Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

WATETEZI WA SAMIA WAMECHOKA SANA
unaelewa kuna mambo ukiskia hata kama ulikua umekata tamaa unapata faraja na nguvu mpya, Ari na bidii ya kitofauti kukamilisha ndoto zako za maisha,

waTanzania wengi wakimskiza tu Dr Samia Suluhu Hassan wanapata nguvu ya ajabu kwamba ndoto na matarajio yao yanakwenda kufikiwa aisee!!? 🐒
 
Kipimo cha upendo ni upi?
Amefanya kipi cha ajabu kwenye hii inchi?
kipimo kikubwa cha upendo wa waTanzania kwa Dr.Samia Suluhu Hassan ni kukubalika kwake katika kila pembe ya nchi, kitaifa na kimataifa 🐒

cha ajabu ni kwamba,
hayupo anaemchukia hadharini ispokua waporomosha matusi wachache tu waliyojificha nyuma ya keyboard 🐒
 
Atii nini wanampendaa Samia ,nikupe habari ,ni kikundi flani cha watu kimejifungi ndani wanazungumza mtaani na kuamisha watuu kwamba anapendwaa,na kikundi hicho kimejaa njaaaaaaaaaa tuuu hamna cha maana
nadhani wewe unawazungumzia wachache, kundi la wana matusi hodari walojificha nyuma ya keyboard, right?🐒

nchi nzima wameamua kushow love kwa Dr Samia Suluhu Hassan kwa namna mbalimbali na wako nae bega kwa bega mpka ukamilifu wa dahari, na hili liko wazi mchana kweupe katika kila pembe ya nchi 🐒
 
Ngoja nijinyamazie tu.
tena ukae kimya kabisa, kwa heshma kwasabb itasaidia kufanya mama huyu Dr Samia Suluhu Hassan kuendelea kuheshimika na kukubalika zaidi nchini 🐒
 
Sema nyie jamaa mna impact sana.
Ndio hivyo ni negative impact kwa jamii.
positive na negative impacts ni opportunity kwa visionary and revolutionary young professionals leaders 🐒

tunapitia humo humo tukiwa vibrant mbaya sana politically speaking...

hata hivyo kukubalika kwa Dr Samia Suluhu Hassan hapadhoofishwi na negativity ya aina yoyote kutoka upande wowote coz its real and natural 🐒
 
😳 hii nchi hiii inahitaji wanafki wauwawe ndio tutasonga mbele.
sasa si mtauwa makamanda wengi sana aise maana wengi wao hivi sasa ni miongoni mwa waTanzania wanaomkubali sana Dr.Samia Suluhu Hassan , na haitakubalika hata moja auawe 🐒
 
Back
Top Bottom