Unaishije na mwenza mwenye tabia ngumu?

Unaishije na mwenza mwenye tabia ngumu?

Nilipataga dogo mmoja wa hivi! Usije ukajichanganya mamaake! Hutoipenda! Hawa ndio wale hata mtoto akilia hakusaidii kumbembeleza kisa kanuna, ukipika hali, akirudi analala sebleni au harudi kabisa, usimvumilie mpuuzi wa namna hii kama hamjaingia kwenye ndoa inakuwa 2x!

Ni sawa na wale wanaume wanaopiga wanawake, ataanza kukuwasha vibao au akukabe roba, kwenye ndoa atakukata panga au kukupiga chuma!
Seran mbona unanisema kwa watu namna hii🤔
 
Huwezi kumbadilisha mtu mzima hata siku moja unatafuta matatizo na kujaza page za washauri wa mitandaoni tu!

Labda kama wamefika huko mbali kwenye ndoa sijui watoto, apambane kwa maombi na kwa maongezi mpaka amtoemo, tofauti na hapo aachane naye! Sisi huwa hatuvulimiwi tukiwa walevi why umvumilie yeye?
Some people change.
 
Nijirekebishe ili iweje na ndo tabia niliyozaliwa nayo.
Ulihitaji kunivumilia ila wewe ukaniacha😔
Hapo inabidi umpate mvumilivu kwakweli, kila mtu ana sector yake ya kuvumilia! Naweza kuvumilia kikojozi, mlevi.. ila sio mnunaji.. pole toto😛
 
Sio kazi ndogo kama unayofikiri, labda kama tabia sio sugu na anakupima uvumilivu!
Hakika ila wapo wanaobadilika. Bidada afunguke vizuri sababu halisi ya kununiwa. Kuna uwezekano jamaa kaamua kula buyu kwasababu kaona anapuuziwa. Or the guy is cheating and is looking for a reason to turn tables on her.
 
Back
Top Bottom