Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

by the way waTanzania wengi wanamkubali sana Dr Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi mkuu 2025..

hayupo atakae lazimishwa kuamini kwamba utakua huru, haki na wa wazi🐒

Tume Huru ya Uchaguzi inaandaa na itasimamia uchaguzi huo kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, na sio kwa matakwa au maoni ya kikundi Fulani chenye mashaka, kisicho amini kila kitu 🐒

ushiriki usishiriki ni uamuzi wako, waTanzania watakao shiriki wataamua kwa niaba yako na mambo yasonge mbele, Kwan kuna shida hapo? 🐒
Unaeleza kitu kingine kabisa. Mimi nimesema ufanyike uchaguzi huru na wa haki then matokeo yake ndiyo yata akisi hiyo hoja yako ya ni watu kiasi gani wanamkubali Samia. Si zaidi ya hapo.
 
Unaeleza kitu kingine kabisa. Mimi nimesema ufanyike uchaguzi huru na wa haki then matokeo yake ndiyo yata akisi hiyo hoja yako ya ni watu kiasi gani wanamkubali Samia. Si zaidi ya hapo.
uko sahihi,
hofu yangu ni kwa wale wasio amini katika uchaguzi huru, wa haki na wazi,

kwamba wanaweza kuzira au kususa uchaguzi, halafu baada ya uchaguzi ndio wanakuja kugundua kwamba uchaguzi uliofanyika, kweli was free, fair and transparency elections 🤣

itawalazimu kusubiri miaka mi5 ijayo tena dah🐒
 
nani kakwambia wanamkubali
wanawake wote, wakulima, wafugaji, wanafunzi, wafabiashara, wavuvi wafanyakazi, wa akina baba na akina mama wa vyama vya kisiasa karibu vyote nchi, maafisa usafirishaji wa magari, bodaboda n.k
ni karibu waTanzania wote wanasema hivyo gentleman 🐒
 
Kuna thread ukizifungua, ukitoka bila kutukana wewe ni special case.
ukifikia ukomo wa fikra mpya au mbadala, moyo unajaa hasira , chuki na mihemko, so hitimisho huwa ni kuporomosha matusi tu 🤣

hata hivyo hiyo tabia isiyofaa,
inaathiri nini kwa upendo wa waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan ?

anaweza kupata zaidi ya 90% kwenye uchaguzi Mkuu ujao ikiwa atagombea urais 🐒
 
Endeleeni kumdanganya huyu Mama, na nadhani ccm hakuna uchaguzi watamwaga hela kama uchaguzi ujao, na wizi wa waziwazi wa kura.
CCM ni sehemu ya ushindi wa kishindo wa Dr Samia Suluhu Hassan..
Upendo mkubwa sana wa waTanzania unadhihirisha hilo 🐒
 
Rais Samia anapendwa na kukubalika na mamillioni ya watanzania kwa sababu amekidhi matarajio ya watanzania na kukata kiu waliyokuwa nayo juu ya aina ya kiongozi waliyekuwa wanamuhitaji.

Kwa ufupi Mama yetu mpendwa na kipenzi cha watanzania ni jibu na jawabu kwa mahitaji ya watanzania.
Umejianzishia uzi mwenyewe kwa ID fake alafu unakuja kujijibu mwenyewe 😄 yaani unajitekenya alafu unacheka
 
Huyo amejimilikisha akili za watanzania wote. Achofikiria au kupenda yeye anaamini watanzania wote wako kama yeye,utamuweza huyo? Kuna shida hapo.
muanzishe chama cha kubisha ukweli na kiongozi wenu awe yule kiongozi wenu awe yule anae nyooshwa na bunge 🐒

but mkae mkijua Mapenzi ya waTanzania kwa Dr Samia suluhu Hassan hayapimiki 🐒
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Stupidity is knowing the truth, seeing the truth but still believing the lies.
 
Stupidity is knowing the truth, seeing the truth but still believing the lies.
like the gentleman who suffers the bunge ban after tried so hard to force rumors and lies to be truth inside bunge, right?🐒

that was very wrong to aged and respected person like him, with family at home to say lies, it is very shame to the family of disciplined community like our very respected Tanzania🐒

we thank Tanzanians for their unshakable love and beliefs to Dr.Samia Suluhu Hassan as a visionary leader they trust most 🐒
 
Hahaha bahati yake Tanzania hakuna Gen-Z.
Tz kuna Nyumbu-Z tangu kitambo sana hata kabla ya Gen-Z🐒

sema wao wana mihemko tu wanaishiaka kwenye kuporomosha matusi kwasabb huwaga hawana hoja na hawajuagi wanataka nini 🐒

Tangu Dr.Samia Suluhu Hassan ameingia mamlakani wameanza kubailika na kumpenda kiongozi wao huyo wamebaki wachache tu nao katika muda usio mrefu watabadilika pia 🐒
 
Back
Top Bottom