Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Na still wakashindwa kumprotect jenerali wao hao Iran kama wapo advance kama usemavyo?
Marekani tu ilishindwa kumprotect station chief wake wa CIA Lebanon kanali akatekwa rejea kitabu the Beirut rules na hao akina hizbollah haya mambo ni nafasi tu watu wakikuotea basi.ila tuombeee amani mashariki ya Kati Vita siyo nzuri
 
S
Hii ni kwa wenye akili kubwa tu ndiyo ataweza kuelewa. Vita ni pamoja na kutumia akili pamoja na mbinu ili uweze kushinda. Saudia Arabia ni nchi nzuri sana kuitumia kwenye vita na Iran kama haujui.

Saudia Arabia ina miji mikuu miwili ambayo waislamu wanaitumia kuabudu ambayo ni Makka na Madina. Mchezo unaweza kuwa hivi.

Marekani ataingia vitani akiwa na Saudia Arabia kuipiga Iran. Battle ikianza Marekani kwa siri sana ataipiga Makka na Madina kwa mabomu mpaka inakuwa majivu kwahiyo hapa itaoneka Iran ndiyo kapiga Makka na Madina. Waislamu wote duniani watapata hasira sana ya kupigwa miji yao kwahiyo wataanza kuichukia Iran. Marekani itawapa silaha wapiganaji wa kiislamu (hawa wanapenda sana vita). Wataingia kwenye vita. Marekani yeye atakuwa anatoa silaha tu kama kwa wapiganaji waliomuua Ghadafi.

Marekani, uingereza, Israel na Saudia Arabia watakuwa pembeni wanaangalia movie inavyokwenda.
Saudia hawezi kuingilia au kuingia vitani ameshajua miezi mitatu iliyopita kuwa hate Kama unakuwa na mabases kibao mshua mkuu us ila bado unaweza kuchapwa na vikundi vya kijinga Kama houth halafu mshua anacheka cheka tuu bado anaugulia maumivu yake hata taka makubwa Tena labda ataitikia kwa mdomo tu ila kwa vitendo ataruka futi Mia hiyo scenario ya kutumia vikundi vya wasunni ndio iliyotumika Syria na pia Iraq kuanzisha vikundi vingi ikiwemo isil sijui isis ila vyote havijafua dafu na hao jamaa wairan ndio waasisi wa hayo mambo wanayajua vizuri kuyategua Kama walivyofanya Syria Hadi leo Assad anakunywa gahawa kwenye presidential palace labda watafute vingine ila naota tu maana mkubwa anaweza akatafutiwa aibu moja Kama kupigiwa moja au mbili Yale ma manuari Yale wanaita aircraft carrier yaani watu aaah mdomo wazi .ongezea kahawa kijiwe kiendelee.ila tuombeee amani pale mashariki ya Kati dunia ni Bora zaidi ikiwa na amani .
 
Marekani tu ilishindwa kumprotect station chief wake wa CIA Lebanon kanali akatekwa rejea kitabu the Beirut rules na hao akina hizbollah haya mambo ni nafasi tu watu wakikuotea basi.ila tuombeee amani mashariki ya Kati Vita siyo nzuri
CIA station Chief ni mdogosana katika hieararchy. Hapa tunazungumzia Jenerali mkubwa sana sawa na level hata ya Gina Haspel kwenye ulimwengu wa kijasusi...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww jamaa cjui hua unaongea nn muda mwengne

Ss unahisi kama IRAN Kwa ss akijibu watakao kufa c watazidi100 kwahio unataka kutu aminisha Trumpet alikhofu kuua wale 100 Kidogo Ila Hahofii Kuua Zaidi Ya 1000000

Pole sana MKUU.....

Bora hata ungetuaminisha yakwamba Drone Haikua Na Thamani Ya Mtu Kama Alouawa Wa IRAN

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakijibu watakaokuwa wameua ni wairan sio wamarekani.
American Army liko advanced sana, kuna vipigo vitamu! Mnapigiwa mtu mmoja muhimu mnaandamana nchi nzima kama minzige.

