Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Nimekuuliza ni vitu gani ambavyo ni tangible ambavyo huyu mwehu mwenzio amefanya kwa hii nchi kwamba vitaacha alama tumkumbuke, ni orodheshee haha.
uhuru wa kufanya mikutano ya kutukana watu uliyokua ukiililia sana kwa kipindi kirefu sana,

enjoy freely kuporomosha matusi gentleman kwa raha zako ndiyo furaha na unachoweza ama sivyo? :pedroP:
 
Many have not understand what she is preaching and practicing. Anaongea haki jinai wakati watu wanatekwa bado hapo kkkoo.
Anaongea Rushwa cag kila akiibuka kuna upigaji. Hata makinda kakutana na wahuni halamshauri ya arusha wanakuka kwa control number
Haongelei wages kuoanda ila anaonhea kodi na tozo, hatoi sululhisho la bei ya mafuta kushuka. Kiufupi watu hawamuelewi kabisa anachoongea na uhalisia on the ground.
avoid unnecessary mayhem and mood in understanding critical issues:pedroP:

hizo ni dosari na kasoro kidogo tu na ni za kawaida sana, zinashughulikiwa,

muhimu na la maana zaidi ni hili la waTanzania kuonyesha upendo mkubwa sana nchi nzima kwa Dr.Samia Suluhu Hassan,
kwan kuna ubaya wowote kwenye hili ndugu?:pulpTRAVOLTA:
 
Awali ya yote.

Magulification must go on.

Hakuna jinsi Afrika/Tanzania. It must go on

Chagua kwa Umakini 2024-2025

========

Uchunguzi wa kifo chake ufanyike, na kwa msingi huo, narudia.

Chagua kwa umakini 2024-2025
 
Hata mimi namkubali Kwa sababu ametoa ajira Kwa wahitimu wengi Kwa kipindi chake, miongoni ni mimi.!
 
Watanzania wapi mjombaa...maana huku chini walala hoi hatumpendi,tena kina mama wezake ndo wanaongoza kutompenda.sasa sijui unawasemea watanzania gani?
 
Nipo kwenye mwendokasi apa..nikawa nasoma vichwa vya mada nikakutana na hii yako nikatukana tusi kubwa kimoyomoyo naona watu wananishangaa kumbe nimetukana kwa sauti .... mkuu kwanini mnapenda kuwasababishia watu zambi za makusud
 
muhimu zaidi ni kwamba haki na uhuru wako wa maoni na wa waTanzania wengine vijeshimiwe kwa uzito uleule bila chuki wala mihemko ndrugu zangu:pedroP:

waTanzania mamilioni kwa mamilioni yao wanampenda sana Dr.samia Suluhu Hassani, ubaya uko wapi ikiwa wewe unampenda hashim rungwe:pedroP:
😂 endelea kujifurahisha
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Kwa sababu hakuna kutekana tena siku hizi.
 
mtaani?
hata tangu umejiunga JF miaka yote hiyo hukuwahi kumuona wala kukutana na JF members physically, kweli si kweli?🐒

Dr.Samia Suluhu Hassan, anazingumzwa sana kule zinakopatikana huduma msingi za kijamii kama vile afya,elimu, maji, kilimo, biashara n.k wanao nufaika na huduma za kwenye maeneo hayo huwezi mwambia kitu ingine 🐒

sasa maeneo uliyopo wew nadhani huenda yana walakini kidogo....
Inawezekana ikawa hivyo. Ila naamini nimeshazunguka maeneo mengi pia tofauti tofauti na pote hali ni hiyo. Nafkiri labda bado sijafanikiwa kufika maeneo ambayo anakubalika
 
muhimu zaidi ni kusonga mbele bila kubabaika na vifundo fundo visivyo vya lazima moyoni dhidi ya yeyote wala chochote . be free ukiona kuchapa kazi ni kichoshana na inakusaidia ng"ang"ana hapohapo na ukiona ni vinginevyo changanya miguu sawasawa ufanikiwe zaid bila mbambamba yoyote:pulpTRAVOLTA:
Hapa nimesha settle tayari.
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Tukuulize wewe na familia yako , maana mnamkubali sio watz
 
madonda na majeraha ya kuwadhihaki waTanzania kwa baadhi ya vyama vya siasa, waliowahi kuwabeza kama unavyo waita, mpaka leo vinawatesa kwenye majukwaa ya kisiasa na kwenye sanduku la kura,

kwababu leo unawaita ulivyo waita, kesho utakwenda tena kwao kuwaomba wakuunge mkono au kuwaomba kukupigia kura, ndipo sasa utawajua kwamba wako kama ulivyo waita au ni waerevu kupindukia 🐒

ila kwahivi sasa mapendo ya waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan yamepitiliza aise dah!🐒
Kazi za wavivu ni Kubeti, Udalali na Uchawa.
 
Back
Top Bottom