Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Asante kwa kutufunda. Je kufundwa kuna umri?

Na washawasha!

Hili liko obviously sana kwa sababu haawa watu waanataka kila taaarifa
Hata tunavyosema hapa tayar tumetumika kutoa taarifa kwaa mahasimu wetu bila kujijua au tunajua lkn hamna namna lazima useme kama namna ya maisha
Huko mtaan tunasema tu kwa kila mtu mtaan juu ya jambo flan au rafiki ktk maisha kumbe anakutumia indirectly bila kujua
Hivyo tusiwe wepes kusema kila jambo pia kulalamika kutoka na eneo lako la kazi au shule or chuo kwa mtu yeyote bila kuzingatia ethically
 
Hii kazi ni ngumu mno maana ninavyoiona hata jeshi nyuma kama kuna watu hawalali na hawana reporting time kazini basi hawa wamo.
Ila nasikia kwao pesa siyo tatizo sijui kama ni kweli na kupimwa kule ili uingie hakupishani na maisha na mitihani ya seminarini. Waliosoma seminarini mtakumbuka kuwa hata ile joining imeandikwa wazi kuwa kama malengo yako siyo utawa tafadhali usije kuripoti.
Hivyo uaminifu na uadilifu ndiyo msingi wao mkuu na usiri.
 
Aiseeeeeh,
Pole Sana mkuu.

The bold ameandika wazi kuwa, kama wewe ni asset watakuchukua tu siku ikifika.
Daaah!. Jamaa nyie mna maneno mzunguko yaani utawajua tu. Kwanza kwa tuliopita mission za kikatoliki tunawatambua sana. Ni wajuzi wa mambo mengi sijui mnasoma kozi fupifupi za hayo mambo.
Akiingia hospitali atafanya kazi zote, akiingia ibadani utadhani katekista, akiwa maikitini shekhe nyuma, akiingia barabarani mpiga debe mzuri utampenda. Hawa jamaa noma. Ila ukimkuta mtu anajitambulisha kuwa ni ndugu wa hawa jamaa huyo ni muongo kabisa. Sidhani kama waweza jua tittle yake nawaonaga wanajitambulisha kwenye kazi maalum nao wa rank fulani tu.
 
Mkuu,

Mimi , sijui hata maana ya UwT / TISS hayo nimesoma apa hapa JF.

Teeeh teeeeh haaaa haaaa haaaa

Ila cha msingi, weee zingatia maelekezo na Kama wewe ni "asset" basi utafikiwa na kipepeo wa kaki kisha utakuwa kipepeo mweusi aliyekamilika.
 
Unajua huwa naona uzi wa vipepeo hata maana sielewi kwa mara ya kwanza ndo naona huu uzi.
 
Daaah!. Jamaa nyie mna maneno mzunguko yaani utawajua tu. Kwanza kwa tuliopita mission za kikatoliki tunawatambua sana. Ni wajuzi wa mambo mengi sijui mnasoma kozi fupifupi za hayo mambo.
Akiingia hospitali atafanya kazi zote, akiingia ibadani utadhani katekista, akiwa maikitini shekhe nyuma, akiingia barabarani mpiga debe mzuri utampenda. Hawa jamaa noma. Ila ukimkuta mtu anajitambulisha kuwa ni ndugu wa hawa jamaa huyo ni muongo kabisa. Sidhani kama waweza jua tittle yake nawaonaga wanajitambulisha kwenye kazi maalum nao wa rank fulani tu.
I get solution of something of someone
 
Upande wa pili wa shilingi ya asset ni liability ni lini afisa anakuwa liability? Si alichukuliwa kuruta kama asset.

Je mtu au kitu gani kinakuwa asset ya kufuatiliwa nyendo zake?

Pale kitu au mtu anapotumiwa bila kujijua si inakuwa dhuluma maana kwa mfano mnatumia akili ya mtu kutimiza malengo yenu bila kumpa ujira hata bila kumjulisha. Ukiangalia kama huyu marehemu Ngosha (rip) akili na ubunifu wake katika uchoraji umetumiwa, nembo inaendelea kutumika yeye kafa maaskini kaambulia jeneza tu la maana na mazishi ya heshima.