Semeni (ayatolah) SU!

Kiduku mpaka leo anagwaya kupeleka zawadi ya Christmas aliyomuahidi Trump anajua muda wa ku dispose mabomu umefika.
 
Ambaye
CIA station Chief ni mdogosana katika hieararchy. Hapa tunazungumzia Jenerali mkubwa sana sawa na level hata ya Gina Haspel kwenye ulimwengu wa kijasusi...
General mkubwa aliyepigwa maroketi na sio kutekwa.
 
Iran wako vyema sana kidiplomasia na Propaganda

Wataipiga shambulio US kupitia Vikundi vya Uasi kama Hizbollah au IS na sio wenyewe direct kukwepa lawama za moja kwa moja

Na walivyo wabaya utashangaa watajielekeza kuhujumu shughuli za kiuchumi badala ya kuua watu kama walivyofanya kwa Saudia
Maana yake wanaiogopa Marekani sio?
 
Magaidi..!? Ebu fafanua.
Marekani vikosi vyote vinavyopinga maslahi yake anaviita "terrorist organizations". Vikosi vinavyotetea maslahi yake anaita "moderate rebels". Mfano kule Syria wale al- Nusra Front (Jabhat al-Nusra) walipewa silaha na Marekani wakati lile kundi lilianzishwa na wanamgambo wa al-Qaeda kutoka Irak. Wale ni Sarafist na walimpinga Assad, kwa vile U.S ilimpinga Assad hivo ikawa inawasaidia kwa ujanja. Hizi nchi za Ulaya huwa wanakaa kikao kujadili kundi flani tuliite la kigaidi ama sio? Hapo wanaamua iwe ndio/sio.
 
Iran ni mtoto wa mjini kwenye masuala ya proxy wars. Yeye anajua kabisa kutuma vijana waliolishwa sumu ya jihad na hii ni rahisi sana kwa Waarabu kufanya hivo maana tumeona hata jana Turkey inakusanya vijana kutoka Syria kwenda kupigana Libya kwa malipo ya kati ya 200 -1500 USD. U.S wenyewe wamekiri kuwa Qurds ndo walikuwa wanafundisha vikosi vya magaidi kutengeneza IEDs na zimeua jumla ya mamia ya wanajeshi. Pia ikumbukwe Hezbollah na Hamas wana uhusiano mzuri na Iran na ndo inawapa uwezo wa kutengeneza maroketi ya kisasa ambayo yako reserve, sio haya yanayorushwa Israel na kutunguliwa na Iron Dome.
Kule Yemen, Houthi wamepata teknolojia ya kuwapiga Saudi Arabia hasa kwa maroketi kutoka Iran. Kingine ndo inarudi suala la balozi za U.S na watu wake sehemu mbalimbali duniani ambao wanaweza kuwa target. Haya yote Iran akiyafanya atakana kabisa, hawa sio al-Qaeda wanaofanya kitu wakajimwambafai.
Kwa U.S huwa hawapendi kupoteza idadi kubwa ya wanajeshi kama ilivyotokea kule Vietnam au Korea peninsula. Na pia hapendi lawama kutoka kwa wazungu kwani vita itapandisha bei ya mafuta na uchumi uwe mgumu. Hivo anaweza tafuta coalition ili kugawana lawama au kufanya proxy war, aite vijana wa-Sunni awape training na silaha waende kupigana na Iran. Chochote kitakachotokea uchumi utayumba maana Iran ni wehu wanaweza fanya ile tukose wote wakaharibu biashara pale Hormuz strait na pipeline za mafuta. Mawazo yangu tu.

Ikiwa Ndio hivyo kuna sababu gani kuitetea Iran wakati inaunga mkono na kusapoti magenge ya kihuni yanayo hatarisha maisha watu.
 
