Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Acha unafki wewe chawa huyo mama hapendwi hata januari makamba alithibitisha kwamba hatumpendi wewe kidamoa mbangaizaji unayejifanya mh. Mbunge wa jf eti watanzania wengi wanampenda bi chura. Labda anapendwa tanzania zanzibar
ndio nani na wawapi huyo uliemtaja...

Mapendo ya waTanzania mamilioni kwa mamilioni ya wanainchi hayapimiki na wala hayazuiliki kwa Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Pumbaf kabisa
 
Nani anamkubali kama sio matahila wezako.angekuwa anakubalika si tiari tungekuwa na katiba mpya.
unawadharau waTanzania kwa dhihaka namna hiyo muungwana? si sawa 🐒

kuna vyama vya siasa viliwadhihaki kwa lugha kama hiyo wananchi baada ya kushindwa uchaguzi,

mpaka leo hilo jeraha hilo la dhihaka mioyoni mwa wananchi halijapona na wanakataliwaga tu kila uchaguzi kwasabb waliwaita kama dhihaka uliyosema wew gentleman 🐒

ni vizuri kukataa au kukubali bila mihemko wala ghadhabu tena kwa hoja utaelewwka na kuheshimika sana 🐒

ukweli wa mambo ni kwamba Dr Samia Suluhu Hassan anakupalika na anapendwa sana nchi nzima 🐒
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Nisikikilize wewe CHAWA, msipomshauri na kumueleza Ukweli mama, Haki ya Mungu mnakwenda kumliza Samia!!

Wallah Samia sioni kabisa wa kumpigia kura. Nipo hapa Meatu vijijini watu wakiwemo Wanawake wenzake hawamtaki hata uwatajie jina!!

Mwambieni Ukweli mama Ili abadilike
 
Tanzania Ina mabumunda wachache Kama wewe
umepata mihemko na ghadhabu gentleman?🐒

haiwezi kutikisa wala kudhoofisha mapendo ya waTanzania kwa mama huyu mchapakazi sana Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
unawadharau waTanzania kwa dhihaka namna hiyo muungwana? si sawa 🐒

kuna vyama vya siasa viliwadhihaki kwa lugha kama hiyo wananchi baada ya kushindwa uchaguzi,

mpaka leo hilo jeraha hilo la dhihaka mioyoni mwa wananchi halijapona na wanakataliwaga tu kila uchaguzi kwasabb waliwaita kama dhihaka uliyosema wew gentleman 🐒

ni vizuri kukataa au kukubali bila mihemko wala ghadhabu tena kwa hoja utaelewwka na kuheshimika sana 🐒

ukweli wa mambo ni kwamba Dr Samia Suluhu Hassan anakupalika na anapendwa sana nchi nzima 🐒
Kama wanavikatq hivyo vyama kwanini ccm kila uchaguzi inashinda kwa wizi wa kura ?
 
Nisikikilize wewe CHAWA, msipomshauri na kumueleza Ukweli mama, Haki ya Mungu mnakwenda kumliza Samia!!

Wallah Samia sioni kabisa wa kumpigia kura. Nipo hapa Meatu vijijini watu wakiwemo Wanawake wenzake hawamtaki hata uwatajie jina!!

Mwambieni Ukweli mama Ili abadilike
Gentleman,
chukua nawe chopa zunguka nchi nzima,

huwezi tikisa wala kudhoofisha upendo na matumaini ya waTanzania mamilioni kwa mamilioni dhidi ya mama huyu madhubuti Dr Samia Suluhu Hassan 🐒

ukweli Lazima usemwe bila kificho 🐒
 
Kama wanavikatq hivyo vyama kwanini ccm kila uchaguzi inashinda kwa wizi wa kura ?
chama hakina kura kinaibiwaje na CCM gentleman?🐒

hiyo si story kwajili ya siku nyingine dogo 🐒

leo nilipenda tu kuwafahamisha na kutaka kujua ni nini hasa kinawafanya waTanzania kupenda na kumuamini sana Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
 
Rais Samia anapendwa na kukubalika na mamillioni ya watanzania kwa sababu amekidhi matarajio ya watanzania na kukata kiu waliyokuwa nayo juu ya aina ya kiongozi waliyekuwa wanamuhitaji.

Kwa ufupi Mama yetu mpendwa na kipenzi cha watanzania ni jibu na jawabu kwa mahitaji ya watanzania.

Gen-Z ya Tanzania hiyo!
 
Ila Uchawa huu🤣🤣🤣🤣
Watanzania wagonjwa wa akili kwa umoja wenu iko ndo mlichokubaliana kwamba mnamkubali awapige mikasi au?
 
Kwani makamanda nao ni wanafki mkuu? Maana mimi nimesema wanafki😂😂.
sifahamu,
ila wakiongizwa na wakuu wao ambao wanatamani sana tena kuitwa ikulu kwaajili ya chai na Dr Samia Suluhu Hassan ila nafasi ndio hamana...

Yaani mfano vile vikundi vyao vya akina mama miongoni mwa vyama vyote vya kisiasa wanamkubali Dr Samia Suluhu Hassan balaa, huwezi wambia kitu dhidi ya Dr Samia Suluhu Hassan wakakuelewa,aise dah 🐒
 
Ila Uchawa huu🤣🤣🤣🤣
Watanzania wagonjwa wa akili kwa umoja wenu iko ndo mlichokubaliana kwamba mnamkubali awapige mikasi au?
madonda na majeraha ya kuwadhihaki waTanzania kwa baadhi ya vyama vya siasa, waliowahi kuwabeza kama unavyo waita, mpaka leo vinawatesa kwenye majukwaa ya kisiasa na kwenye sanduku la kura,

kwababu leo unawaita ulivyo waita, kesho utakwenda tena kwao kuwaomba wakuunge mkono au kuwaomba kukupigia kura, ndipo sasa utawajua kwamba wako kama ulivyo waita au ni waerevu kupindukia 🐒

ila kwahivi sasa mapendo ya waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan yamepitiliza aise dah!🐒
 
Back
Top Bottom