Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

Kwamba mimi ndio niliyasajiri mpk niyape jina kwani si inajulikana kuwa ni kanisa huo msamiati wa nyumba ya ibada hata misikiti ni nyumba za ibada
Za kuambiwa changanya na za kwako, Yani mtu anakwambia naenda kanisani kwa ....... Nawewe unaamini kwamba ni kanisa eti kwa sababu limesajiriwa
 
Yaani hapo kwenye ubishi na ujuaji kuna huyo wa kwa mwamposa tuko talking stage but naona sitoweza kwanza anataka kunitreat kama vile mimi ni mpnz wake while bado hatujafika huko ukimuelekeza mbishi

Anaweza kusali RC asubuhi akatoka akaenda kwa mwamposa mpk jioni

Ila yuko vizuri kiuchumi yaani kazi anapiga ila sadaka anafaidi mwamposa 😂
Atakupotezea muda achana naye..!!

Huyo apate washinda church wenzie, wewe wa mataifa hapo utachemka..!! 😹😹
 
Back
Top Bottom