Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Kuna Intelligence kisha kuna Military /Combat Intelligence, huyu mmoja anajua cha kwanza tu,huyu mwenzie anajua vyote viwili.
Moja kati ya comment ya kimbumbu kabisa. Majoka yamecheka sana yaliko hasa lile mdimu
 
Fazil,

Binafsi sina uwezo wa kufanya connection yoyote huko (wewe na Usalama)

Lakini naamimi wahusika wapo humu na kama wanaona inafaa basi watakutafuta kwa hiyo namba yako...


Lakini kuwa makini na matapeli.!!

Enzi Niko Sekondari Nilitamani sana kuwa mjasusi! ukichanganya na filamu za kina James Bond 007! Stori za kina Willy Gamba na Joram Kiango!
Baadae nikajiunga na maktaba ya taifa! huko ndiko nilipojua kuwa Hii Taaluma 'sio nzuri' kama watu wanavyoidhania! Inasimumua sana! Nilifanya mapitio ya Vitabu vingi hivi,hapo ndipo nikaanza kukiambia kichwa changu futa kabisa ndoto za kuwa spy!
Lakini pia nikapata mzee mmoja alikuwa Mwalimu nikaanza kumuuliza kuhusu hii idara, alipoanza kuniambia visa vyake nikabaki mdomo wazi.(Simu ya Ofisi ya mkuu wa shule flani ilikuwa ikitumika na hawa jamaa kila siku kuwasiliana na Ikulu bila Mkuu wa shule kujua) Huyu Mwalimu leo ni marehemu ila mpaka sasa sijui yeye alijuaje?
Ni kweli ni taaluma adhimu na nyeti na lazima iendelee kuwepo! Duh! lakini Its duties are so delicate and dangerous! ni zaidi ya filamu na stori za vijiweni!
Heko yao walioko huko!
 
Imenifungua macho kdg nilikuwa sijui chochote juu ya mambo ,
 
Aiseee kuanzisha hii kitu inahitaji uwe na vitu gan kuanzisha kampuni kama hii binafsi sina lengo kuja kuwa kipepeo but Huduma hii kwa sasa ni muhimu sana

Nitakuandikia maelezo mazuri nikiwa nimetulia mkuu, samahani maana hapa nipo mbio mbio sana....
 
Na asilimia kubwa wapo ndugu pale, na watoto wa vigogo. Nashangaa The bold hajaiweka kama njia ya recruit pia. Humu jf pia kuna watu wanapenda umfikirie kua yeye pia yupo kule sijui kwanini aseeee. Au zile suti na waya sikioni ndo zinawapa mchecheto bila kujua mateso wanayopata.
Wire masikioni coiled earpiece ni kwa Walinzi wa High ranks leaders, Ila linapokuja swala la Usalama kuna Informers au collectors of information ambae Hajawahi vaaa hata suti Yani Ata asishukiwe, hao unaokutana nao na kuwahisi Wapo vitengo vya wazi wazi Tu kama PSU
 
Wajameni,
Nasikia kuwa kwa afrika watu wanaofanya kazi ya ujasusi/ spy / espionage members of intelligence service wanauawa sana na wenzao au idarani.

Mfano, kwenye mission " hunters will be Hunted"

killings of those who fulfilled a mission to make some docs to be named as top secret or classified information!

Na kwa nini wauliwe wakati wao ndiyo wamesaidia kazi kufanikiwa?

Je, ni unit gani haina changamoto/ risks nyingi kwa mfano, informers (field agents )/ watoa taarifa, analysts/ wachambuzi, spy/ jasusi?
 
chibalangunamchezo ,

Mkuu, mbona umeandika kuwa "kuweni makini hivi vitu siyo vya mchezo mchezo?"

Mkuu, fafanua japo kiundani kidogo, kwa vile tupo hapa kujifunza.
Ni kweli kabisa mkuu, hapa tupo kwajili ya kujifunza upo sahihi, ila siwezi kufunguka zaidi hapa mkuu, nimejalibu kuwaonya tu wanapofatilia nyuzi kama hizi wawe makini sana nawaona hao viumbe wamezagaa hum ndani ila nikipata mda mkuu ntaandika zaidi.
 
Ni kweli kabisa mkuu, hapa tupo kwajili ya kujifunza upo sahihi, ila siwezi kufunguka zaidi hapa mkuu, nimejalibu kuwaonya tu wanapofatilia nyuzi kama hizi wawe makini sana nawaona hao viumbe wamezagaa hum ndani ila nikipata mda mkuu ntaandika zaidi.


Mkuu, Sawa, nimekusoma vilivyo.
 
TISS inachukua only the best brains kwenye nchi??? Kma ni hivyo basi kivp madini yetu yameibwa miaka 20 hao TISS walikuwa wapi?? Kivp Twiga wameibiwa wakiwa wazima kabisa na meno ya tembo yanavushwa mchana kweupe hao BEST BRAINS walikuwa wapi??

TISS enzi hizo za mwalimu siku hizi imejaa wavaa earphone na wapiga selfie ingawa wengi tunapenda ku exaggerate tu nguvu na uwezo wao no wonder kagame kajaza mapandikizi yake humo
 
Back
Top Bottom