Na Iran sio waarabu.Usipoteze muda na nchi za Kiislamu. Hawana uwezo,wanafiki na hawana umoja. Saudia atajielekeza Marekani na kuwatosa Waarabu wezake. R.I.P Gaddaf
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana maana tunasema kuigusa Iran inapelekea third world war Trump kwa ujinga wake anataka kuiingiza dunia kwenye vita kumbuka miezi ya karibuni huyo huyo Iran alifanya mazoezi Hormuz akiwa na Russia na China navy ukipitia makala ya Haaretz gazeti maarufu la Israel wanaona kilichofanyika ni poor strategy with bad outcome maana the wise man is gone now remaining the hard liner with spirit mbovu wasiojua negotiation.na pia hata Susan rice former us ambassadors un anaona pia poor move risk ni kubwa kuliko faida.Mkuu Iran hata jaribu kabisa kuifunga Hormu, akifanya hivyo Ulaya nzima itamgeuka.
hiyo njia ni muhimu sana, kufanya hivyo hata wasio maadui zake nao watajiunga na upande wa adui yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wabongo mbona mnapenda kudandia mambo??hapa naisevu picha na Ku subscriber thread..
maana mwarabu (Iran) walivyo jinga aweza kulipua Obama road ya bongo akidhani Obama anaishi hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..! Mkuu na Bwana Utam unafananisha Brexit na fitina wanazofanyiana Waarabu? Brexit huoni ni mchakato unafanyika wa kushirikisha pande zote mbili? Na biashara zitaendelea tu baada ya BrexitBrexit ni ishara ya Umoja au nao ni Waislam?
Source: Iran vows to hit 35 US targets as it unfurls red flag of WAR after America executed General SoleimaniRED ALERT Iran vows to hit 35 US targets and unfurls red flag of WAR as America says it expects retaliation ‘within weeks’
IRAN today pinpointed 35 “key US targets” for revenge after its top general was assassinated – with America expecting retaliation “within weeks”.
Hours later, rockets were fired near the US Embassy in Baghdad and at an airbase housing Ameri
The chilling flag display is seen as a clear warning the Islamic Republic is ready to fulfil its worrying pledge to strike back at America and Donald Trump.
Chillingly written across the “war flag” were the words: “Those who want to avenge the blood of Hussein”.
Red flags in Shiite tradition symbolise both blood spilled unjustly and serve as a call to avenge a person who is slain.
It was hoisted above the important Jamkaran Mosque which is on the outskirts of the holy city of Qom, about 100 miles south of Tehran
Haaretz hakuna siku inapita siwasomi. Iran ni kichaa vile akiona atapigwa sio kama Wairak waliokimbia vita, majenerali wa Iran watakomaa viwanjani watie dunia hasara. Mbona U.S alikomaliwa Vietnam akapata maisha magumu. Unajua kuisaidia Irak ya Saddam ilikuwa uongo maana majeshi yake yalimuogopa lakini hayakumueshimu na yalikimbia mapambano. Lakini Iran hawaendi kokote hawa, hivo kama ni msaada wa kiintelijensia na kuuziwa silaha wakipata tu wanatumia effectively, kumbuka hauitajiki kumshinda Marekani vitani we cha msingi mtie hasara, ua majeshi vya kutosha. Fanya maisha ya vikosi vyake viwe na hofu hiyo inapelekea nyumbani kampeni za kuacha vita zianze. Tena ukimpa na mashambulizi ya kigaidi si ndo mambo yanamuwia magumu.Ndio maana maana tunasema kuigusa Iran inapelekea third world war Trump kwa ujinga wake anataka kuiingiza dunia kwenye vita kumbuka miezi ya karibuni huyo huyo Iran alifanya mazoezi Hormuz akiwa na Russia na China navy ukipitia makala ya Haaretz gazeti maarufu la Israel wanaona kilichofanyika ni poor strategy with bad outcome maana the wise man is gone now remaining the hard liner with spirit mbovu wasiojua negotiation.na pia hata Susan rice former us ambassadors un anaona pia poor move risk ni kubwa kuliko faida.
if they got balls why they dont just go shoot them in their soil? instead of looking around and hitting some small target with few and less important people who doesn't even mean nothing to the US.I mean US killed their very important man and they know it to me iran their just pussies with no balls to take what it takes.Iran ameapa kulipiza kisasi kufautia kuuwa kwa Qasam soleiman
Na kwakua hili jukwaa lina wataalamu wa Middle east
Kwa ubavu alionaa Iran ataelekea wapi ukizingatia marekani kaongeza pia majeshi
Me naona USA atapigiwa mbali kabisa asikokutegemea tena ubalozini
Whats your predictionView attachment 1312041View attachment 1312042View attachment 1312043View attachment 1312045View attachment 1312062
Haaretz hakuna siku inapita siwasomi. Iran ni kichaa vile akiona atapigwa sio kama Wairak waliokimbia vita, majenerali wa Iran watakomaa viwanjani watie dunia hasara. Mbona U.S alikomaliwa Vietnam akapata maisha magumu. Unajua kuisaidia Irak ya Saddam ilikuwa uongo maana majeshi yake yalimuogopa lakini hayakumueshimu na yalikimbia mapambano. Lakini Iran hawaendi kokote hawa, hivo kama ni msaada wa kiintelijensia na kuuziwa silaha wakipata tu wanatumia effectively, kumbuka hauitajiki kumshinda Marekani vitani we cha msingi mtie hasara, ua majeshi vya kutosha. Fanya maisha ya vikosi vyake viwe na hofu hiyo inapelekea nyumbani kampeni za kuacha vita zianze. Tena ukimpa na mashambulizi ya kigaidi si ndo mambo yanamuwia magumu.
Kalianzisha asubiri kulimaliza..
Iran wako vyema sana kidiplomasia na Propaganda
Wataipiga shambulio US kupitia Vikundi vya Uasi kama Hizbollah au IS na sio wenyewe direct kukwepa lawama za moja kwa moja
Na walivyo wabaya utashangaa watajielekeza kuhujumu shughuli za kiuchumi badala ya kuua watu kama walivyofanya kwa Saudia
Kama huko US Kwenyewe Kuna Walo Laani Njia Alotumia Trumpet Kumuua Soleiman Ulitegemea Soleiman Atapendwa na Kila RAIA Pole Sanaaa...Baadhi ya raia wa Iran walisherehekea taarifa za kuuawa kwa Soleimani mjini Baghdad.
Alilaumiwa kwa kupanga ghasia na kuunja maandamno ya amani ya kupigania demokrasia katika miezi ya hivi karibuni.
Jamaa anajitambia sana[emoji22][emoji22][emoji22]
Hatushabikiii damu kumwagika
Ila kwa hali ilivyo Middle East Damu kule ni lazima imwagike
Sasa kuna watu huwa ni wachambuzi wazuri sana, mara ballistic missile mara Russia mara Nuclear
Sasa tunataka watumbie upepo unaelekea wapi
Ndo tutatujua zile Story watu huwa wanamaanisha au ni ushabiki tu
Sent using Jamii Forums mobile app
The United States just spent Two Trillion Dollars on Military Equipment. We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!