Ushushushu bongo ni umbea tu kama shilawadu
😂Uliyoyandika nikilinganisha na kile kituko alichofanyiwa Nape kuna utofauti mkubwa sana.
Makala nzuri sana,inaongeza kitu kwenye akili yangu.
Good idea.Nakushauri kwa elimu na exposure yako nakushauri tafuta bonde zuri lenye rutuba apply all your capabilities tafuta vijana then jaribu kugusa maisha ya JAMII
Nahisi huo ndio uana usalama nzuri jarb kutransform life la JAMII inayo kuzungukaa
😂kama kuna kazi ambayo siipendi ni hiyo.
Mkimbie huyo atakuambukiza njaa njaaYupo rafikiangu mmoja hapa "sipataji"
Kilasiku bia nanunua mimi na sazingine anakuwa na mwenzanke nawaangaliaaaa nasema hiiiii wacha niendelee na mishezangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asijali na yeye atanunuliwa soda boss.Mkimbie huyo atakuambukiza njaa njaa
Mwenzangu TISS n bahat c wote watskuwa huko..ukoo mzma wenu hmn hata mmoja yupo huko..its for heaven
😃 😀 😄 hii kali sasa.Mwenzangu TISS n bahat c wote watskuwa huko..ukoo mzma wenu hmn hata mmoja yupo huko..its for heaven sent