Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,061
Ngono salama ndiyo ikoje mkuuMaradhi yataisha endapo ngono salama itafanyika.
Ngono salama ndiyo ikoje mkuuMaradhi yataisha endapo ngono salama itafanyika.
Kula chako tu.Ngono salama ndiyo ikoje mkuu
Kula chako tu.Ngono salama ndiyo ikoje mkuu
Mungu ayupo wewe? Dunia ni sayansituache uzinzi jmn mungu anatuona
Yeyote anaweza kutafuta. Kwahiyo mleta mada hakuwa na haja kulalamikia wanaume as if wao wanawake wako innocent au wanalazimishwa kuvua nguo.Kwahiyo mke naye atafute mme wa mtu au mme wa huyo mchepuko ili iwe ngoma droo patamu hapo.
Ni kwel mkuu, mm mara ya kwanza alikuwa kama anaogopa ivi ila cku izi nikikwambia kukwichkwich avai ata cket anavaa tight na kitenge juu anakuja mwenyew guest, siku nyingne nikisema cna hela ananitumia mpesa cjui kwann anavua mwenyew kwa uzur tuIkiwa mwanamke anajua yeye ameolewa kwa nini akubali kuvuliwa chupi na mwanaume ambaye siyo mumewe...
Kwa sababu pale hajaenda kubakwa ameenda kwa ridhaa yake na tamaa zake mwenyewe...
Watamu hao balaa,hutajakaa umuache kamwe.Stress FreeWanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..
Karibuni
Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.
Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?
Ijazie hizo nyama thread yako.
Mkuu acha kujidanganyaMungu ayupo wewe? Dunia ni sayansi
Kutumia kinga ( kondomu)Ngono salama ndiyo ikoje mkuu
Kabisaamke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke