Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
- Thread starter
- #21
me kiukweli naupenda mwili wangu wote, hakuna sehemu ambayo naichukia. lolest!!!!!!
hahaha. Good 1
me kiukweli naupenda mwili wangu wote, hakuna sehemu ambayo naichukia. lolest!!!!!!
Mi kuna kiungo changu nakichukia sababu kinapendwa na wengne sana. Lol
si kwa nia ya kuvirekebisha
Kuna vidole viwili vya mguu wa kulia, vinaniboa kweli!
Makalio coz men huwa wanayatazama nipitapo. .....
Mi kuna kiungo changu nakichukia sababu kinapendwa na wengne sana. Lol
Naupenda sana mwili wangu maana hata kama kuna kitu kiko katika hali nisiyoipenda, lakini hivyo ndivyo Mungu alipenda niwe. Kichukia kwangu hakutasaidia lolote zaidi ya kuniletea laana mbele za mwenyezi Mungu.
ni ya kichna?
Ooooooooooh ciello
No kitu natural
Sio vyote vinarekebishika, labda usemee kufichwa kwa urembo.
Wataalamu wa vidole pale mwenge wanahusika sana, utavipenda mwenyewe.
njiti zangu nazichukia sana sababu zinanikosesha mengi mweh:angry::angry::angry::angry::angry: