Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Hapa kidogo ume ongea jambo la maana maana saudia hana uwezo wakupigana naIRAN ila us ataweza fanya figisu kama uloisema....
Hii ni kwa wenye akili kubwa tu ndiyo ataweza kuelewa. Vita ni pamoja na kutumia akili pamoja na mbinu ili uweze kushinda. Saudia Arabia ni nchi nzuri sana kuitumia kwenye vita na Iran kama haujui.

Saudia Arabia ina miji mikuu miwili ambayo waislamu wanaitumia kuabudu ambayo ni Makka na Madina. Mchezo unaweza kuwa hivi.

Marekani ataingia vitani akiwa na Saudia Arabia kuipiga Iran. Battle ikianza Marekani kwa siri sana ataipiga Makka na Madina kwa mabomu mpaka inakuwa majivu kwahiyo hapa itaoneka Iran ndiyo kapiga Makka na Madina. Waislamu wote duniani watapata hasira sana ya kupigwa miji yao kwahiyo wataanza kuichukia Iran. Marekani itawapa silaha wapiganaji wa kiislamu (hawa wanapenda sana vita). Wataingia kwenye vita. Marekani yeye atakuwa anatoa silaha tu kama kwa wapiganaji waliomuua Ghadafi.

Marekani, uingereza, Israel na Saudia Arabia watakuwa pembeni wanaangalia movie inavyokwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]
Kwanimjuavyo Mmarekani hatosubiri MuiRan amrudishie ila atakachokifanya Atajipiga yeye mwenyewe na sisi wote tutaamini ni Iran kafanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Kutuaminisha Upupu MKUU Mnataka IRAN Akija Kufanya Yake Mseme Jamaa Kajiamulia Mwenyewe [emoji2][emoji1][emoji1]

Halaf hata kama kweli itokee kajiripua mwenyewe bado Kisasi Cha IRAN Kitakua Kipo Pale Paleee........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mbona mnawatetea waajemi sana...inamaana mshakubali izo tuhuma waarabu hamna kitu??
Tatzo lenu mkiambiwa ukweli mnapanik kusema wairan ni waarabu badala ya waajemi ni upotoshaji na vitu vinavyo andikwa hapa vinakaa na kuishi miaka na miaka wasije wakaja watoto wakakutana na haya madudu yenu ya kwamba wairan ni waarabu

Hayo yakua nakitu ama kutokua na sio mambo yanayo jadiliwa hapa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu unachekesha wewe, Marekani ni strategist hatari mno, hakurupuki kutoa kichapo bila kujua uwezo wa adui wake na mikakati sambasamba.

Nenda Mashariki ya kati tayari anayo Saudia Arabia, Israel na Jordan na Misri wale jamas wanamjua vyema Iran hasa Israeli na Saudia.

Huyu mpuuzi aliyekufa wanaushahidi wa kutosha kuhusika kwake kulipua visima vya mafuta vya SaudiArabia, kushambuliwa kwa ubalozi wa marekani nchi Libya na Irak hivyo huyu Iran wanatafuta sababu ya kumadhibu tu.

Israeli amelalamika muda juu ya huyu jamaa kumshambulia na kufadhili vikundi hasim vya Israeli km hezbolaah chenye makao yake Lebanon. Iran kupigana na marekani katika live battle hana huo ubavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuripua visima vya wapi kama ushahidi alikua nao c aliambiwa autoe mbna jajatoa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia siyo kama anaipenda sana nchi za middle east ila anajitengenezea nafasi za kupiga hela ili uchumi wake uwe juu hata kumshinda Marekani. Marekani anawasumbua Russia na China kwasababu ya uchumi tu. Kwahiyo Russia akianza kupata sehemu ya kuchimba mafuta uchumi wake utakuwa juu na hapo atakuwa na uwezo wa kumsumbua Marekani.

