Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 22,014
- 63,056
Mimi wa hivi hata nisingemfikiria mara mbili, au ni kijana mdogo sana? Maana umri nao unachangia!Upendo upo ila kuna tabia zimaudhi mfano mtu mkikosana anakununia hata week 3
Mimi wa hivi hata nisingemfikiria mara mbili, au ni kijana mdogo sana? Maana umri nao unachangia!Upendo upo ila kuna tabia zimaudhi mfano mtu mkikosana anakununia hata week 3
Au mchungaji😄Dah! Nimecheka sana,
Mkuu unafaa sana kuuguza mgonjwa,una lugha ya matumaini kwa muhusika.
Kumvumilia huku ukimbadilisha taratibu.Ili iweje?
Week 3 mtu akununie useme hujampenda kivipi hapo.....na kwann ufurahi mwenzio akinunaUkiona kanuna ujue hujampenda.
Binafsi huwa nafurahi wife akinuna
Wakati anavumilia,umri wake nao unakua umesimama au unaendelea? Au atakua ametumia sehemu ya maisha yake kuvumilia kitu ambacho hakimpi furaha?Kuwa Mvumilivu
Kutotaka mjadala mfano umeskia tetesi ukija kumuuliza ye anakimbilia kununaTabia zipi eleza hapa
Early 30sMimi wa hivi hata nisingemfikiria mara mbili, au ni kijana mdogo sana? Maana umri nao unachangia!
Mtu amezaliwa na kulelewa miaka zaidi ya 20+ amekuwa kwa malezi mengine aje na meno yake 32 umbadili tabia? Labda kama unazituliza tu!Kumvumilia huku ukimbadilisha taratibu.
Nitapata fursa ya kumbembeleza na kumwacha adeke kiaina.Week 3 mtu akununie useme hujampenda kivipi hapo.....na kwann ufurahi mwenzio akinuna
Anasubiri kuzalishwa kwanza ndio anaondoka! Maana hivhivi unakuwa huamini amini!Wakati anavumilia,umri wake nao unakua umesimama au unaendelea? Au atakua ametumia sehemu ya maisha yake kuvumilia kitu ambacho hakimpi furaha?
Kama kamsemesha na hataki kubadilika,ni muda muafaka wa kupanga Begi.
Kama hua ana Bet basi anzia hapo kudeal napo.Early 30s
Ubaya ni long distance relationshipNitapata fursa ya kumbembeleza na kumwacha adeke kiaina.
Ili umbadilisheIli iweje?
Ukpenda mtu penda vyoteUbaya ni long distance relationship
Nilipataga dogo mmoja wa hivi! Usije ukajichanganya mamaake! Hutoipenda! Hawa ndio wale hata mtoto akilia hakusaidii kumbembeleza kisa kanuna, ukipika hali, akirudi analala sebleni au harudi kabisa, usimvumilie mpuuzi wa namna hii kama hamjaingia kwenye ndoa inakuwa 2x!Early 30s
Mi changamoto sema kumuacha sitakiNilipataga dogo mmoja wa hivi! Usije ukajichanganya mamaake! Hutoipenda! Hawa ndio wale hata mtoto akilia hakusaidii kumbembeleza kisa kanuna, ukipika hali, akirudi analala sebleni au harudi kabisa, usimvumilie mpuuzi wa namna hii kama hamjaingia kwenye ndoa inakuwa 2x!
Ni sawa na wale wanaume wanaopiga wanawake, ataanza kukuwasha vibao au akukabe roba, kwenye ndoa atakutaka panga au kukupiga chuma!
Unafeel impact yake mfano ukinuniwa na mwanamke wako umpendaye 3 weeks utajskiajeMapenzi upofu wewe hizo tabia umezionaje mkuu