Na washawasha!
Unayafikiria mambo kwa marefu na mapana! Nimependa kwakweli!
 
1.kuna wanaosema unaweza kuwa spotted na kuwa recruited toka ukiwa mdogo kwa maana shule ya msingi au sekondari ukweli wa hili upoje?

2. Na vipi ikiwa hukupata fursa hiyo ukiwa mdogo lkn wakagundua kuwa wewe i potential ukiwa umri umeenda say 40 yrs and above?

3. Je unaweza kutumiwa na idara hii bila mwenyewe kujifahamu?..yaani unaweza kuwa nao na kuwafanyia kazi bila mwenyewe kujijua?

unaweza kufanywa informer... kwa point namba 2 na 3.

namaoni yangu binafsi, idara isije ni mulika
 
Ila uongo mbaya hii kazi binafsi nilikuwa naipenda na nona kabisa ningeweza kuifanya vizuri, hasa kwenye issue za upelelezi, huwa napenda sana na mara nyingi huwa hainipi shida kupeleleza na kufahamu vitu haraka katika maisha haya ya kawaida tu, sema ndio hivyo tena sikuwahi kujua hata unapataje hii kazi na sasa umri ulishaenda na tayari nina kazi yangu nyingine kabisa, basi tena.
 
JIFUNZE LUGHA NGUMU NA MAHUSUSI
swali: kwa hiyo mpogoro mweusi anaweza kujifunza kichina kisha akapelekwa ku infiltrate bank kuu ya uchina?
The bold Freelancer de'levis
hapana si rahisi. Ila Mpogoro mweusi anaweza akawa handler wa asset wa kichina:D:D:D. Kwa hiyo lugha itamuwezesha mpogoro kuwa rahisi kufanya management ya asset wake..
 
Watu wa ujasusi wanakujua lakini wewe huwajui.

Kama hawajakufuata ujue hauna sifa za kufanya kazi nao. Unapenda kazi za ujasusi lakini kazi yenyewe haikupendi
Mambo ya kijasusi yanamtumia MTU yeyote

Kuwa agent kamili ni jambo gumu sana na sio wewe unayefundishwa humu.

Kuwa kipepeo mweusi wanachukua tu ndio MTU kama wewe na inawesekazana mpaka unamalisa assigmemt hujui ulikuwa unamtumika nani au nchi gani

Infomer ndio MTU mjingq wa kwanza katika tasnia hii na Mara nyingi hutumiwa na kipepeo mweusi hivyo Mara nyingi yeye hapati faida Ila anakula hasara kwa sqbabu anafanya kazi ya watu bila kujua huku mwenzake anapata pay

Asante
 
Kazi ya kindezi iyo .....zile movie za Hollywood za ki~espionage zinatudanganga aisseh ....bata huli khaaa
Inategemea na task zako ,unaweza kuwaasigned na issues fulani ukala bata mpaka uchanganyikiwe eg unaishi 5 * hotel miezi kibao hata ughaibuni
 
Hii kazi ni ngumu mno maana ninavyoiona hata jeshi nyuma kama kuna watu hawalali na hawana reporting time kazini basi hawa wamo.
Ila nasikia kwao pesa siyo tatizo sijui kama ni kweli na kupimwa kule ili uingie hakupishani na maisha na mitihani ya seminarini. Waliosoma seminarini mtakumbuka kuwa hata ile joining imeandikwa wazi kuwa kama malengo yako siyo utawa tafadhali usije kuripoti.
Hivyo uaminifu na uadilifu ndiyo msingi wao mkuu na usiri.
Kuna Intelligence kisha kuna Military /Combat Intelligence, huyu mmoja anajua cha kwanza tu,huyu mwenzie anajua vyote viwili.
 
Back
Top Bottom