Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

mamamzungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2019
Posts
2,606
Reaction score
4,393
Hello
Hope mko salama..

Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa..

Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na Fikiri ni kwakuwa naonaga wanaume sio watu wa kwenda na upepo kama sisi wanawake.. sasa kwa namna hawa watu wanavyo trend na sifa Zao nikiona ama kusikia mwanaume anasali kwenye hayo makanisa huwa nampunguzia heshima niliyompa

Ningependa kujua kuna watu wapo kama mimi na pia wanawachukuliaje wanaume wanaosali kwenye aina ya makanisa kama hayo


Siwapondei ila nimesema namna navyojisikia
 
Namuona punguani nisiwe muongo, nitajiuliza maswali mengi kawezaje kutapeliwa km kweli timamu?
Kusema ukweli hata mimi namuona hivyo hivyo inanipa shida sana kumkataa lakini pia inanipa mashaka najiingiza kwenye usharika gani kama atakuwa ni baba wa familia inamaana watoto pia wataenda huko… sitamani kuwa na familia ambayo ina mambo ya kuamini mambo ya mitume na manabii wa mchongo 😃😃
 
Back
Top Bottom