Russia ya sasa siyo ile ya Socialism, ipo kibepari zaidi. Huwezi kupewa msaada bure bure na Capitalist halafu na wewe ukajiona una rafiki. Marekani na Russian ni kama kila mtu anataka dili la hela ila kila mmoja anapigana kumziba mwenzake ili achukue yeye, Akipata dili anachukua mafuta na kuuza silaha. Hii ndiyo biashara kuu ya nchi zilizoendelea
No sasa hv Russia anaingia kwenye International conflicts especially km zitaharibu interest zake... Mfano Syria, leo hii Assad yupo madarakani kwa msaada wa Mother Russia bila hivyo Assad angekuwa overthrown kitambo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20200105_143356.jpg
 
Russia siyo kama anaipenda sana nchi za middle east ila anajitengenezea nafasi za kupiga hela ili uchumi wake uwe juu hata kumshinda Marekani. Marekani anawasumbua Russia na China kwasababu ya uchumi tu. Kwahiyo Russia akianza kupata sehemu ya kuchimba mafuta uchumi wake utakuwa juu na hapo atakuwa na uwezo wa kumsumbua Marekani.

Russia ya sasa siyo ile ya Socialism, ipo kibepari zaidi. Huwezi kupewa msaada bure bure na Capitalist halafu na wewe ukajiona una rafiki. Marekani na Russian ni kama kila mtu anataka dili la hela ila kila mmoja anapigana kumziba mwenzake ili achukue yeye, Akipata dili anachukua mafuta na kuuza silaha. Hii ndiyo biashara kuu ya nchi zilizoendelea
Kwani Russia hachimbi mafuta nchini kwake??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana maana tunasema kuigusa Iran inapelekea third world war Trump kwa ujinga wake anataka kuiingiza dunia kwenye vita kumbuka miezi ya karibuni huyo huyo Iran alifanya mazoezi Hormuz akiwa na Russia na China navy ukipitia makala ya Haaretz gazeti maarufu la Israel wanaona kilichofanyika ni poor strategy with bad outcome maana the wise man is gone now remaining the hard liner with spirit mbovu wasiojua negotiation.na pia hata Susan rice former us ambassadors un anaona pia poor move risk ni kubwa kuliko faida.
Unajidanganya bure au unajipa matumaini kwamba Iran atamgusa Mwamba Ni kweli anaweza kumgusa ila jibu lake litakuwa mara tatu na alichokifanya jiulize vikosi vya Iran vilivyokuwa Syria vilivyopigwa na Israel, Iran walifanya nn waliishia kuwalaumu Russia kuwa walijua Ila walikaa kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajidanganya bure au unajipa matumaini kwamba Iran atamgusa Mwamba Ni kweli anaweza kumgusa ila jibu lake litakuwa mara tatu na alichokifanya jiulize vikosi vya Iran vilivyokuwa Syria vilivyopigwa na Israel, Iran walifanya nn waliishia kuwalaumu Russia kuwa walijua Ila walikaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hizi habari huwa mnazitoa wapi? Watalibani walikadiliwa just 60,000 na mpaka Leo 19yrs na bado kuna majimbo mpaka Leo wanashikilia, Iran ni nchi yenye wanajeshi zaidi ya 500,000 na magenge kibao yanayoiunga mkono kuzunguka eneo hilo pili Iran ndio kitovu cha ushia hivyo Holly site zipo huko kuivamia ni kutangaza vita na ushia ni sawa Leo useme unaenda kuharibu makha unaweza jikuta unazabwa kibao hata namtu usiemzania hata kama si msaudia kwasababu kile ni kitu cha kidunia, ndio maana hata huko Syria ilipokuwa inabomolewa misikiti ya kishia ya kihistoria watu walikuwa wanaenda pambana hata bila salary kisa misingi ya kiimani na ndio chanzo cha kupata haya makundi popular mobilization army.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa naisevu picha na Ku subscriber thread..

maana mwarabu (Iran) walivyo jinga aweza kulipua Obama road ya bongo akidhani Obama anaishi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran hawana shida na Obama, kwani aliwapa fair deal ambayo ilikuwa na Win win situation kwa US, NATO Iran and his Allies.
Trump toka mwanzo hakupenda Iran deal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom