Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Unamhudumia wakati hujamuoa, Umerogwa??

Kama anataka kukuhudumia si akuoe jaman. Mbona rahisi Sana.
Yeye si anajua kuhudumia.

Kama unaakili umenielewa vinginevyo wanawake wengi wataishia kuchezewa na wanaoolewa ni wengine.

Mwenye kusikia asikie.
 
Kama anataka kukuhudumia si akuoe jaman. Mbona rahisi Sana.
Yeye si anajua kuhudumia.

Kama unaakili umenielewa vinginevyo wanawake wengi wataishia kuchezewa na wanaoolewa ni wengine.

Mwenye kusikia asikie.
Nitakurudia badae ngoja nipumzike kwanza...
 
Naona kijana umeamua kutugusa sisi wanajeshi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mm juz nimetoka muonga mtu toyota crown......

jas kidding.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]

Eti unamnunulia binti kigari wakati Mama yako aliyevaa migunia na anayeshinda kwa jua siku nzima akiwa Hana hata pikipiki.

Unamnunulia demu simu ya laki 9 wakati mzazi wako anatumia Nokia tochi. Haki ya mungu unatafuta laana.

Na ndio maana watu wa aina hii hawana miisho mizuri. Wengo hufa kwa ukimwi, kufa masikini, kulogwa na wanawake n.k
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]

Eti unamnunulia binti kigari wakati Mama yako aliyevaa migunia na anayeshinda kwa jua siku nzima akiwa Hana hata pikipiki.

Unamnunulia demu simu ya laki 9 wakati mzazi wako anatumia Nokia tochi. Haki ya mungu unatafuta laana.

Na ndio maana watu wa aina hii hawana miisho mizuri. Wengo hufa kwa ukimwi, kufa masikini, kulogwa na wanawake n.k
ivi umenielewa mwishoni apo nimesema jas kidding ujaelewa man oooooh...
 
Mm zaman nilikua Nakaza sana kuhonga ilikua mwiko na sikumic chochote,ila asaiv mm mwenyewe bila hata ya kuombwa chochote naenda au napita sehm namnunulia kitu chochote ila pesa km pesa sijawah kumpa na hajawah kuniomba, M ninachoona inafka mda km kweli mmeeelewana na hasa ukizingatia hana hio tabia hata akiwa na shida bas ww jiongeze acha ulofa. period

Si umuoe mkuu?
 
Hilo ndo neno, mana shm nyingne kila nikijarb n mizinga, ila pia kumbuka hz people zinachange anytim
Ndio maana nikasema unamhudumia na si mkeo umelogwa?

Mwanamke/mwanaume anaweza kubadilika at anytime T.

Akili yakiume ndio silaha ya mwanaume.
Usiendeshwe na mawazo ya watu. Eti usipompa atakukimbia, Sifa ya mwanaume si kuogopa vitisho tena vya wanawake. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wanaume wengine ni jipu
 
Wanawake malimbukeni wanaotokea kwenye familia maskini na wavivu wa kufikiri ndio wengi wanalilia kuhudumiwa kama kigezo cha mapenzi.

I can't hesitate to call them sluts behind a love shed maana wengi ndio hawanaga msimamo hata ukimpa pesa akitokea mtu aliokuzidi hela atatanuliwa mapaja tu. Malaya type!

Niko na mpenzi tunasaidiana in each now and then home wako njema so maisha anayajua hajakulia kishida shida. Demu hawazi kunipa 100k+ nikikwama. Nikipiga mishe zangu namrudishia wala hamna mizinga ya kijinga jinga ya salon au vocha. Yupo fully independent na mapenzi ananipa bila choyo wala kipimo.

Kumnunulia vi zawadi na kumgharamia nafanyaga kwa mapenzi tu ila sifanyishwi wajibu kama midemu njaa njaa inavyojiona inastahili sana kupewa hela. Mtakunywa sana sparletta bar *****!!! Asikwambie mtu kuwa na demu anaejiweza na anayejua maisha its every mans dream.
Mungu akusaidie mkuu umuweke ndani.

Wee umenielewa
 
Back
Top Bottom