Unachukia kitu gani katika mwili wako?

Unachukia kitu gani katika mwili wako?

mie nachukia mdomo wangu maana nikilewa matusi kwenda mbele..
 
Mazoezi, badilisha mlo, life style, kama ni mtu wa bia punguza!

sad enough i start hatin my kitambi even though nimetumia jitihada kubwa saana kukilea kwani mpaka sasa ningekuwa namiliki lexus hata mbili ila zote zimeishia kwenye hii kitu
 
hakuna kiungo nikichukiacho.....

Pamoja na kuwa na kichogo kama ncha ya bamia....nakipenda maana kimejaa maakili ya maana....

Pua kama pinokyo....naipenda maana inaniwezesha kuvuta pumzi vyema

miguu kama miti ya genge....naipenda maana inanipa spidi

mikono kama spedi....naipenda maana inaniwezesha kushika vitu kwa wepesi

mdomo kilo sitini.....naumpenda maana unaniwezesha kula icecream vyema...

Najipenda haswa
 
Hapa sijaelewa
 
Mimi hii DUSHELELE hii dah! inanisababishia matatizo mengi sana
 
I like all my body although sometimes tumbo (kitambi) kinanikera hasa nikivaa nguo fulanifulani
 
Mimi hii DUSHELELE hii dah! inanisababishia matatizo mengi sana,watu wananikimbilia kama nini, yaani hadi naogopa kuonjesha mwingine, yaani ukiangalia huo msururu wa vijumba vidogo unaweza jaza Abood tatu za dar-moro
 
Mi nachukia M.A.V.U.Z.I Yangu kwa cjui yanakazi gani, yanaongeza gharama za uendeshaji, kununua wembe nazo gharama jamani!
 
Mi nachukia M.A.V.U.Z.I Yangu kwani cjui yanakazi gani, yanaongeza gharama za uendeshaji, kununua wembe nazo gharama jamani!
 
Kitambi changu kwani kinanisaidia katika kazi yangu ya utapeli

Kumbe ni wewe! sasa naomba urudishe pesa zangu za kununulia XTRAIL ulizonitapeli. Fanya fastaaaa kabla sijakuchukulia sheria mkononi.
 
I hate ths kitu wajameni.

Big-Bellied-Man.jpg
 
Kuna hizi nywele za chin ya kitovu sijaona kazi yake bado zaid ya gharama
 
Back
Top Bottom