Ambao wanashindwa kutambua kuwa nyumbani kwa Erick kabendera kuna CCTV cameras??
Lakini wako NATO wee vipi? Lione!Brexit ni ishara ya Umoja au nao ni Waislam?
Kuhusiana Na IRAN Jibu Lazma Lije 2 Linaweza Likachelewa 2 Pengne..Wakijibu watakaokuwa wameua ni wairan sio wamarekani.
American Army liko advanced sana, kuna vipigo vitamu! Mnapigiwa mtu mmoja muhimu mnaandamana nchi nzima kama minzige.
Semeni (ayatolah) SU!
Kiduku mpaka leo anagwaya kupeleka zawadi ya Christmas aliyomuahidi Trump anajua muda wa ku dispose mabomu umefika.
Lazma Wapende Wasipende....Iran wanasema You can't kill someone and get away with it though de escalation ,it doesn't work for them. Soleiman blood is precious
Hapa USA lazima aiteme Iraqi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
The rape is inevitable!Kwan Walilotunguliwa DRONE Yao Kama Wangejibu Wangeumia Wamarekani ?!
Yaani hapo sijaona points yako Mkuu
Kuhusiana na kiduku huyo achana nae niwazi kabisa US Hamuwez Huyo Mwamba Kila Leo Anabweka Bweka 2Kuhusiana Na IRAN Jibu Lazma Lije 2 Linaweza Likachelewa 2 Pengne..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mahaba niue, Ini mkalia nyongo ni pointless ku-argue na mtu kama wewe.Yan somalia alimpiga marekan nae? Ha ha ha haaaa
Kichekesho kikubwa ni huyu General wa kiiran kuuliwa na makoplo wa kimarekan, yan kamanda kauliwa kama kibaka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili la unafiki lina umuhimu sana lisome katikati ya mstari.Mtazamo wako sipingani nao kwa ujumla wake ila kuna machache ambayo naomba nipingane nayo:
Kwanza kabisa;
Sidhani kuwa unachokisema, Marekani haikifahamu. Kwamba Persians ni Wairani, ama si Waarabu? Si wanafiki! Sidhani kama maneno hayo yanafaa kuyatumia kujenga hoja juu ya uwezo wa Iran kijeshi.
Umeandika kuwa Irani ina uzoefu wa vita ila kumbuka kuwa hata Marekani pia ina uzoefu mkubwa tu wa vita tena vya mbali na nyumbani.
Isitoshe, uzoefu pekee hautoshi. Kuna mambo mengine mengi ambayo ni ya msingi katika kulifanya jeshi la nchi husika liwe imara zaidi.
Si kweli!
Isitoshe uwezo wa nyambizi katika modern warfare ndilo jambo la msingi zaidi kuliko idadi kubwa.
Mfano, idadi kubwa ya Submarines za Irani ni Mini-Submarines ambazo uwezo wake hauwezi kulingana na Submarines za mataifa makubwa kama Marekani, Urusi na Uchina au hata Uingereza, Ufaransa n.k.
General was set up, alikua ana mkutano na waziri mkuu wa Iraq akibeba ujumbe toka Saudi Arabia.Na still wakashindwa kumprotect jenerali wao hao Iran kama wapo advance kama usemavyo?
Mpaka wanakupiga roketi, ina maana wamekupeleleza mpaka wakajua upo wapiAmbaye
General mkubwa aliyepigwa maroketi na sio kutekwa.
Suleiman he used to be one of the CIA most wanted guy,and he was a dangerous person on the earth,Trump anatoa vitisho na watu wako busy Na msiba hawana hata mda nae
Huyu jamaa sijui ana akili gani
Kama soleiman ni gaidi basi wairan wote ni magaidi
Alichofanya sio sahihi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
As long Trump is the President, Iran itapata wakati mgumu sana.Hao wairan watafanya tu ugaidi tena kupitia proxies kwani conventional war hawana ubavu ila akina ayatollah hawana future.
hapa naisevu picha na Ku subscriber thread..
maana mwarabu (Iran) walivyo jinga aweza kulipua Obama road ya bongo akidhani Obama anaishi hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mahaba niue, Ini mkalia nyongo ni pointless ku-argue na mtu kama wewe.
And yes Marekani alishindwa vita Somalia.
Duh we kwel jinga. Iran sio waarabu.hapa naisevu picha na Ku subscriber thread..
maana mwarabu (Iran) walivyo jinga aweza kulipua Obama road ya bongo akidhani Obama anaishi hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yule naye alipelelezwa like wise simple logic au.Mpaka wanakupiga roketi, ina maana wamekupeleleza mpaka wakajua upo wapi