Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

Kwani wanaume wana nini cha maana kushinda wanawake. Au wee unawaona superior sana wanaume? Mbona ni wakawaida mnoo.
Lol 😂😂😂😂😂😂😂
Si unaona hata kukuta mwanaume kadondoka na mapepo ni nadra sana hao watu wana nguvu zao binafsi ambazo sio rahisi kuvutika kiroho kama sisi wanawake
 
Kusema ukweli hata mimi namuona hivyo hivyo inanipa shida sana kumkataa lakini pia inanipa mashaka najiingiza kwenye usharika gani kama atakuwa ni baba wa familia inamaana watoto pia wataenda huko… sitamani kuwa na familia ambayo ina mambo ya kuamini mambo ya mitume na manabii wa mchongo 😃😃
😹😹😹 Halafu wanakuwaga wabishi na wajuaji hao..!!

Mwanaume anayeamini miujiza hata kutafuta pesa atasikia uvivu anaamini miujiza. Wakati huo hao manabii wanamlia vipesa na kumjaza ujinga..!!

Hao wa kukaa nao mbali mahi..
 
Mwamposa at least kidogo nitaelewa ana depression kidogo
Ila kuhani Musa au kiboko ya wachawi
Nakimbia vibaya mno hawezi kuongoza familia hata mende Tu huko ndani hawezi kuwaingoza. Ni ziro brain pro max
Daah changamoto sema mawazo yananiambia anaweza nitoa kafara huyu wa Kuhani Musa 🤣
 
😹😹😹 Halafu wanakuwaga wabishi na wajuaji hao..!!

Mwanaume anayeamini miujiza hata kutafuta pesa atasikia uvivu anaamini miujiza. Wakati huo hao manabii wanamlia vipesa na kumjaza ujinga..!!

Hao wa kukaa nao mbali mahi..
Yaani hapo kwenye ubishi na ujuaji kuna huyo wa kwa mwamposa tuko talking stage but naona sitoweza kwanza anataka kunitreat kama vile mimi ni mpnz wake while bado hatujafika huko ukimuelekeza mbishi

Anaweza kusali RC asubuhi akatoka akaenda kwa mwamposa mpk jioni

Ila yuko vizuri kiuchumi yaani kazi anapiga ila sadaka anafaidi mwamposa 😂
 
Back
Top Bottom