Hii ni kwa wenye akili kubwa tu ndiyo ataweza kuelewa. Vita ni pamoja na kutumia akili pamoja na mbinu ili uweze kushinda. Saudia Arabia ni nchi nzuri sana kuitumia kwenye vita na Iran kama haujui.
Saudia Arabia ina miji mikuu miwili ambayo waislamu wanaitumia kuabudu ambayo ni Makka na Madina. Mchezo unaweza kuwa hivi.
Marekani ataingia vitani akiwa na Saudia Arabia kuipiga Iran. Battle ikianza Marekani kwa siri sana ataipiga Makka na Madina kwa mabomu mpaka inakuwa majivu kwahiyo hapa itaoneka Iran ndiyo kapiga Makka na Madina. Waislamu wote duniani watapata hasira sana ya kupigwa miji yao kwahiyo wataanza kuichukia Iran. Marekani itawapa silaha wapiganaji wa kiislamu (hawa wanapenda sana vita). Wataingia kwenye vita. Marekani yeye atakuwa anatoa silaha tu kama kwa wapiganaji waliomuua Ghadafi.
Marekani, uingereza, Israel na Saudia Arabia watakuwa pembeni wanaangalia movie inavyokwenda.