Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,012
- 37,419
US
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana Madhara Wamekua Majoka Yakibisa....Acha kulinganisha drone na uhai wa mtu tena mwenye heshima ya juu kama Soleimani, huyo jamaa alikuwa namba 2 kwa ushawishi huko Iran afu ndo unamlinganisha na drone, we unafikiri US angetungua drone ya Iran ingetokea taharuki kama ya kifo cha huyo mwamba?! au Iran alipotungua hiyo drone uliona wamarekani wameandamana?! Ujue tu kwamba marekani ingeua hata wanajeshi 10 wa kawaida wa Iran ingekuwa soo ndogo kuliko kumuua Soleimani mmoja. Ua pompeo afu Ayatollah ajitangaze ameidhinisha pompeo kuuwawa hapo ndo utajua kilichomtoa kanga manyoya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app