Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Hivi wanataka wachokozejwe?

Hivi kwa mfano wangekuwa vitani huyu Soleimani akauwawa, wangesitisha vita wakamzike na kufanya maandamano nyumbani kwanza?

Askari wa Marekani walipojeruhiwa na raia wawili kuuwawa, ndani ya masaa ishirini na nne USA walijibu mapigo na kuua zaidi ya wanamgambo 50.

Ubalozi wa Marekani uliposhambuliwa hapo Iraq, ndani ya masaa ishirini Soleiman akauwawa.

Siku ya nne leo, wanataka wachokozweje?
 
Hivi wanataka wachokozejwe?

Hivi kwa mfano wangekuwa vitani huyu Soleiman akauwawa, wangestisha vita wakamzike na kufanya maandamano nyumbano kwanza?

Askari wa marekani walipojeruhiwa na waia wawili kuuwawa, ndani ya masaa ishirini na nne USA walijibu mapigo na kuua zaidi ya wanamgambo 50.

Ubarozi wa Marekani uliposhambuliwa hapo Iraq, ndani ya masaa ishirini Soleiman akauwawa.

Siku ya nne leo, wanataka wachokozejwe?
Ukweli wa mambo unaonyesha Iran na marekani zote ni nchi kongwe japo Iran kongwe Sana kiumri zishapita balehe hivyo wanajua vizuri namna ya kude-escalate mambo bila kuharibu amani ya dunia kwani hata operation mantis Iran na USA walizichapa mwishowe wakamaliza mambo yao tegemea amani kule hakutakuwa na kupigana Kati ya hao watu moja kwa moja wanajijua wanachokisimamia na pia wanajuakutoa nafasi ya kumaliza mzozo.
 
Iran Anaelekea kuniangusha sasa wakati namwaminia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa naanza kuamini sana kwamba, ma ayatollah wameshindwa kuliendeleza lile Taifa, na hawataki kutoka madarakani hivyo wameamua kuwaraghai wananchi wake na mambo ya vita vita na vitisho dhidi ya USA.

Yaani ni kama kafanyavyo kajamaa na North Korea.

ndio maana the most prominent military man wao ni yule anayejihusisha na mauaji nje ya Taifa hilo kwa kisingio cha kupigania Taifa hilo na uislamu na bla bla nyingi sana.

lakini hii ya sasa itawaitia aibu. Ni lazima wajibu wapigo wasipojibu Raia wanaingia barabarani kuwaondoa madarakani.

you can not fool all the people all the time
 
Hawa watu wanajiita wamarekani yani siwapendi hatari.Kwanza wanatengeneza vita nchi zenye mafuta ili waibe.Yani ni wezi.
Kuna nchi zipo kimya zitamsaidia Iran ni suala la muda tu.
Ubabe wake ni zamani sio sasa.
Sababu sasa, kwa namna Wamarekani wanavyoendelea na maandalizi ya mashambulizi utadhani wao ndio wamechokozwa bwana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la hili sakata watu wanaendeshwa na muhemko na sio uhalisia wa mambo.
Siku zote suala la kuanzisha vita na taifa lingine sio jambo rahisi hata kidogo kama watu wanavyo fikiria.
Hata Iran alisha ifanyia marekani mambo ambayo yangeifanya kuingia vitani na Iran lakini marekani alijizuia kufanya hivyo.
Baada ya Iran kuidungua ndege ya kisasa ya kimarekani ikiwa kwenye anga la kimataifa kama marekani ilivyo dai huo ulikuwa ni uchokozi mkubwa ambao marekani ange utumia kuishambulia Iran lakini hakufanya hivyo.
Hivyo vita ni kati ya vita ngumu sana kwa pande zote mbili iwapo itatokea.
Mm nadhani Iran hatalipiza kisasi ambacho kitaingiza vitani na marekani itapiza kisasi katika wakati ambao itakuwa vigumu kuituumu moja kwa moja.
 
Hivi wanataka wachokozejwe?

Hivi kwa mfano wangekuwa vitani huyu Soleimani akauwawa, wangesitisha vita wakamzike na kufanya maandamano nyumbani kwanza?

Askari wa Marekani walipojeruhiwa na raia wawili kuuwawa, ndani ya masaa ishirini na nne USA walijibu mapigo na kuua zaidi ya wanamgambo 50.

Ubalozi wa Marekani uliposhambuliwa hapo Iraq, ndani ya masaa ishirini Soleiman akauwawa.

Siku ya nne leo, wanataka wachokozweje?
Wanasubiri mashetan yawapande
 
Hawa watu wanajiita wamarekani yani siwapendi hatari.Kwanza wanatengeneza vita nchi zenye mafuta ili waibe.Yani ni wezi.
Kuna nchi zipo kimya zitamsaidia Iran ni suala la muda tu.
Ubabe wake ni zamani sio sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unawafikiria wachina, their weaponry are un tested yet, they can not guarantee you success
 
Iran Anaelekea kuniangusha sasa wakati namwaminia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu linapokuja suala lakuingia vitani na taifa lingine inabidi uwe makini sasa hivi dunia nzima imeitumbulia macho Iran ikitokea ikafanya jambo ambalo litaleta madhara hasa kwa raia dunia nzima itamsakama na inaonekana marekani imeiwekea mtego ambao unahitaji akili nyingi kuuruka.
 
Kama unawafikiria wachina, their weaponry are un tested yet, they can not guarantee you success
Fidel Castro aliwahi kusema yeye alikua anapinga na marekani wakati ule kwasababu wamarekani walikua ni binadamu lakini wamarekani wa Sasa ni machine haziongei na hazijui mtu!!!..Ndio maana akamwambia Raul akubaliane na wamarekani waijenge Cuba!!..
 
sidhani kama akiona izi

cap.jpeg
 
Back
Top Bottom