Mapenzi ni package ambayo inavitu vingi sana, hata mm nikiwa early 20's nilikuwa na fikra kama hizi lkn ni kutokana na ugumu wa maisha tu ndio mwaume unakuwa na mawazo haya!!!
Mnachotakiwa kujua nikuwa mwanamke hatakama anahela nyingi kiasi gani lkn atajitaji kuhongwa, na hii nature kwao!!
Mwanamke ni mbinafsi in nature kwahiyo swala kuchukua hela zako hakiepukiki, na kama unataka kuishi na mwamamke vzr usijishughulishe na hela zake, hata kwenye familia hesabu hela zake sio zako wala za familia ikitokea anajitambua atakusaidia otherwise kama hajitambui ukitaka hela zake mtagombana kila siku