Unamfahamu Msafiri Deo Mgengeli [TAPELI, kuwa makini]

Status
Not open for further replies.
Wana JF Natafuta gari lori 6x2 ya kununua iwe ya kuanzia mwaka 2002,aina STRALIS IVECO,SCANIA na DAF XF kama unayo nitumie bei kwa ujumbe wa simu kwenye namba 0715099279,naitwa Felician bei iwe ya Tanzania sio nje

Mgengeli mimi ninayo DAF CF 430 6x2 iko port inatoka baadaye leo au kesho ni ya mwaka 2002, kama vp tunaweza kuongea biashara.
 
Leta 50m nikuachie hii

600
 
Mgengeli una kazi kubwa unataka kuongeza gari? Mimi nina truck(semi) nipo tayari kushikirikiana na mtu yeyote maana umoja ndio nguvu!
 
Kazi ya gari kwa tanzania ni nyingi kuliko gari kwahiyo TRUCKDRIVER usijute kuwa hiyo gari yako
 
Huyu Mgengeli na Truckdriver ni mtu umoja ... huyu mtu ni tapeli .... I warn you beware of scamers and conmen .... cheki na pitia profile ya hizi id mbili ujionee anayoyapost humu jf ... utastaajabu, Mgengeli aliwahi kutumia I'd nyingine kupost thread inayohusu umtafute driver inaitwa Mgengeli .... akawazuga members akawa anajijibu mweyewe kwa kutumia I'd nyingine .... mpaka members wakashtuka .... wakamshushua mpaka wenyewe akakubali na kuomba thread ifungwe

Jamani kweli kuweni waangalifu humu jf ... ngoja nitafute ile thread nitaiweka hapa kama ushahidi na thread nyingine nyingine unaweza kuzipata kwenye profile yake

kuna kutu anatafuta humu bado hajakipata

moderators ... please do something
 
Wana JF Natafuta gari lori 6x2 ya kununua iwe ya kuanzia mwaka 2002,aina STRALIS IVECO,SCANIA na DAF XF kama unayo nitumie bei kwa ujumbe wa simu kwenye namba 0715099279,naitwa Felician bei iwe ya Tanzania sio nje

moderators ... for the sake of jf ... this member is a scammer/conmen .... please check his profile and connect dots ... he the same one Truckdriver
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom