mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 956
- 1,554
Nitasoma baadae ninakiamini kilicho andikwa kabla hata ya kusoma....i wll be back
vip chief bado hujapata muda tu??? utupe madini mzeeNi kweli kabisa mkuu, hapa tupo kwajili ya kujifunza upo sahihi, ila siwezi kufunguka zaidi hapa mkuu, nimejalibu kuwaonya tu wanapofatilia nyuzi kama hizi wawe makini sana nawaona hao viumbe wamezagaa hum ndani ila nikipata mda mkuu ntaandika zaidi.
Mama mkubwa,The bold usalama wa taifa na ujasusi ni mambo mawili tofauti kabisa. Espionage na state security are two separate phenomenon.
I'll be back.....
Kuwa na wtu wa kukuunga nao. Ila ni lazima utaanza kama nyoka wao.km kichwa cha habari kinavo jieleza kw mtu anaejua au anaweza nisaida serious naomba anifate pm .sababu za kutaka kazi hii na kw sababu naipenda hii kaz sana na mzarendo wa inchi yangu
Kosa la kwanza kabisa linalokutoa knock out ni hili la kuomba kazi kwenye mitandao ya jamii. Kwa kuanza tu na kushindwa kwako ni hapa unapoonekana kuwa utakuwa Afisa Usalama wa mitandaoni.Kuwa na wtu wa kukuunga nao. Ila ni lazima utaanza kama nyoka wao.
Ingia JKT, kama nafasi zitatoka. Huenda kule kuunga wanaowakuta.
Ukiwa kule usiangalie hali za wnaokuja kukufanyia interview, huwa wanakuja wakiwa rough sana.
Ungana nao hivyo hivyo.
Kwa sababu, viongozi wengi wa Nchi ii hutoka TISS.