adara
huyu mzungu mlikutana nchi gani na coincidence hii ilitokeaje na mazingira gani yalijiri mpaka mkafikia kumzungumzia mgengeli? je kwanini huyo mzungu hakukupa hizo contacts? je mzungu ndiye aliyekushauri uje kumtafuta huyu jamaa jf? halafu baada ya hapo ukakimbia haraka haraka ukaja jf na kujiunga ili umtafute mgengeli, siku hiyo hiyo baada ya dakika 43 tokea upost bandiko lako anayejifanya yeye ni mdogo wake msafiri deo mgengeli ambaye ni member humu akatokea ghafla na kutoa contacts hadharani bila hata kuhoji uhalisia wako wewe adara either kwa kuomba kutumiwa pm au vinginevyo, baada ya siku moja adara amerudi tena hmu jamvini akituhabarisha mahali alipo ndugu msafiri deo mgengeli huku akionyesha kwamba mgengeli anaaminika kwenye udereva kwani mdereva wengine huyu simwaminifu kwa kulikimbia gari, baadae tena amekuja mtu moja anajiita mama nyegoro akaamua kujiunga jf haraka haraka pia ili ajishaue kwamba anamfahamu mgengeli na ni dereva mzuri sana na ni mwaminifu, OMG
i smell fish
more to be revealed