Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Hapo ndiyo Iran atawajua waislamu wakoje kwenye uwanja wa vita yaani hapa mpaka Faiza Foxy atabeba silaha kwenda kupigana vita Iran. Marekani, Saudia Arabia, Israel na Uingereza watakuwa wanatoa silaha, madawa na chakula. All options are on the table
Yes Saudi ni nzuri sana kwa sababu makombora yote ya Iran yataishia pale Saudi Arabia na kuiharibu ile nchi na kuweka hati hati ufalme wa ile familia huku Ardhi ya Marekani pakiwa salama.
 
Hapo ndiyo Iran atawajua waislamu wakoje kwenye uwanja wa vita yaani hapa mpaka Faiza Foxy atabeba silaha kwenda kupigana vita Iran. Marekani, Saudia Arabia, Israel na Uingereza watakuwa wanatoa silaha, madawa na chakula. All options are on the table

Hao waislam walioshindwa kuisaidia Saudi Arabia wkt makombora ya houthi yakirushwa na kuharibu Viwanja vya ndege,bomba la mafuta huko Saudi ndio watakuja kusaidia nini sasa.

Vita vya Iran vs Iraq,US alitoa hiyo misaada ya madawa,silaha,logistics,military intelligence kwa Iraq kwa miaka 7 mfululizo then ikawaje?
 
No sasa hv Russia anaingia kwenye International conflicts especially km zitaharibu interest zake... Mfano Syria, leo hii Assad yupo madarakani kwa msaada wa Mother Russia bila hivyo Assad angekuwa overthrown kitambo sana.
Lazima utafutiwe sababu ili upigwe vizuri. Sababu kama hizi

1. Kawekewa vikwazo vya kiuchumi
2. General kauwawa tayari
Kama Iran atatumia busara na hekima. Inabidi akae kimya na ajifanye kama haoni kwasababu
1. Kuna nchi 3 nyuma ya Marekani ambapo ni Israel, Uingereza na Saudia Arabia
2. Iran yupo peke yaani hana msaada kutoka kwenye nchi yoyote yaani anapigana yeye kama yeye
3. Uchumi wa Iran unategemea mafuta zaidi kujiendesha sasa visima vikilipuliwa nchi itakuwa janga
Utasema Iran yupo na Russia na Sri Lanka hiyo haiwezekani kwasababu wale ni wanafiki na sasa hivi wanapigana kufa na kupona ili nao wawe vizuri kiuchumi ili waweze kushindana na Marekani. China amechukua bandari ya Sri Lanka kwa miaka 100 baada ya Sri Lanka kushindwa kulipa deni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa naisevu picha na Ku subscriber thread..

maana mwarabu (Iran) walivyo jinga aweza kulipua Obama road ya bongo akidhani Obama anaishi hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi muambiwe mara ngapi kuwa Iran sio waarabu?? Nyie ndio kila mumuonae na macho madogo ni mchina wengine ni Waphillipines.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Hivi muambiwe mara ngapi kuwa Iran sio waarabu?? Nyie ndio kila mumuonae na macho madogo ni mchina wengine ni Waphillipines.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Hivi mbona mnawatetea waajemi sana...inamaana mshakubali izo tuhuma waarabu hamna kitu??
 
Leo magazeti ya uk ( uingereza) yamenukuliwa yakisema UK SAS mwaka 2007 ilitaka kumondoa General Soleimen(R.I.P) lakini Miliband ( WAZIRI wa mambo ya nje wa kati huo) akakataa na kusema UK inataka kuongea na wairani na si kuwaua. Baadaye, inasemwa alipoojiwa Boris ( UK prime minister) juu ya shambulio la kumuua Shahidi Soleiman, amejibu na maji kwa neno moja " f*** " . UK haikutaarifiwa jambo hili.
Jiulize kwa nini habari ya 2007 ibuliwe leo na kwa nini Boris ajibu kwa hasira namna ile!

Kukumbusha tu US vita yote aliyopigana alijuwa na washirika akiwemo mjomba wake UK. Mara hii US uwenda akalinywa mwenyewe! Na kunauwezekano vita hii ikitokea (God forbid) itapiganwa mpaka kwenye ardhi yake. Sikutishi najaribu kuwaza tu!
Nayaeleza yote haya kukuonyesha kuwa vita yote aliyopigana US mara zote anahitaji msaada wa wenzake.
Ndugu unachekesha wewe, Marekani ni strategist hatari mno, hakurupuki kutoa kichapo bila kujua uwezo wa adui wake na mikakati sambasamba.

Nenda Mashariki ya kati tayari anayo Saudia Arabia, Israel na Jordan na Misri wale jamas wanamjua vyema Iran hasa Israeli na Saudia.

Huyu mpuuzi aliyekufa wanaushahidi wa kutosha kuhusika kwake kulipua visima vya mafuta vya SaudiArabia, kushambuliwa kwa ubalozi wa marekani nchi Libya na Irak hivyo huyu Iran wanatafuta sababu ya kumadhibu tu.

