Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Kuhusu Mali za Tanganyika imekaaje???
waTanzania wanasonga mbele na Tanzania yao, hao wengine sijui wako wangapi waendelee kupambana na hicho ambacho wengi tumekiona kwenye vitabu tu, hiyo spirit ya kupambania kitu ambacho hukijua hata kinafananaje naona ni hopeless 🐒

nadhani waTanzania wanaompenda na kumkubali Dr Samia Suluhu Hassan wanakwenda kuenjoy mipango yake humu humu Tanzania na sio kwingineko 🐒
 
Nothing new, kwa mtu ambaye Yuko focused, anatumia vema zawadi ya akili intellect ambayo amepewa na Mungu.

Anaona Moja kwa moja kuwa Rais anayepambwa hana jipya.

Pesa kwenye report ya CAG imepigwa anashindwa kuwachukulia hatua WEZI, zaidi ya kuwaita STUPID 🤔🤔

Kama watu wanampenda dalali anayeuza Mali za nchi yetu ili mradib yeye apate "TENDE na HALUWA" waendelee kumpenda.

Kwa akili yangu , kwa kutumia naked eyes, Dr Samia Suluhu Hassan nchi imemshinda.
 
angalau una utulivu na fikra ambazo si mbadala,

muhimu,
wakati wa kupiga kura usiharibu kura kwa makusudi kama wengine, bora uwapigie hata wasio shinda...

Lakini Ukweli ni kwamba licha ya changamoto, dosari na kasoro hasa zinazotolewa mitandaoni na kuishia huko huko mitandaoni,
Field ni tofauti, na Iman na matumaini ya wananchi ni kwa Dr.Samia Suluhu Hassan 🐒

unaweza kuangalia tu hata kwenye mikutano ya wapinza hali ilivyo zorota na kudorora, do you know why?🐒
 
umetoka wapi na mihemko gentleman 🐒

90% ya ushindi wa kishindo kwa Dr.Samia Suluhu Hassan iko pale pale gentleman 🐒
Mama uwezo wake ni mdogo pia amezungukwa na wapigaji kila kona mfano mzuri ni januari makamba na Mwigulu mchemba unategemea nni tena hapo bwashee
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Uchawa mbaya sana.Hivi wanakulipa Nini mpaka uwasaliti Watanzania kiasi hiki.Hii ni aibu kwa mama na baba yako aliyekuzaa.
 
Back
Top Bottom