Iran italipiza kisasi lakini hatujui ni lini au wapi lakini pia US kwa Intelligence yao ilivyo walijua fika wamefanya kitu gani na hivyo watarajie kitu gani, walishajipanga na wanajua nini cha kufanya na pia US walishajua taifa la Iran litachukua hatua ipi, kwa hio usije shangaa hakuna lolote linatokea kwa sababu hawa US kama walijua General anatoka Airport ina maana intelligence yao ipo vizuri, kwa hio Iran inaeza panga shambulizi halafu lisifanikiwe.
kwako chief of defense 🇺🇸 . As if ulikuwepo time wanadecide kulaunch attack to qassem
 
kwako chief of defense [emoji631] . As if ulikuwepo time wanadecide kulaunch attack to qassem
No. Imeanza kusomeka kimya kimya.
tapatalk_1578260950947.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa Ndio hivyo kuna sababu gani kuitetea Iran wakati inaunga mkono na kusapoti magenge ya kihuni yanayo hatarisha maisha watu.
Maisha ya watu gani? Kwani kuna haja gani ya kuitetea Marekani inayokaa Irak na Afghanistan kuua watu. Kule Irak zile silaha za nyuklia walizikuta? Vipi kuhusu Libya demokrasia walioitafuta ndo iliyopo au sio. Sasa kwanini Marekani ikivuruga amani mnashangilia but wengine wakivuruga kulipiza kisasi mnalalamika. Vitendo vya wote ni vya kigaidi.
 
Yan somalia alimpiga marekan nae? Ha ha ha haaaa

Kichekesho kikubwa ni huyu General wa kiiran kuuliwa na makoplo wa kimarekan, yan kamanda kauliwa kama kibaka tu
Marekani ni mbabe na mjeuri.
Ukiangalia vita alivyovisha na alivyo shindwa ukiachalia mbali uwezo wake mkubwa kijeshi.

Vita alivyo shindwa ni vingi.
Sijui hype yote hii kuhusu Marekani inatokana na nini.!?!?

Mtazamo wangu juu ya hili.
Marekani anatakiwa atambue Iran sio Waarabu wale ni Wa-Persia wajukuu wa wafalme Darius na Xerxes.
Wale hawana unafiki wa kiarabu na hata wakiwa na mgogoro linapokuja suala la kutetea nchi yao wanakua kitu kimoja.

Marekani anajeshi kubwa la maji na anga lakini Iran anauzoefu wa vita. Kapigana ardhini, angani kapigana na vita ya majini anaijua vizuri. Hapa kwenye vita ya majini ndio tatizo linapo anza kwa mmarekani.

Iran wana sub-marine nyingi kiidadi zinakaribiana na alizo nazo mmarekani. Mtu yeyote anajua vita vizuri atakuambia kupigana na adui mwenye nyambizi ni hatari sana.

Marekani anajivunia vita haiwezi pelekwa kwake lakini uhalisia Iran anauwezo wa kupeleka vita USA na akapiga maeneo na miji muhimu maana vitendea kazi anavyo.

Nyambizi inauwezo wa kusafiri bila kuonekana na kufanya mashambulizi ya kushtukiza wakiwa karibu na nchi ya marekani.

Hivyo USA asidharau mwiba Iran haitakua rahisi kama anavyojipa moyo.

Alipigwa Vietnam, Afaghnstan, Iraq ya kwanza, Iraq ya pili mpaka leo inamsumbua, Syria inamsumbua mpaka leo,Korea ilisha kwa stalemate, Somalia alipigwa hivyo ajiangalie. Iran ni mkubwa kuliko wote hao.

Mbaya zaidi Pakistani ndugu katika imani wa Iran ambaye anamiliki silaha na technology ya nuclear anamuunga mkono ndugu yake.

Trump acheze chess yake vizuri maana pawns nao wameshtuka hawata kubali waende kichwa kichwa meanwhile Pawns wa Iran ni reliable akina Taleban, Hezbollah etc.

Yote kwa yote kila mtu anajua namna ya kuanzisha vita, namna inavyoisha ndio haijulikani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom