Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi.
Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya
Watu wanaweza kujiuliza, Makonda huyuhuyu anayewasaidia watu kwenye mikutano ya Siasa?. Ukweli ni kua, Makonda ni Hatari kuliko Uhatari wenyewe, Jamaa Kwa muda nlomfaham kiutendaji, Huwa anapenda kufanya kazi mbele ya Vyombo vya habari tu ila personally jamaa haufai kabisa.
Kuna Mahali alienda kufanya Ziara, Wananchi wakamlilia awasikilize, kwakua hakwenda na vyombo vya habari akawaambia Wananchi, Nmekuja kuangalia miradi tu sio kuwasikiliza.
Makonda huyuhuyu, kile kipindi Cha Sakata la NEEMA Hospital ya Mount Meru, Ndie aliyepiga simu Kwa Dada wa NEEMA na kumwambia "Usiipeleke kwenye Vyombo vya habari habari hiyo"..... Hapa Makonda alikua anataka yeye ndio ajitokeze kwenye Vyombo habari, aonekane anafatilia Hilo suala.
Ukiachana na Hilo, Mtazameni MPINA, MPINA anakatwa jina Kwa sababu ya Uwezo wake mkubwa wa Akili, Kufatilia Masuala Kwa undani, Kupambana na Mafisadi, Kua Muwazi na Mkweli, kukataa kua Mnafiki n.k!!.
Wewe ni DOLA , unaachaje kutozitumia Akili za watu wa aina ya MPINA, LISSU ,Gambo ,Gwajima??.
Mambo kama haya ni lazima TUPAMBANIA MABADILIKO MFUMO WA UCHAGUZI, ILI MPINA , GWAJIMA, WAKIWA CHADEMA, WAWE BADO NA NAFASI YA KUSHINDA.
Kwa haraka haraka, MPINA ,GWAJIMA, GAMBO, Hawa watu hata wakiwa CHADEMA, Licha ya kukubalika kwao, Kwakua WANACHUKIWA NA WATU WAJINGA, Bila uchaguzi huru na wa haki, lazima Polisi wabebe kura Feki na Kwa maelekezo ya RCs wahalikishe hawawezi kushinda.