Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,255
- 10,503
Akinuna wiki tatu fanya mambo yako mnunie miezi mitatu atakaa sawa. Ny.ge haziui dada.Sema sasa kununiwa inauma
Akinuna wiki tatu fanya mambo yako mnunie miezi mitatu atakaa sawa. Ny.ge haziui dada.Sema sasa kununiwa inauma
Weka ego pembeni jishushe mdekeze kidogo zungumzeni muelewane kwenye ndoa mkipaishiana ego kwisha habariUnafeel impact yake mfano ukinuniwa na mwanamke wako umpendaye 3 weeks utajskiaje
Mwanaume anapswha kuvumiliwa yule ni kichwa cha familiaHuwezi kumbadilisha mtu mzima hata siku moja unatafuta matatizo na kujaza page za washauri wa mitandaoni tu!
Labda kama wamefika huko mbali kwenye ndoa sijui watoto, apambane kwa maombi na kwa maongezi mpaka amtoemo, tofauti na hapo aachane naye! Sisi huwa hatuvulimiwi tukiwa walevi why umvumilie yeye?
Hapo ndio tatizo linapoanzia, ndio maana bidada kasema hawezi kumuacha huenda kuna jambo kafanya ndiomaana jamaa kajinunisha! kwa ninavyojua siku hizi week 3 ni kuachana kimyakimya, au unasemaje mkuu?😁Hakika ila wapo wanaobadilika. Bidada afunguke vizuri sababu halisi ya kununiwa. Kuna uwezekano jamaa kaamua kula buyu kwasababu kaona anapuuziwa. Or the guy is cheating and is looking for a reason to turn tables on her.
Siwezi kuwa na kichwa cha familia kinachojinunisha kama dem mimi!Mwanaume anapswha kuvumiliwa yule ni kichwa cha familia
Mpaka kununa kuna jambo umemkera ukimpenda mtu kuna namna utajihidi usimkele mara kwa mara hasa kama unajua ananunanunaSiwezi kuwa na kichwa cha familia kinachojinunisha kama dem mimi!
Baba eeh, siwezi kuwa na mtu wa namna hiyo! full stop.Mpaka kununa kuna jambo umemkera ukimpenda mtu kuna namna utajihidi usimkele mara kwa mara hasa kama unajua ananunanuna
Kununa kwa mwanaume ndo tabia ngumuBaba eeh, siwezi kuwa na mtu wa namna hiyo! full stop.
mambo za kike hizo mwanaume unanunaje wiki 3, unataka ulambwe lambwe ndio uache kununa ujinga!Kununa kwa mwanaume ndo tabia ngumu
Kwa mahusiano ya nje ya ndoa wiki tatu ni muda mfupi sana aisee. Yote kwa yote, kikubwa ni sababu hasa inayowafanya mnuniane.Hapo ndio tatizo linapoanzia, ndio maana bidada kasema hawezi kumuacha huenda kuna jambo kafanya ndiomaana jamaa kajinunisha! kwa ninavyojua siku hizi week 3 ni kuachana kimyakimya, au unasemaje mkuu?😁
Ni jukumu lako kama mwanamke kumuweka sawamambo za kike hizo mwanaume unanunaje wiki 3, unataka ulambwe lambwe ndio uache kununa ujinga!
Naomba turudiane, kwa kweli siwezi kuishi bila wewe SeranHapo inabidi umpate mvumilivu kwakweli, kila mtu ana sector yake ya kuvumilia! Naweza kuvumilia kikojozi, mlevi.. ila sio mnunaji.. pole toto😛
Sababu kama ni ya msingi, ila kama kila kitu kidogo ananuna means kwa mwezi tuna week moja tu ya kufurahia?Kwa mahusiano ya nje ya ndoa wiki tatu ni muda mfupi sana aisee. Yote kwa yote, kikubwa ni sababu hasa inayowafanya mnuniane.
Siwezi!Ni jukumu lako kama mwanamke kumuweka sawa