Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,034
aliyetoa maada hii atakuwa mwanafunzi, sisi kina liumba tunaonga mpaka magari, sembuze viguo vya 25000, ukikua utajua maana ya kuhonga
Raha ya mwanaume ni kuhonga, bila kuhonga unakuwa bado ujafikia kwy uanaume unakuwa mvulana.Yn hao wachangiaji wa mwanzo lugha zao tu unajua hawa ni wanachuo..au la ni sekondari...mtu anatumia X badala ya S..halafu mwanaume aliyekomaa hawezi ongelea issue za hela ki namna hii
From wt i know matured man anajisikia tu raha yani kumuhudumia baby bila ht kuombwa .
Sasa hizi hela za boom mtu anazipigia mahesabu..kipapa atumie ht hela ya perfume usimpe eboo
Nashukuru sijambo mumy! Za kwako?wanajipa moyo tu unataka mwanamke apendeze ata mia hutaki kumpa
nimekumiss shost sakayo kanipa salaam zako mzima lkn
My Gui[emoji108]Mapenzi ni package ambayo inavitu vingi sana, hata mm nikiwa early 20's nilikuwa na fikra kama hizi lkn ni kutokana na ugumu wa maisha tu ndio mwaume unakuwa na mawazo haya!!!
Mnachotakiwa kujua nikuwa mwanamke hatakama anahela nyingi kiasi gani lkn atajitaji kuhongwa, na hii nature kwao!!
Mwanamke ni mbinafsi in nature kwahiyo swala kuchukua hela zako hakiepukiki, na kama unataka kuishi na mwamamke vzr usijishughulishe na hela zake, hata kwenye familia hesabu hela zake sio zako wala za familia ikitokea anajitambua atakusaidia otherwise kama hajitambui ukitaka hela zake mtagombana kila siku
[emoji125] [emoji125] [emoji125]My Gui[emoji108]
safi sana dearNashukuru sijambo mumy! Za kwako?
Tatizo moja ule uongo wa kumfuata na kumwambia nitakuoa ikiwa mwenzio anataka kuolewa kumbe ww ni papuchi tu bora kumuweka wazi kabisa kwa Dada kwako nataka mapenzi tu na kuumpa mwanamke pesa sio umehonga tunasaidiana tu hata ww atakusaidia siku umekwama
shwariAje chugaaa?
ni kweli ni wabinafsi za kwetu ni zetu
za kwenu ni zetu ndio mana mliitwa wanaume
Tatizo okoyoko unadanganya sana jaribu na kutumia ukweli wapo waelewa wew endelea kudanganya watoto wa watu utawaoa utakuja kukwama wengine ukimwambia hivyo anaamini umdanganye sasa utakoma jifunze kusema ukweli tena mwanamke anapenda ukweli sanaWewe ushawahi kumwambia demu kuwa you just want her for sex hlf akakubali kuwa na uhusiano na wewe? ebu acha kuongea pumba yajutu
shwari
niaje?
ndio wapi huko mkuu?Nitafute pm