Nimesoma kichwa Cha habari yako tuNi kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?
Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?
Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?
Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?
Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Nimesoma kichwa Cha habari yako tu nokaona nicomment kwamba kwenye hao wa Tz unaowaita wengi wanaomkubali Samia Mimi Simon kabisa! Kwangu Mimi tangu JPM afariki sioni jipya lolote zaidi ya kuteua , kutengua na kusafiri kwenda kuombaomba huko duniani. Kupitia JPM nchi ilifika uchumi wa kati na alisema hadharani mara kwa mara kuwa TZ ni nchi tajiri, Haina haja ya kuwabebeleza mabeberu lakini alivyokufa mipango yake pia ikafa.Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?
Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?
Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?
Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?
Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Mi pia nashangaa!Wengi kina nani? Umewahesabu wapi?
MANENO " watanzania wengi" ni mawazo yako. Yaani kama wewe unakubali sera zake usilazimishe kwamba "watanzania wengi" wanakubaliana na fikra zako. Serikali ambayo waziri wake wa fedha anataka watu wote wasiokubaliana na mipango yake WAHAMIE BURUNDI" ndio inakubaliwa na watu wengi?!unaelewa kuna mambo ukiskia hata kama ulikua umekata tamaa unapata faraja na nguvu mpya, Ari na bidii ya kitofauti kukamilisha ndoto zako za maisha,
waTanzania wengi wakimskiza tu Dr Samia Suluhu Hassan wanapata nguvu ya ajabu kwamba ndoto na matarajio yao yanakwenda kufikiwa aisee!!? 🐒
Rais wa Tanzania alifariki march 17 mwaka 2021 , hao wengine ni fotocopy tu.unaelewa kuna mambo ukiskia hata kama ulikua umekata tamaa unapata faraja na nguvu mpya, Ari na bidii ya kitofauti kukamilisha ndoto zako za maisha,
waTanzania wengi wakimskiza tu Dr Samia Suluhu Hassan wanapata nguvu ya ajabu kwamba ndoto na matarajio yao yanakwenda kufikiwa aisee!!? 🐒
Wengi kwa kiasi gani. Nani anakudanganya. Usisemee watu Bila takwimu. Ni uchawa huyo usiku na aibuNi kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?
Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?
Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?
Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?
Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Angalau ana utu,tofauti na yule jamaa yenu kiongozi wa"malaika",he used to be a real saddist,sijui nchi hii ingekua wapi km angekuwepo mpaka leo,kimsingi Mungu aliamua ugomviNi kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?
Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?
Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?
Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?
Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Rais wa Tanzania alifariki march 17 mwaka 2021 , hao wengine ni fotocopy tu.
Ni mjinga na Zombie tu kama wewe ndo anamkubaliNi kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?
Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?
Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?
Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?
Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Hivi wewe mtoa uzi, Huwa unatoa wapi hivi VICHEKESHO???🤣🤣
Hivi kweli wewe unaishi TZ??
Dalali anayeuza rasilimali za nchi???
Fanya simple research, Huwa anakubalika zaidi na CHAWA aina ya akina Luke.😅😅
Akiwa na busara mwisho inapaswa iwe 2025.
Amezungukwa na genge la KUSIFU NA "KUABUDU "
Waimba pambio hao wanajua, Kuwa hana kibali, wanafanya hivyo kujioendekeza na kulinda maslahi binafsi.
Nimekukumbuka, mama anaupiga mwingi sana,
1.Bandari ameweka rehani.
2.Mbuga za wanyama kaweka rehani, kawapa wajomba, misiti, na amewafukuza wamasai kwenda MSOMERA, kawaondoa katika ancestral land.
Hapaswi kupewa nafasi ,ataauza nchi zaidi ya hapo.
Nchi unaweza kupigwa Mnada.
Mama hana kibali, bahati mbaya hakuna ambaye anaweza kumwambia.
Cc:Lucas Mwashambwa
Cc:Kipara Kipya
Cc:Magonjwa Mtambuka
Cc:Faiza Foxy
ni mamilioni kwa mamilioni gentleman hawahesabiki coz ni mpaka wanafunzi shule za msingi wanamkubali sana Dr Samia Suluhu Hassan 🐒Wengi kwa kiasi gani. Nani anakudanganya. Usisemee watu Bila takwimu. Ni uchawa huyo usiku na aibu
huo ndio ukweli,MANENO " watanzania wengi" ni mawazo yako. Yaani kama wewe unakubali sera zake usilazimishe kwamba "watanzania wengi" wanakubaliana na fikra zako. Serikali ambayo waziri wake wa fedha anataka watu wote wasiokubaliana na mipango yake WAHAMIE BURUNDI" ndio inakubaliwa na watu wengi?!
Hahaha, ila Tanzania wananchi wake ni watu wa hovyo sana. Mtu yuko radhi kuvua akili zake ile mradi tu anapewa buku 7Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?
Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?
Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?
Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?
Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
gentleman,Nimesoma kichwa Cha habari yako tu
Nimesoma kichwa Cha habari yako tu nokaona nicomment kwamba kwenye hao wa Tz unaowaita wengi wanaomkubali Samia Mimi Simon kabisa! Kwangu Mimi tangu JPM afariki sioni jipya lolote zaidi ya kuteua , kutengua na kusafiri kwenda kuombaomba huko duniani. Kupitia JPM nchi ilifika uchumi wa kati na alisema hadharani mara kwa mara kuwa TZ ni nchi tajiri, Haina haja ya kuwabebeleza mabeberu lakini alivyokufa mipango yake pia ikafa.
Ila uchawa siyo kazi rahisi kama watu wanavyochukuliaRais Samia anapendwa na kukubalika na mamillioni ya watanzania kwa sababu amekidhi matarajio ya watanzania na kukata kiu waliyokuwa nayo juu ya aina ya kiongozi waliyekuwa wanamuhitaji.
Kwa ufupi Mama yetu mpendwa na kipenzi cha watanzania ni jibu na jawabu kwa mahitaji ya watanzania.