Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,139
Reaction score
88,800
Wakuu.
Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika.

Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri.

Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa kwasababu lazima nivishe kava.
 
Hata kama haujali screen ila kama unanunua flagship ya miaka 2 iliyopita ni lazima tu upate screen nzuri
Mimi pia huchukua 2-3 years kubadili simu

Vipaumbele, ni processor, kamera, kioo, speakers, iwe inakaa laini mbili (zote ziwe physical, sio eSIM)
Pia iwe kampuni ya Xiaomi
 
Alhamdulilah niko salama kaka ,ukawa kimya nikajua mbilinge za mwisho wa mwaka zilikuweka mbali kweli kweli.
Nimerejea kusini kaka japo hata sikukumbuka kukujulisha ila kihali niko njema naendelea kupambana
Kweli mbilinge mbilinge ni nyingi mwisho wa mwaka...tuombe uzima tutaonana MUNGU akajalia kaka

Habari za huko kusini mwa Tanzania
 
Back
Top Bottom