Israeli amelalamika muda juu ya huyu jamaa kumshambulia na kufadhili vikundi hasim vya Israeli km hezbolaah chenye makao yake Lebanon. Iran kupigana na marekani katika live battle hana huo ubavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said..! Usiche na bigheads utachwa station.
Hii ni kwa wenye akili kubwa tu ndiyo ataweza kuelewa. Vita ni pamoja na kutumia akili pamoja na mbinu ili uweze kushinda. Saudia Arabia ni nchi nzuri sana kuitumia kwenye vita na Iran kama haujui.

Saudia Arabia ina miji mikuu miwili ambayo waislamu wanaitumia kuabudu ambayo ni Makka na Madina. Mchezo unaweza kuwa hivi.

Marekani ataingia vitani akiwa na Saudia Arabia kuipiga Iran. Battle ikianza Marekani kwa siri sana ataipiga Makka na Madina kwa mabomu mpaka inakuwa majivu kwahiyo hapa itaoneka Iran ndiyo kapiga Makka na Madina. Waislamu wote duniani watapata hasira sana ya kupigwa miji yao kwahiyo wataanza kuichukia Iran. Marekani itawapa silaha wapiganaji wa kiislamu (hawa wanapenda sana vita). Wataingia kwenye vita. Marekani yeye atakuwa anatoa silaha tu kama kwa wapiganaji waliomuua Ghadafi.

Marekani, uingereza, Israel na Saudia Arabia watakuwa pembeni wanaangalia movie inavyokwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri Trump anajulikana kama mtaalamu wa mipasho na hajui chochote kuhusu mambo ya kijeshi.

Hivi COVFEFE maana yake nini?
Marekani rais is just a symbol, nchi inaendeshwa na taasisi (institutions) ukiona rais anaongea jua anasema alichotumwa kuongea kama hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu unachekesha wewe, Marekani ni strategist hatari mno, hakurupuki kutoa kichapo bila kujua uwezo wa adui wake na mikakati sambasamba.
Ha ,hahahaaa ! Basi sawa, ebu tukusikilize wewe unayesikitisha.
 
Hao waislam walioshindwa kuisaidia Saudi Arabia wkt makombora ya houthi yakirushwa na kuharibu Viwanja vya ndege,bomba la mafuta huko Saudi ndio watakuja kusaidia nini sasa.

Vita vya Iran vs Iraq,US alitoa hiyo misaada ya madawa,silaha,logistics,military intelligence kwa Iraq kwa miaka 7 mfululizo then ikawaje?
Ni makombora ya Iran huthi ni kivuli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This reminds me of ww1,you can't end a war by starting a war, trump did a bogus decision, he is currently trembling

Currently the Iranians have started slapping their chest boosting their Heart attack[emoji23]

Get popcorns and be ready for the BIG entertainment in the middle east since the Angel of death is about to show himself Out

American citizens are asking should they leave the country(usa)

With this shock Switzerland have Just announced guys!!!!!! I WIll BE NEUTRAL .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako una muona Trump ila utambue in USA president is just a symbol only, the state is runned by an institutions. Hapo tayari wanajua Iran akireact wanamkabili vipi wanajua vyema washirika wake na nguvu zake vizuri.

Kibaya Iran hana support ya madola makubwa zaidi ya vikundi vya kigaidi kwenye live battle atajikuta mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alichokisema kina mashiko.
There was more than 100 people to be killed from "beautiful strike" (according to Trump himself)
Ww jamaa cjui hua unaongea nn muda mwengne

Ss unahisi kama IRAN Kwa ss akijibu watakao kufa c watazidi100 kwahio unataka kutu aminisha Trumpet alikhofu kuua wale 100 Kidogo Ila Hahofii Kuua Zaidi Ya 1000000

Pole sana MKUU.....

Bora hata ungetuaminisha yakwamba Drone Haikua Na Thamani Ya Mtu Kama Alouawa Wa IRAN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]
Naongezea THANKS.

Uchumi na utawala wa Ayatolah uko vulnerable
Halafu Kuna Uzi Wako Mmoja Hv Uliandika Mwaka Jana Ukasema Mwaka 2019Haumalizi Serikali Ya IRAN Itakua Imesha Anguka Hivi Uko Wapi Ule Uzi Maana Kila Nkiutafta Ntie Neno Siupati[emoji4][emoji3][emoji16][emoji23][emoji5][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha ha ha
1. Kipindi Osama Bin Laden anauwawa kuna wamerekani pia walilaani (Utawala wa Obama)
2. Kipindi Sadam Hussein ananyongwa Marekani kuna wamerekani pia walilaani hilo tukio (Utawala wa Bush)
3. Kipindi Ghadafi anauwawa kuna wamerakani pia walilaani.
Mafuta hayajawahi kuiacha nchi yoyote ile ya Middle East salama.
Ndio uelewe ss hao watu walo andamana kupongeza kuuawa kwa kamanda soleiman wana hakki maana hakuna anaependwa nakila m2 duniani ss ww uliona la ajabu liko wapi katika hayo maandamano ya kufurahia kuuawa suleiman


Angalia walo andamana kupinga na kupongeza nahisi unaweza kupata mwanga


Kipigo kitakuja 2 hatakama sio leo na kesho ila sooon.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom