Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Sababu ameturuhusu kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake. Na ameonesha upendo kwa wenye vyeti fake ambao hapo nyuma walifukuzwa kazini. Yeye ameturudisha. Safari kwa sasa tunapata kipindi cha nyuma Magufuli alibana sana safari.

Sisi tulio kwenye system kwa kweli tunalamba asali.
ile muhimu na ya maana zaidi ni kwamba,
waTanzania wameamua kuambatana na kuandamana na Dr.Samia Suluhu Hassan kuelekea2025 kwa mapendo makubwa sana, mengine zaidi ya hapo sio issie sana:pulpTRAVOLTA:
 
Ukisema hapo kanda ya ziwa utapigwa sana makofi
kupigiwa makofi si muhimu sana,

mapendo kutoka moyoni kwa waTanzania dhidi ya Dr.Samia Suluhu Hassan ndiyo jambo la maana zaidi kwa sasa linaloendelea nchi nzima:pulpTRAVOLTA:
 
ile muhimu na ya maana zaidi ni kwamba,
waTanzania wameamua kuambatana na kuandamana na Dr.Samia Suluhu Hassan kuelekea2025 kwa mapendo makubwa sana, mengine zaidi ya hapo sio issie sana:pulpTRAVOLTA:
Haya ndo yanatupa sisi nguvu kwenye mitandao kumsifia nilimchukia maguful sababu alitubana sana. Na kwenye suala la vyeti fake hakutuonea huruma. Sasa tumerudi makazini kwa nini tusifurahie? Hakuna tena kuogopana kazini tunafanya kazi bila pressure. Tuliishi kwa woga sana makazini. Huko mitaani ndo waswahili tu wanalalamika na njaa zao.
 
tuchape kazi sasa kwa bidii na weledi na tusonge mbele pamoja kwa uelekeo moja mpya :pulpTRAVOLTA:
 
Mpaka leo ana nia tu na sio kufanikisha. Ndo Tuseme mwaka 3 huu
Ni sawa na kisem "Andala ana nia ya kumuoa Shansia ili waishi maish ya furaha" alafu mwak w 3 unaisha.
🤣 sikilaumu kichw chako
 
Mmeona uchawa unalipa aya endeleeni
muhimu na ya maana zaidi ni matumaini na mapendo ya waTanzania kwa dr samia suluhu hassan yaheshimiwe bila mihemko ndungu zangu, kwan ubaya uko wap?:pulpTRAVOLTA:
 
tuchape kazi sasa kwa bidii na weledi na tusonge mbele pamoja kwa uelekeo moja mpya :pulpTRAVOLTA:
Ni kuangalia urefu wa kamba hayo ya kuchoshana kuchapa kazi yalishapita. Mama amesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba. Usipojenga awamu hii hujengi tena. Mama anaupiga mwingi. Huyu aende mpaka 2040 kama inawezekana.
 
Mpaka leo ana nia tu na sio kufanikisha. Ndo Tuseme mwaka 3 huu
Ni sawa na kisem "Andala ana nia ya kumuoa Shansia ili waishi maish ya furaha" alafu mwak w 3 unaisha.
🤣 sikilaumu kichw chako
muhimu zaidi ni kwamba haki na uhuru wako wa maoni na wa waTanzania wengine vijeshimiwe kwa uzito uleule bila chuki wala mihemko ndrugu zangu:pedroP:

waTanzania mamilioni kwa mamilioni yao wanampenda sana Dr.samia Suluhu Hassani, ubaya uko wapi ikiwa wewe unampenda hashim rungwe:pedroP:
 
Ni kuangalia urefu wa kamba hayo ya kuchoshana kuchapa kazi yalishapita. Mama amesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba. Usipojenga awamu hii hujengi tena. Mama anaupiga mwingi. Huyu aende mpaka 2040 kama inawezekana.
muhimu zaidi ni kusonga mbele bila kubabaika na vifundo fundo visivyo vya lazima moyoni dhidi ya yeyote wala chochote . be free ukiona kuchapa kazi ni kichoshana na inakusaidia ng"ang"ana hapohapo na ukiona ni vinginevyo changanya miguu sawasawa ufanikiwe zaid bila mbambamba yoyote:pulpTRAVOLTA:
 
unawabeza waTanzania kwa dhihaka namna hiyo gebtleman, kisa tu wanampenda Dr.Samia Suluhu Hassan?

kuna vyama vinateseka kwa dhihaka kama hizo zako za kuwadhihaki waTanzania mpaka wa leo hawaeleweki wala kiskizwa na wananch...

hata hivyo mihemko ya mtu au watu fulani, haiwez kubadili upendo wa waTanzania kwa Dr.samia suluhu hassan hata kidogo:pulpTRAVOLTA:
Hivi nikikuuliza ni kipi hasa huyu mwehu kafanya chenye manufaa kwa hii nchi utanijibu nini ?

Kuuza bandari ? Kuuza ngoro ngoro na kuwafukuza wamasai ? kukopa hovyo nje ? Kuongezea wananchi kodi kila kukicha ? Au kununua goli la yanga kwa milioni 10 snafu wale marehemu wa maporomoko ya hanangi kupozwa kwa milioni 1 kwa kila mwili ?

Na wale mataira wenzake wanaompigia makofi pale dodoma kila kukicha
 
Many have not understand what she is preaching and practicing. Anaongea haki jinai wakati watu wanatekwa bado hapo kkkoo.
Anaongea Rushwa cag kila akiibuka kuna upigaji. Hata makinda kakutana na wahuni halamshauri ya arusha wanakuka kwa control number
Haongelei wages kuoanda ila anaonhea kodi na tozo, hatoi sululhisho la bei ya mafuta kushuka. Kiufupi watu hawamuelewi kabisa anachoongea na uhalisia on the ground.
 
Rais Samia anapendwa na kukubalika na mamillioni ya watanzania kwa sababu amekidhi matarajio ya watanzania na kukata kiu waliyokuwa nayo juu ya aina ya kiongozi waliyekuwa wanamuhitaji.

Kwa ufupi Mama yetu mpendwa na kipenzi cha watanzania ni jibu na jawabu kwa mahitaji ya watanzania.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Hivi nikikuuliza ni kipi hasa guys mwehu kafanya chenye manufaa kwa hii nchi utanijibu nini ?

Kuuza bandari ? Kuuza ngoro ngoro na kuwafukuza wamasai ? kukopa hovyo nje ? Kuongezea wananchi kodi kila kukicha ? Au kununua goli la yanga kwa milioni 10 snafu wale marehemu wa maporomoko ya hanangi kupozwa kwa milioni 1 kwa kila mwili ?

Na wale mataira wenzake wanaompigia makofi pale dodoma kila kukicha
mihemko, ghadhabu na chuki binafsi na visingizio na lawama za kubuni dhaifu namna hiyo, waTanzania makini watakupuuzia tu, na labda wakikuona kwa sura, huenda wataanza kuhisi umetingwa na msongo wa mawazo na matatizo mbalimbali kiafya, kama vile afya ya fikra n.k:pulpTRAVOLTA:

hata hivyo mapendo ya waTanzania kwa Dr.Samia Suluhu Hassan ni makubwa mno, na hayana kifani :pulpTRAVOLTA:
 
Nimekuuliza ni vitu gani ambavyo ni tangible ambavyo huyu mwehu mwenzio amefanya kwa hii nchi kwamba vitaacha alama tumkumbuke, ni orodheshee haha.
 
Back
Top Bottom