Unadhani kwanini Watanzania wengi wanamkubali Rais Samia?

Njaa shida sana bongo!
Mpaka inapoteza ufahamu?!
si hivyo tu,
bali pia mapenzi, matumaini na mapendo ya waTanzania kwa kiongozi wao kipenzi Dr.Samia Suluhu Hassan mpaka sasa yamepindukia, aise kupendwa huku ni kwa kipekee sana, hakujali hata mihemko yaani dah šŸ’
 
Kwahiyo Mimi siyo Mtanzania eti?
huenda ni miongoni mwa waTanzania wanaojitenga kiaina...

wanampenda Dr Samia Suluhu Hassan kwa moyo wao wote, kwa nguvu na akili zao zote, halafu eti wanajivunga kwamba hawajui kitu kuhusu hilo dah, inatesa sana moyoni šŸ’

hata hivyo,
mapenzi ya waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan hayayumbishwi na chochote aise...šŸ’
 
Nyuzi nyingine ni za kipuuzi sana
kwamba unawabeza waTanzania wanaompenda Dr. Samia Suluhu Hassan?šŸ’

waite tu majina yale ya mihemko kwa dhihaka usiogope,

ila athari zimwi likujualo halikuli likakwisha zinaendelea kuvitafuna sana vyama ambavyo viliwadhihaki kwa kuwaita majina ya fedheha ya jumla mpaka leo wanasafašŸ’

nadhani ifike mahali tukakubali na kukiri mapendo na matumaini ya waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan hayapimiki hata kidogo gentleman šŸ’
 
Simkubali
afadhalli utumie haki yako ya msingi na wenzako wachache bila mihemko namna hiyošŸ‘ŠšŸ’Ŗ šŸ’

ila ukweli utabaki pale pale kwamba waTanzania wengi zaid nchini mamilioni kwa mamilioni wanamkubali Dr Samia Suluhu Hassan kuliko kitu choctote Tanzania šŸ’
 
Unaweza kukuta mwenye kuleta hii mada ni kijana wa miaka 18 ambae hajui lolote kabisa katika hii dunia.Angeangalia wenzie wanavyosoma Finance Bill na kuishinikiza Serikali ifanye maamuzi sahihi angeweza kujifunza jambo.

Ni Kijana wa hovyo kiwango cha udongo
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?

236876039_390283729123254_2512399743983219317_n.jpg
 
Rais Samia anapendwa na kukubalika na mamillioni ya watanzania kwa sababu amekidhi matarajio ya watanzania na kukata kiu waliyokuwa nayo juu ya aina ya kiongozi waliyekuwa wanamuhitaji.

Kwa ufupi Mama yetu mpendwa na kipenzi cha watanzania ni jibu na jawabu kwa mahitaji ya watanzania.
Nimebubujikwa na machozi ya furaha kwa kweli.
 
Unaweza kukuta mwenye kuleta hii mada ni kijana wa miaka 18 ambae hajui lolote kabisa katika hii dunia.Angeangalia wenzie wanavyosoma Finance Bill na kuishinikiza Serikali ifanye maamuzi sahihi angeweza kujifunza jambo.
ni mTanzania kiongozi muadilifu wa wananchi, mchapakazi hodari asie choka wala kukata Tamaa. Ni mnyonge flani hivi asie stahili chochote mbele za yoyote...

ni mustahimilivu na mwenye subra sana, si mwepesi wa hasira, hanaga mbambamba yoyote juu ya kusema ukweli, kwamba Dr Samia Suluhu Hassan anaependwa sana na wananchi mamilioni kwa mamilioni yao šŸ’

kwani kuna ubaya wowote gentleman?šŸ’
 
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?

Sababu ameturuhusu kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake. Na ameonesha upendo kwa wenye vyeti fake ambao hapo nyuma walifukuzwa kazini. Yeye ameturudisha. Safari kwa sasa tunapata kipindi cha nyuma Magufuli alibana sana safari.

Sisi tulio kwenye system kwa kweli tunalamba asali.
 
We
Ni kwasababu ya makusudi, haja na nia yake thabiti, ya wazi na njema ya kutaka kuibadili tanzania kiuchumi, kijamii na kusiasa?

Au ni kwasababu ya umadhubuti wa sera, mipango, mikakati, jitihada, bidii na umahiri wake katika kutekeleza kwa weledi sana na kwa ufasisi mkubwa mno miradi mtambuka ya maendeleo inayogusa mojakwamoja maisha ya watanzania kama vile maji, afya, elimu, kilimo, viwanda, uvuvi, miundombinu, usafirishaji N.K?

Au ni kwasababu ya amani liliyopo, ulinzi, usalama, uhuru, haki, utulivu, usawa, uwazi na uwajibikaji wake katika kuongoza nchi kwa misingi ya utawala wa sheria na kwa kuzingatia katiba ya nchi?

Au ni kwasababu ya matumani makubwa waliyo nayo Watanzania kwake, kwamba ndie pekee kiongozi wa kisiasa nchini, anae weza kutimiza ndoto na matarajio yao, ya maisha bora?

Kwa maoni yako, unadhani ni kwanini Samia Suluhu Hassan, anapendwa na kuaminika kiasi hiki, kitaifa na kimataifa?
Ni watu wenye mtindio wa ubongo Kama wewe pekee ndiyo wanaweza kumkubali rais taka taka kama huyu.
 
mapendo ya waTanzania kwa Dr Samia Suluhu Hassan yanaongezeka zaidi, na hili liko wazi gentleman šŸ’

au nasema urongo ndrugu zango 🤣
Unajidanganya na comments za kwenye Whatsapp groups!! Kule wanafanya unafiki Ili wasisumbuliwe.

Siku ukijua kinachozungumzwa in-box utalia na kusaga meno!
 
kwan huo mtandao bado upo unatumika kumbe :pedroP:

huku nilipo ni JF pekee tuna peta nayo..
field kila kona , kila kijiwe ni Dr.Samia Suluhu Hassan tupu, yaana huyu kiongozi anapendwa ajabu aise dah:pulpTRAVOLTA:
 
We

Ni watu wenye mtindio wa ubongo Kama wewe pekee ndiyo wanaweza kumkubali rais taka taka kama huyu.
unawabeza waTanzania kwa dhihaka namna hiyo gebtleman, kisa tu wanampenda Dr.Samia Suluhu Hassan?

kuna vyama vinateseka kwa dhihaka kama hizo zako za kuwadhihaki waTanzania mpaka wa leo hawaeleweki wala kiskizwa na wananch...

hata hivyo mihemko ya mtu au watu fulani, haiwez kubadili upendo wa waTanzania kwa Dr.samia suluhu hassan hata kidogo:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom