Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimat
Acha ujinga wewe kutujumlisha na sisi, kama unampemda ni wewe na familia yako pimbi jike wewe
Badilisha heading ya Uzi wako iwe kinyume chake uone mjadala utanoga upande upi au tupige kura.
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Chawa tu ndiyo wanamkubali
 
Pikipiki 700 Nina taarifa na Morogoro zinaenda au zitakuwa zimefika
Acha kabisa, wajomba zake watakua wamemwaga chapaa ya mafuta. Apendwe kwa lipi? Kafanya nini? Zaidi mafisadi wanatumia nguvu kubwa kumrudisha ili waendelee kutafuna nchi
 
Amka usingizini wew fala ……
 
Naomba tu nikitukane we ni Mpuuzi tu kama alivyo yeye.
unadhani hiyo inaweza kupunguza hata asilimia kidogo ya ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% kwa Dr. Samia Suluhu Hassan?🐒

nasisitiza,
ikiwa hali hiyo inakupa ahueni au faida yoyote ongeza bidii gentleman 🐒
 
Acha kabisa, wajomba zake watakua wamemwaga chapaa ya mafuta. Apendwe kwa lipi? Kafanya nini? Zaidi mafisadi wanatumia nguvu kubwa kumrudisha ili waendelee kutafuna nchi
Mnapeana moyo kwa kupotoshana sio 🐒

love ya waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan ni kubwa balaa dah 🐒
 
Acha kabisa, wajomba zake watakua wamemwaga chapaa ya mafuta. Apendwe kwa lipi? Kafanya nini? Zaidi mafisadi wanatumia nguvu kubwa kumrudisha ili waendelee kutafuna nchi
unapeana moyo kwa kupotoshana sio 🐒

love ya waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan ni kubwa balaa dah
Usitutie Majaribuni
yaporomoshe tu gentleman 🤣

but upendo wa waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan haupimiki 🐒
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Huna akili kabisa ndugu chawa
 
Chawa tu ndiyo wanamkubali
unawadharau na kuwadhihaki waTanzania gentleman?🐒

bado hamjifunzi why kwenye ballot mara zote mnakua rejected?

but anyway,
upendo wa waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan haudhoofishwi wala kutetereshwa na chochote 🐒
 
unadhani hiyo inaweza kupunguza hata asilimia kidogo ya ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% kwa Dr. Samia Suluhu Hassan?🐒

nasisitiza,
ikiwa hali hiyo inakupa ahueni au faida yoyote ongeza bidii gentleman 🐒
Kaka ake Luka kazini, utakufa vibaya wewe nakuhurumia. Mabwabwa huanza kama Chawa🤣
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Nani kama mamaaa aaa
 
Badilisha heading ya Uzi wako iwe kinyume chake uone mjadala utanoga upande upi au tupige kura.
nadhani ushindani uwe baina ya wanaotukana, wenye mihemko na wenye hoja, unaonaje hiyo 🤣

but waTanzania wanamuelewa sana Dr.samia Suluhu Hassan for sure 🐒
 
unawadharau na kuwadhihaki waTanzania gentleman?🐒

bado hamjifunzi why kwenye ballot mara zote mnakua rejected?

but anyway,
upendo wa waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan haudhoofishwi wala kutetereshwa na chochote 🐒
Ungekuja na hoja nyingine ningekuona una la maana lakini hoja ya ballot box na kile kilichotokea 2019-2020 hapo hujanishawishi kwani hakukuwa na uchaguzi na hata wewe unafahamu hivyo na kama unabisha katika hilo sina muda wa kubishana na wewe kwani itakuwa kama tunabishania ushabiki wa mpira. Tongoje tuone chaguzi zijazo kama zitakuwa huru na haki kama alivyoahidi Rais vinginevyo hoja ya ballot box haina mashiko kwa sasa.
 
by the way waTanzania wengi wanamkubali sana Dr Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi mkuu 2025..

hayupo atakae lazimishwa kuamini kwamba utakua huru, haki na wa wazi🐒

Tume Huru ya Uchaguzi inaandaa na itasimamia uchaguzi huo kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na sio kwa matakwa au maoni ya kikundi Fulani chenye mashaka, kisicho amini kila kitu 🐒

ushiriki usishiriki ni uamuzi wako, waTanzania watakao shiriki wataamua kwa niaba yako na mambo yasonge mbele, Kwan kuna shida hapo? 🐒
 
Back
Top Bottom