Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 22,012
- 63,051
Huwezi kumbadilisha mtu mzima hata siku moja unatafuta matatizo na kujaza page za washauri wa mitandaoni tu!Ili umbadilishe
Huwezi kuachana na mtu kisa mlevi tu halafu Kila mtu atazikwa kivyake
Ndoa nyingi zinavunkika sanabu ya matarajio makubwa before
Mama zetu ss wakubwa walivumilia sana ndo mana tukakua wakiwa pamoja
Wewe una achana na mtu Leo kisa hajakupeleka cocokula mihogo?
Kwann pasiwe na street children na masingle mothers ?????
Labda kama wamefika huko mbali kwenye ndoa sijui watoto, apambane kwa maombi na kwa maongezi mpaka amtoemo, tofauti na hapo aachane naye! Sisi huwa hatuvulimiwi tukiwa walevi why umvumilie yeye?
