Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

Mkuu world trade center ililipuliwa wapi na mbona haikugundulika? Swala la intelligence sio 100% perfect

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile nimbinu kubwa sana ilitumika ,kuelewa kazisana (siri ndani ya FBI na CIA ....kunakitu kilipandwa ili leo kivunwe kwakivuli cha ugaidi usidhan CIA .Ili vita ipigwe/jambololote lifanyike lazima kue na chanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani ni mbabe na mjeuri.

Ukiangalia vita alivyovisha na alivyo shindwa ukiachalia mbali uwezo wake mkubwa kijeshi.

Vita alivyo shindwa ni vingi.Sijui hype yote hii kuhusu Marekani inatokana na nini.!?!?

Mtazamo wangu juu ya hili.

Marekani anatakiwa atambue Iran sio Waarabu wale ni Wa-Persia wajukuu wa wafalme Darius na Xerxes.
Wale hawana unafiki wa kiarabu na hata wakiwa na mgogoro linapokuja suala la kutetea nchi yao wanakua kitu kimoja.

Marekani anajeshi kubwa la maji na anga lakini Iran anauzoefu wa vita. Kapigana ardhini, angani kapigana na vita ya majini anaijua vizuri. Hapa kwenye vita ya majini ndio tatizo linapo anza kwa mmarekani.

Iran wana sub-marine nyingi kiidadi zinakaribiana na alizo nazo mmarekani. Mtu yeyote anajua vita vizuri atakuambia kupigana na adui mwenye nyambizi ni hatari sana.

Marekani anajivunia vita haiwezi pelekwa kwake lakini uhalisia Iran anauwezo wa kupeleka vita USA na akapiga maeneo na miji muhimu maana vitendea kazi anavyo.

Nyambizi inauwezo wa kusafiri bila kuonekana na kufanya mashambulizi ya kushtukiza wakiwa karibu na nchi ya marekani.

Hivyo USA asidharau mwiba Iran haitakua rahisi kama anavyojipa moyo. Alipigwa Vietnam, Afaghnstan, Iraq ya kwanza, Iraq ya pili mpaka leo inamsumbua, Syria inamsumbua mpaka leo,Korea ilisha kwa stalemate, Somalia alipigwa hivyo ajiangalie.

Iran ni mkubwa kuliko wote hao. Mbaya zaidi Pakistani ndugu katika imani wa Iran ambaye anamiliki silaha na technology ya nuclear anamuunga mkono ndugu yake.

Trump acheze chess yake vizuri maana pawns nao wameshtuka hawata kubali waende kichwa kichwa meanwhile Pawns wa Iran ni reliable akina Taleban, Hezbollah etc.

Yote kwa yote kila mtu anajua namna ya kuanzisha vita, namna inavyoisha ndio haijulikani.
 
Marekani ni mbabe na mjeuri.
Ukiangalia vita alivyovisha na alivyo shindwa ukiachalia mbali uwezo wake mkubwa kijeshi.
Vita alivyo shindwa ni vingi.
Sijui hype yote hii kuhusu Marekani inatokana na nini.!?!?
.
Na still wakashindwa kumprotect jenerali wao hao Iran kama wapo advance kama usemavyo?
 
Iran italipiza kisasi lakini hatujui ni lini au wapi lakini pia US kwa Intelligence yao ilivyo walijua fika wamefanya kitu gani na hivyo watarajie kitu gani, walishajipanga na wanajua nini cha kufanya na pia US walishajua taifa la Iran litachukua hatua ipi, kwa hio usije shangaa hakuna lolote linatokea kwa sababu hawa US kama walijua General anatoka Airport ina maana intelligence yao ipo vizuri, kwa hio Iran inaeza panga shambulizi halafu lisifanikiwe.
Labda iran ingekua na intelijensia ya bongo hapo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah facts kuhusiana na september 11 lilikua 2kio maalum lilohusisha watu maalum ndani ya taasisi maalum ndani Ya US ila Vp Kuhusiana na hizi hapa CHINI ?!
Ile nimbinu kubwa sana ilitumika ,kuelewa kazisana (siri ndani ya FBI na CIA ....kunakitu kilipandwa ili leo kivunwe kwakivuli cha ugaidi usidhan CIA .Ili vita ipigwe/jambololote lifanyike lazima kue na chanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuuliwa balozi wa US Benghazi !?

Kuvamiwa ubalozi wa US IRAQ ?!


Naomba Mrejesho Hapa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kiintelijensia hua kna baadhi ya mambo hua hayapo perfects kwq 100% Kwan Wakat walipo uliwa baloz wao Benghazi walikua wapi ?!

Wakat huo ubaloz wao IRAQ Unavamiwa walikua wapi ?!
Iran italipiza kisasi lakini hatujui ni lini au wapi lakini pia US kwa Intelligence yao ilivyo walijua fika wamefanya kitu gani na hivyo watarajie kitu gani, walishajipanga na wanajua nini cha kufanya na pia US walishajua taifa la Iran litachukua hatua ipi, kwa hio usije shangaa hakuna lolote linatokea kwa sababu hawa US kama walijua General anatoka Airport ina maana intelligence yao ipo vizuri, kwa hio Iran inaeza panga shambulizi halafu lisifanikiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
if they got balls why they dont just go shoot them in their soil? instead of looking around and hitting some small target with few and less important people who doesn't even mean nothing to the US.I mean US killed their very important man and they know it to me iran their just pussies with no balls to take what it takes. Thats why they dont go after the US face to face like the US did to them.They got all world terrified after showing those bombs and protection system but still they got punched right in their clit, From the first time i was thinking because they got best guns, bombs and all their killing machine if the US even say one more stupid thing they wouldve **** the US to its ashes but now all i see they just scared little pigs looking around for small target while they got big piece of map showing the whole USA. The question remains if they got bombs why do their look around instead of going directly for the US ?
Mbona USA kashindwa kumuua huyo kamanda akiwa Iran akavizia akiwa Iraq? Je usa ni muoga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee ongezea kikombe cha ghahawa na kashata mbili nakuja kulipa apo mkuu
Hii ni kwa wenye akili kubwa tu ndiyo ataweza kuelewa. Vita ni pamoja na kutumia akili pamoja na mbinu ili uweze kushinda. Saudia Arabia ni nchi nzuri sana kuitumia kwenye vita na Iran kama haujui.

Saudia Arabia ina miji mikuu miwili ambayo waislamu wanaitumia kuabudu ambayo ni Makka na Madina. Mchezo unaweza kuwa hivi.

Marekani ataingia vitani akiwa na Saudia Arabia kuipiga Iran. Battle ikianza Marekani kwa siri sana ataipiga Makka na Madina kwa mabomu mpaka inakuwa majivu kwahiyo hapa itaoneka Iran ndiyo kapiga Makka na Madina. Waislamu wote duniani watapata hasira sana ya kupigwa miji yao kwahiyo wataanza kuichukia Iran. Marekani itawapa silaha wapiganaji wa kiislamu (hawa wanapenda sana vita). Wataingia kwenye vita. Marekani yeye atakuwa anatoa silaha tu kama kwa wapiganaji waliomuua Ghadafi.

Marekani, uingereza, Israel na Saudia Arabia watakuwa pembeni wanaangalia movie inavyokwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran hawezi kufanya jambo ambalo litammaliza... Anajua vita na USA si kitu kidogo, ndio maana Iran hadi leo hajawahi rusha hata mkuki kwa israel japo miaka na miaka ana sema ataifuta israel kwenye uso wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda iran ingekua na intelijensia ya bongo hapo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kinacho ogofya ni US kuchukua hatua kama hio, lazima ujiulize wamejipanga vipi? huyo general alikuwa sio wa mchezo mchezo ati, yaani US imeenda far away kufanya hivyo, halafu cha ajabu wakajitokeza na kusema ni sisi tumeua, mkuu tufikiri hili pia.
 
Yah facts kuhusiana na september 11 lilikua 2kio maalum lilohusisha watu maalum ndani ya taasisi maalum ndani Ya US ila Vp Kuhusiana na hizi hapa CHINI ?! Na kuuliwa balozi wa US Benghazi !?

Kuvamiwa ubalozi wa US IRAQ ?!


Naomba Mrejesho Hapa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
Intelligence ya US sio kwamba ni 100% hapana, labda uwe mungu, lakini ni bora kuliko Iran huo ndio ukweli mkuu,
ubalozini ndio walivamiwa intelligence ilipwaya.
 
Marekani ni mbabe na mjeuri.
Ukiangalia vita alivyovisha na alivyo shindwa ukiachalia mbali uwezo wake mkubwa kijeshi.
Vita alivyo shindwa ni vingi.
Sijui hype yote hii kuhusu Marekani inatokana na nini.!?!?
Mtazamo wako sipingani nao kwa ujumla wake ila kuna machache ambayo naomba nipingane nayo:

Kwanza kabisa;
Sidhani kuwa unachokisema, Marekani haikifahamu. Kwamba Persians ni Wairani, ama si Waarabu? Si wanafiki! Sidhani kama maneno hayo yanafaa kuyatumia kujenga hoja juu ya uwezo wa Iran kijeshi.

Umeandika kuwa Irani ina uzoefu wa vita ila kumbuka kuwa hata Marekani pia ina uzoefu mkubwa tu wa vita tena vya mbali na nyumbani.

Isitoshe, uzoefu pekee hautoshi. Kuna mambo mengine mengi ambayo ni ya msingi katika kulifanya jeshi la nchi husika liwe imara zaidi.

Iran wana sub-marine nyingi kiidadi zinakaribiana na alizo nazo mmarekani.
Si kweli!

Isitoshe uwezo wa nyambizi katika modern warfare ndilo jambo la msingi zaidi kuliko idadi kubwa.

Mfano, idadi kubwa ya Submarines za Irani ni Mini-Submarines ambazo uwezo wake hauwezi kulingana na Submarines za mataifa makubwa kama Marekani, Urusi na Uchina au hata Uingereza, Ufaransa n.k.
 
Mwendelezo huo....nilazima utengeneze kitu kinaitwa kuungwa mkono ,kuuawa kwa balozi means wengine rafiki watakuunga,usitarajie faida tu kwenye kilimo cha nyanya(jipange pia inapotokea hasara akiba uwenayo yamtaji
Yah facts kuhusiana na september 11 lilikua 2kio maalum lilohusisha watu maalum ndani ya taasisi maalum ndani Ya US ila Vp Kuhusiana na hizi hapa CHINI ?! Na kuuliwa balozi wa US Benghazi !?

Kuvamiwa ubalozi wa US IRAQ ?!


Naomba Mrejesho Hapa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran saa hii ipo jikoni kujiuliza, imekuwaje siri za general zikavuja US wakajua alipo na kumtungua. Hii peke yake inahitaji wajitulize waugulie maumivu kabla hawaja thubutu kumgusa Mmarekani. Wakienda hovyo watamalizwa kimya kimya. Huyu General alikuwa mtu mkuu sana hivyo kuuliwa kwake kumemfadhaisha na kumdhalilisha Iran sana.
Sasa tunaamini nguvu nyingine inamuongoza US
 
Unajidanganya bure au unajipa matumaini kwamba Iran atamgusa Mwamba Ni kweli anaweza kumgusa ila jibu lake litakuwa mara tatu na alichokifanya jiulize vikosi vya Iran vilivyokuwa Syria vilivyopigwa na Israel, Iran walifanya nn waliishia kuwalaumu Russia kuwa walijua Ila walikaa kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani the strategy na pia nikinukuu gazeti la haaretz la Israel wanasema the wise soleiman is gone now Sasa ni fujo piga ni kupige subiria uone akifanya Israel Tena huo ujinga wa kupiga bases utaona wao walikuwa wanajua jinsi huyu general anavyopanga mambo yake wakawa wanatumia hizo loop hole Sasa wamebaki hardliners unwise mind .kwa taarifa yako tu bunge la Iraq lishapiga kura ya wanajeshi wa kigeni wote kuondoka Iraq kinasubiriwa wakatae kuondoka hapo ndio kisasi kitalipwa kimya kimya ndani ya Iraq usidhani akina Joe Biden na Democrat ni wajinga kumshutumu Trump alichofanya ni poor strategy na taarifa zinasema washaanza kuondoa troops zao kimya kimya kukuondoa tu benefit of dought kuwa middle East kun wakorofi Google William Buckley CIA utajua kilichompata huyo kanali akiwa Lebanon.
 
Back
Top Bottom