hivi unataka kushindana na wanawake utaweza.
Kwa taarifa yako wanawake hutawaweza wao hicho ndicho kilichowaleta duniani.
Na hata hao wanawake hivi ulidhani wanataka kuwa wanawake?
Embu wenye tabia hizi muache Mara moja. Mnatuangusha wanaume.
Kwa leo niseme basi. Nimeona tukumbushane wanaume wenzangu