Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,179
- 1,579
Kwanza nikiri kuwa mimi siyo miongoni mwa walioikubali hudima ya TB Joshua, kwa sababu ya mapungufu mengi yaliyoambatana nayo!
Huenda hata hiki wanachokidai BBC kilikuwepo, au hata ni matatizo mengine tofauti.
Sasa tusiwe na akili finyu, eti kwa vile tulikuwa hatukubaliani na TB. Joshua, ndiyo sasa wajanja wa BBC watuingize chaka kimakusudi ili kuhamisha mjadala wa ushoga uliobarikiwa na papa wa Roma. Kusudi usiendelee kulitikisa kanisa lenye ushawishi mkubwa duniani.
Ni vema tujiulize swali, hivi hawa BBC wanaaminika kiasi gani mpaka leo bado tuwapatie masikio yetu? Je, siyo hawa walioiaminisha dunia kwamba Sadam Hussein ana silaha za maangamizi?
Swali je, alipovamiwa na Nato alikutwa hicho walichokidai? Tena syo hawa waliosema kwamba Gadaff wa Libya anawatesa raia wake? Swali je, kati ya nchi za magharibi na Gadaff nani aliwapa maisha magumu walibya?
Ndugu zangu msisahau dunia ya kidini imestushwa sana na uamuzi wa kiongozi wa kanisa la Roma kwamba mashoga wabarikiwe kanisani mwao. Na mtikisiko upo mpaka kwa waroma wenyewe!
Ndiposa, ukilitazama hili la TB Joshua kwa jicho la tatu, linaloibuliwa na BBC sasa; utaona lina ukakasi fulani.
Kwa nini sasa, kipindi ambacho ushoga umebarikiwa na papa, kisha ukapata upinzani mkali sana.
Je, huko siko kuwatuliza baadhi ya wakatoliki waaminifu, waliochukizwa na papa anayehamasisha makasisi kuwabariki mashoga, ili waone kwamba kumbe hata uprotestanti pia nao umechafuka tu?
Yaani wanauinua ushetani wa TB Joshua, ili kuufunika Uibirisi wa ushoga, unaolazimishwa na wa magharibi mpaka kwenye nyumba za ibada! zao
Hivi BBC mkitafuta ukamilifu kwa watumishi wa Mungu; mbona hamtapata dini ya kusali?
Ndiposa inasemwa usiache imani kwa kugundua madhaifu ya nabii wake, bali ufanye hivyo ukiona udhaifu wa misingi ya imani hiyo.